Pichani ni Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya Afrika, Karibiani na Pacific Balozi Patrick Gomes (kushoto) baada ya kufanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala P ofisini kwake Ubeligiji. Kulia ni Balozi Jagne msaidizi wa Balozi Gomes.