$ 0 0 Marehemu Mzee Samweli Luangisa pichani wakati wa Uhai wake.Bukobawadau tumepokea taarifa za kifo hiki kwa mshtuko mkubwa ,kutoka New York, Marekani alipokuwa anatibiwa.Tunamwomba Mwenyezi ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.