MAUAJI YA KUKATA KOLOMEO :WATU SITA WASHIKILIWA NA POLISI MKOA KAGERA
Jeshi la Polisi mkoani Kagera limewatia mbaloni watu sita akiwemo na mganga wa kienyeji moja anaedaiwa kufadhili vitendo vya mauaji ya kunchinja watu na kuondoa badhi ya viungo na wengine wawili...
View ArticleMKOA WA KAGERA NA UTAMADUNI WA KUWAENZI VIONGOZI WAKUU WALIOUONGOZA MKOA HUO...
Matukio ya picha katika sherehe ya kumuaga rasmi Mh.Massawe na historia yake kwa ufupiTangu uhuru wa iliyokuwa Tanganyika sasa Tanzania mwaka 1961 miaka 53 ya uhuru mkoa wa Kagera umekuwa ukiongozwa...
View ArticleMWALIKO KATIKA SHUGHULI YA KITCHEN PARTY (MJUBURO) WA BIBIE RUKIA NADHIR RAJABU
Mama Amina Sued Kagasheki wa Mtaa wa Twiga (Bilele ) Mjini hapa anapenda kuwafahamisha na kuwaalika ndugu , majirani na marafiki wa familia yake kushiriki katika Shughuli ya kumfunda,kumzawadia na...
View ArticleVATICAN YAMKATAA BALOZI WA UFARANSA
Mzozo wa kidiplomasia umezuka kati ya makao makuu ya papa mtakatifu ya the Vatican na Ufaransa kuhusiana na uteuzi wa balozi mpya wa Ufaransa, mjini Rome.Rais wa Ufaransa Francois Holland,...
View ArticleTAZAMA VIDEO MAKAMUZI YA YAMATO BAND NDANI YA LINAS NIGHT CLUB APR 6,2015
Taswira katika picha yaliyojiri Usiku wa Pasaka ya pili Apr 6,2015 TAZAMA SEHEMU YA VIDEO HAPA CHINI Hivi ndivyo 'Yamoto Band' Vijana wa wenye sauti tamu na Vipaji vya hali ya juu walivyo acha gumzo...
View ArticleAJALI YA BASI LA NGANGA LILILO GONGANA USO KWA USO NA FUSO NA KUTEKETEA KWA...
Basi la Nganga linalofanya safari Iringa - Kilombero limegongana uso kwa uso na fuso kisha magari hayo kuteketea kwa moto huko maeneo ya milimani km kadhaa kutoka Ruaha Mbuyuni kama unaenda Morogoro....
View ArticleUPDATE:SAKATA LA BASTOLA YA MH. AMANI!
Kwa mujibu wa taarifa za kuaminika kutoka ndani ya Jeshi la Polisi Mjini Bukoba ni kwamba Mh . Anatory Amani ameachiliwa huru baada ya kuwa ameshikiliwa kwa masaa kadhaa kutokana na sakata la bastola...
View ArticleIMETOSHA yaendeleza mkakati wake kimataifa kusafisha jina la nchi
Mkakati wa kutokomeza unyanyapaa na mauaji ya watu wenye ualbino nchini, uitwao IMETOSHA, jana ulianza rasmi kujitokeza kimataifa baada ya kushiriki katika pambano la kimataifa la kirafiki kati ya...
View ArticleFAMILIA YA EDWARD MORINGE SOKOINE WAFANYA MISA YA KUMKUMBUKA BABA YAO
Familia aliye kuwa waziri mkuu wa Tanzania hayati Edward Moringe Sokoine wakiwa katika ibada maalumu ya maadhimisho ya kifo chake nyumbani kwake monduli juu, siku ambayo huadhimishwa April 12 kila...
View ArticleMANENO YA WEMA KUHUSU KUMPATA MTOTO !
Baada ya kusakamwa kwa muda mrefu kuhusu suala la kutopata mtoto hatimaye Wema Sepetu amefunguka hivi:""Ningekuwa na uwezo wa kuzaa ningekuwa nimezaa muda mrefu sana... But sina... Na siwezi kumkufuru...
View ArticleTAMISEMI KUWACHUKULIA HATUA WAKUU WA SHULE ZILIZOFUNGWA KWA UKOSEFU WA CHAKULA
Wakati ukosefu wa chakula ukizikumba shule za sekondari nchini za bweni na kusababisha baadhi kufungwa, Katibu mkuu TAMISEMI Dr. Jumanne Sagini amewaagiza wakuu wa wilaya kuwachukulia hatua za kisheria...
View ArticleYEAAH!! NI BONGE LA BIRTHDAY PARTY YA MR ALLAN MUGISHA "OMULUNJI ALLAN"!!
Hii ilikuwa siku ya jumamosi pale Kolping Hotel zamani WALKGARD Hotel,hakika Jamaa alishusha bonge la Party iliyo hudhuriwa na watu mbalimbali,....'Omukulu Allan Mugisha nga Akuza Amazaalibwa'ndivyo...
View ArticleTAMISEMI KUWACHUKULIA HATUA WAKUU WA SHULE ZILIZOFUNGWA KWA UKOSEFU WA CHAKULA
Wakati ukosefu wa chakula ukizikumba shule za sekondari nchini za bweni na kusababisha baadhi kufungwa, Katibu mkuu TAMISEMI Dr. Jumanne Sagini amewaagiza wakuu wa wilaya kuwachukulia hatua za kisheria...
View ArticleMAZISHI YA MAREHEMU SHADIA HAKHIM KICWABUTA (1984-2015) KIJIJINI ISHOZI !
Marehemu Shadia Hakhim Kichwabuta pichani wakati wa Uhai wake..Idadi kubwa ya wananchi kutoka maeneo mbalimbali,Viongozi wa Dini na wanasiasa wameweza kuhudhuria mazishi ya Marehemu Shadia Hakhim...
View ArticleMAZISHI YA MAREHEMU LUTENI KANALI PASCAL S. HAULE (RDT)
Marehemu Luteni Kanali Pascal S. Haule enzi za Uhai wake.Jeneza lenye mwili wa Marehemu, Luteni Kanali Pascal S. Haule likiwa lemebebwa na askari wa JWTZ linawasili nyumbani kwake Kiluvya kutoka...
View ArticleKUELEKEA SIKU YA HEDHI DUNIANI, MTANDAO WA HEDHI SALAMA WAENDESHA SEMINA...
Kutoka kushoto ni Mkurugenzi mtendaji wa Kasole Secrets Hyasintha Ntuyeko ambao pia ni watengenezaji wa Pads za Glory, Katikati ni Mlezi wa wanafunzi Hilda Minja na Sara Mugele ambaye ni Dean of...
View ArticleKUHUSU WATU 9 KUKAMATWA NA SILAHA MSIKITINI MOROGORO
HABARI ZAIDI Kuhusu Watu 9 Wakamatwa Msikitini na Silaha, Milipuko, Majambia na Bendera ya Al Shaabab Morogoro Jeshi la polisi mkoani Morogoro limekamata watu 9 wakiwa na silaha za kulipua na nguo za...
View ArticleTASWIRA MAZISHI YA MAREHEMU LUTENI KANALI PASCAL S. HAULE (MSTAAFU)
Jeneza lenye mwili wa Marehemu, Luteni Kanali Pascal S. Haule likiwa lemebebwa na askari wa JWTZ linawasili nyumbani kwake Kiluvya Gogoni kutoka katika hospital Lugalo kwa ajili ya misa maalum...
View Article