NDESAMBURO ATANGAZA KUTOGOMBEA JIMBO LA MOSHI MJINI .AMUACHIA MIKOBA MEYA...
Baadhi ya wakazi wa mji wa Moshi wakifuatili mkutano wa hadhara wa Chadema uliofanyika katika eneo la soko la Manyema.Katibu mwenezi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wilaya ya Moshi na...
View ArticleKATIKA KUMBUKUMBU:MJUWE MAREHEMU LUTENI JENERALI MAYUNGA 1940-2011
Itakumbukwa Novemba mosi, 1978, majeshi ya aliyekuwa Rais wa Uganda, Idi Amin yalivamia Mkoa wa Kagera. Uvamizi huo ulimsukuma Mwalimu Nyerere kuashiria ushindi kabla vita kuanza.Nyerere aliashiria...
View ArticleWAZIRI CHIZA AKUTANA NA KAMPUNI YA UJENZI MRADI WA KITUO CHA KUFUA UMEME...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji) Mhe. Eng. Christopher Chiza (Mb), (katikati) akiwa na ujumbe wa kampuni ya Shangai Electic Power ya nchini China inayokusudia kujenga Kituo...
View ArticleVUGUVUGU UCHAGUZI MKUU 2015:BW.RODERIK LUTEMBEKA AWEKA WAZI NIA YA KUGOMBEA...
Pichani ni Katibu wa baraza la Wazee (Chadema ) ngazi ya Taifa Bw. Roderik Lutembeka akiongea na wa kazi wa Mji Mdogo wa Muleba katika mkutano wake wa kwanza uliofanyika jana Apr 18,2015 katika Uwanja...
View Article'OMWANA RUKIA' WA BASHIR ALIVYO AGWA !!
Hii ilikuwa pale Linas Night Club jumapili ya Juma lililopita April 19,2015 ukweli ni kwamba ni kati ya Sherehe iliyopendeza sana na kuvutia zaidi kwani watu wake walitoka bomba, waling'ara ile...
View ArticleWASIFU WA MAREHEMU LUTENI KANALI BENEDICTA KITENGA
Marehemu Lt.Col.(Mst) Benedict Kulikila Kitenga OFISI YA MKUU WA MKOA WA KAGERATANZIAOfisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera inasikitika kutangaza kifo cha aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa Mhe. Lt. Col....
View ArticleNCHI WANACHAMA WA JUMUIYA YA NCHI ZA UKANDA WA BAHARI YA HINDI WAJADILI...
Washiriki kutoka nchi ishirini wanachama wa Jumuiya ya Nchi za Ukanda wa Bahari ya Hindi (IORA), wakiwa katika picha ya pamoja na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Bi. Regina Kikuli mara baada ya...
View ArticleTRACK YA MSANII DAT YAZIDI KUCHUKUA KASI!!
Msanii DAT anayefanya vyema kunako gemu la muziki wa Asili na muziki Bongo.Msanii DAT amekuja na staili ya muziki inayoitwa “Taula Style” kupitia dhima ya kazi yake ya sanaa inayoitwa “Taula Tamaduni”...
View ArticleBAYERN NA BARCELONA WATINGA NUSU FAINALI
Klabu za Bayern Munich ya Ujerumani na Barcelona ya Hispania zimetinga nusu Fainali katika ligi ya Mabingwa barani Ulaya baada ya kushinda mechi zao hapo jana usiku.Baada ya kuchezea kichapo cha cha...
View ArticleTAARIFA YA JESHI LA POLISI KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM JUU YA KUTIWA...
Watuhumiwa wanne wamekamatwa jijini Dar es Salaam katika makutano ya barabara ya Bibi Titi na Ohio karibu na Hotel ya Serena baada ya kumpora raia wa kigeni wakiwa na gari dogo rangi ya kijivu yenye...
View ArticleMKUCHIKA:AKIRI TAIFA LINAKABILIWA NA MPOROMOKO WA MAADILI KWA VIONGOZI WA UMMA
Waziri wa nchi ofisi ya rais utawala bora Capteni George Mkuchika amekiri kuwa taifa linakabiliwa na mporomoko mkubwa wa maadili kwa viongozi wa umma tatizo ambalo amedai linaigharimu taifa katika...
View ArticlePROGRAMU YA MAFUNZO KUKIANDAA CHAMA KUSHINDA DOLA, KUONGOZA SERIKALI
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar, Salum Mwalim akizindua mafunzo ya timu za kampeni, Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar,...
View ArticleTANGAZO KWA WANAKAGERA KUTOKA KWA MKUU WA MKOA MH.JOHN MONGELLA
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mh. John Mongella anawaalika wanakagera na wadau wote wa maendeleo kuhudhuria kikao cha Wanakagerakitakacho fanyika siku ya Ijumaa tarehe 24/04/2015 katika ukumbi wa Chichi...
View ArticleZIARA YA UTALII NA BIASHARA NCHINI RWANDA
YAH:Ziara ya Utalii nchini Rwanda ,mpaka hivi sasa mchakato unaenelea vizuri sana,shukrani ziwafikie wadau waliopo Jijini Dar ambao tayari wameonyesha ushirikiano wao.Na kwako mdau msomaji bado unayo...
View ArticleWANAOHUDUMIA WATOTO WASHAURIWA KUTOWASAHAU WAJAWAZITO NA WALEMAVU
MASHIRIKA na mitandao inayojihusisha na kuhudumia watoto Mkoani Kagera, yametakiwa kutoa umuhimu mkubwa kwa watoto walio tumboni(kuwajali mama wajawazito) na wale wenye umri hadi miaka minane,kwani ni...
View ArticleMAJINA YALIYOINGIA 5 BORA KWENYE TUZO ZA WATU 2015
Majina yaliongia kwenye hatua ya tano bora kwenye Tuzo za Watu 2015 yametangazwa rasmi Ijumaa hii. Hiyo ni baada ya siku kadhaa za kuhesabu mapendekezo yaliyokuwa yakitumwa na wananchi kwa kipindi cha...
View ArticleMKUTANO WA CHADEMA MJINI BUKOBA LEO
Ziara ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe imeendelea kuchukua kasi mjini Bukoba leo,Mapema kabla ya Mkutano wa hadhara mbowe amezindua program ya mafunzo kwa...
View ArticleMTWARA YAPATA MKAKATI WA MAWASILIANO WA KUKABILIANA NA MAAFA
Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu shughuli za Maafa ofisi ya Waziri Mkuu, Brig.Jen. Mubazi Msuya (wa pili kulia) akifuatilia majadiliano wakati wa uwasilishaji wa Mkakati wa Mawasiliano wa kukabiliana na...
View Article