Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Browsing all 4196 articles
Browse latest View live

UANDIKIKISHAJI WANACHAMA 'TANZANIA BLOGGERS NETWRK' (TBN)

Chama cha Wamiliki/Waendeshaji wa Mitandao ya Jamii nchini 'Tanzania Bloggers Network' - TBN kinapenda kuwajulisha wanaotaka kujiunga na chama hicho kuwa fomu za kujiunga zinatolewa. Wahusika ni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AIFARIJI FAMILIA YA MAREHEMU BRIGEDIA JENERALI MSTAAFU HASHIM...

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo alipokwenda kuifarijifamilia ya Marehemu Brigedia Jeneral Mstaafu Hashim Mbita Temeke Chang'ombe jijini Dar es salaam jioni ya leo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HALMASHAURI ZASHAURIWA KUPUNGUZA UTEGEMEZI WA RASILIMALI ZA KUKABILI MAAFA

Na. Mwandishi Maalum.Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe. Halima Dendego amezitaka Halmashauri za mkoani humo kupunguza utegemezi wa rasilimali za kukabili maafa kutoka kwa wafadhili wa nje badala yake zitumie...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YANATOKEA KATIKA MAHUSIANO

Najua ni usiku sasa, wengine wamelala wengine bado kidogo, katika wale tulioko katika mahusiano na tunalala na wapenzi wetu tuko wa aina mbili kwa muda huu, wako ambao muda huu wana tamani usiku...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KWA UMMA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VURUGU ZAZUKA MJI WA BALTMORE MAREKANI

Vurugu kubwa za mapigano baina ya polisi na waandamanaji zimetokea nchini Marekani katika mji wa Boltimore, baada ya maziko ya kijana Freddie Gray ambaye alikufa kutokana kujeruhiwa alipokuwa mikononi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI KAMALA ASHIRIKI KONGAMANO LA KIMATAIFA LA BIASHARA UBELIGIJI

Balozi wa Tanzania Ubeligiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala P akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi mbalimbali baada ya Ufunguzi wa Kongamano la Biashara la Kimataifa linalofanyika Ubeligiji. Balozi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MISUGUANO NDANI YA NDOA !

Matatizo na misuguano mingi ndani ya ndoa husababishwa na mwanandoa mmoja au wote kutaka kuishi maisha kama bado yuko "single" hajaoa au hajaolewa wakati tayari yuko kwenye ndoa, kama ulikuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAISHA YA FLOYD MAYWEATHER NJE YA ULINGO

 Likitokea pambano la kutumia pesa kati ya Mayweather na Manny basi hakutakua na ubishi nani atashinda kati ya hao wawili. Mshindi tungemjua mapema ni Floyd Mayweather, lakini kwenye hili pambano la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI KAMALA AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA KONGAMANO LA KIMAITAIFA LA BIASHARA...

 Balozi wa Tanzania Ubeligiji, Laxembourg na Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala (wa kwanza kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi Kutoka Nchi Mbamlimbali Duniani Baada ya Ufunguzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JESHI LA NIGERIA LAWAOKOA MABINTI 293

Jeshi la Nigeria limesema limewaokoa watoto wa kike mia mbili na tisini na tatu kutoka katika kambi ya Boko Haram iliyoko katika msitu wa Sambisa, kaskazini mashariki mwa nchi hiyo. Jeshi hilo limesema...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PROF TIBAIJUKA ADHAMINI MAFUNZO YA WAENDESHA PIKIPIKI WILAYANI MULEBA

Waendesha pikipiki maarufu bodaboda kutoka jimbo la Muleba kusini wakiwa kwenye mafunzo ya sheria za usalama barabarani chini ya ufadhili wa Mbunge wa Jimbo hilo Profesa Anna Tibaijuka na kuendeshwa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA POSTA YAJIVUNIA UTENDAJI BORA KWA MWAKA 2014 ULIYOIPA FAIDA NONO

Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB) Sabasaba Kitewita Moshingi, akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana wakati wa kutangaza utendaji wa benki hiyo kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI KAMALA ABAINISHA FURSA ZA BIASHARA NA UWEKEZAJI ZINAZIPATIKANA TANZANIA

 Balozi wa Tanzania Ubelegiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akibainisha fursa za biashara na uwekezaji zinazopatikana Tanzania katika Kongamano la Biashara na Uwekezaji linalofanyika Genval...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

OFISI YA WAZIRI MKUU, YATEMBELEA MAENEO YALIYOPATA MAAFA MTWARA.

 Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu wa shughuli za Kuratibu Maafa, Brig. Jen,  Mbazi Msuya akikagua maafa yaliyosababishwa na mvua katika kalvati la barabara ya mbae inayounganisha vijiji vya Mbae na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEW VIDEO:JOH MAKINI NUSU NUSU

Ni ngoma mpya ameachia Joh Makini inakwenda kwa jina la Nusu Nusu. Itazame hapa chini.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CLOUDS FM YASHINDA TENA TUZO YA UBORA YA SUPERBRAND KWA MARA YA TATU AFRIKA...

 Picha ya pamoja ya baadhi ya makapuni binafsi waliopewa tuzo bora za viwango,kutoka shoto ni Bi.Dorothy Mashamsham kutoka kampuni ya Mafuta ya PetrolFuel,Mkurugenzi Mtendaji wa ITV/Radio One Bi Joyce...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAMKO LA UKAWA KUHUSU; UCHAGUZI MKUU, KURA YA MAONI NA MWAFAKA WA MAJIMBO

UMOJA WA KATIBA YA WANANCHI (UKAWA),DAR ES SALAAM,TANZANIA.TAARIFA KWA UMMA,DAR ES SALAAM, ALHAMIS, 30 APRIL 2015 UCHAGUZI MKUU OKTOBA 2015 LAZIMA, KIKWETE ASIONGEZEWE MUDA, KURA YA MAONI BAADAEVyama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SKYLIGHT BAND KUANZA WEEK END ALHAMIS HII NDANI YA MZALENDO PUB

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KILA KITU UWA NA SABABU IVYO USIMHUKUMU MTU BILA KUJUA CHANZO CHA MKASA!

Daktari aliingia hospitalini kwa haraka sana baada ya kuitwa kwa shughuli ya Upasuaji wa haraka, alipokea simu haraka, na kuvaa nguoza kazi na kuelekea moja kwa moja kwenye chumba cha upasuaji. Wakati...

View Article
Browsing all 4196 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>