Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 4196

MAZISHI YA MAREHEMU SHADIA HAKHIM KICWABUTA (1984-2015) KIJIJINI ISHOZI !

$
0
0
Marehemu Shadia Hakhim Kichwabuta pichani wakati wa Uhai wake..
Idadi kubwa ya wananchi kutoka maeneo mbalimbali,Viongozi wa Dini na wanasiasa wameweza kuhudhuria mazishi ya Marehemu Shadia Hakhim Kichwabuta aliyekuwa mke wa Ndugu Hakhim Kichwabuta  pichani katikati
Mazishi ya Marehemu Shadia Hakim Kichwabuta yamefanyika Jana Jumatano Apr 15,2015 Nyumbani kijijini kwa mme wake Ishozi Wilayani Misenyi na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Dini ,Siasa ,na Sehemu kubwa ya wananchi.
Waumini walishiriki kisomo cha  hitma pamoja na sala ya kumsalia Marehemu Shadia iliyofanyika Nyumbani hapo kama yanavyojionyesha sehemu ya matukio katika picha kupitia BUKOBAWADAU Blog.

 Waumini wa Kiislam wakisalia Jeneza
 Waumini wa dini ya kiislamu wakiendelea kusalia mwili wa marehemu Shadia Hakhim Kichwabuta

Sheikh Kakwekwe akiongoza Swala ya Marehemu  Shadia Hakhim Kichwabuta

Maziko yakiendelea



 Ndugu Hassan Hussein Kichwabuta pichani

Mzee Adv. Rweyemamu rafiki wa familia akitoa mkono wa pole kwa Sheikh Haruna Kichwabuta




Sehemu ya waombolezaji mara baada ya shughuli ya mazishi.

 Al Amin Abdul na Ndugu Nuru

 Ndugu Yahya pichani kushoto na Ndugu Hamza Ngemera mara baada ya shughuli ya mazishi
INAENDELEA......

Viewing all articles
Browse latest Browse all 4196

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>