Maelfu ya watu wameshiriki katika mazishi ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kwanza wa ziwa Magharibu na Mkuu wa Mkoa wa Mara, Balozi wa Tanzania katika nchi za Jamhuri ya watu wa China, Jamhuri ya watu wa KOREA na jamhuri ya Zaire Katika Miaka ya 1973-1975 Marehemu Mzee Samuel Ntambala Luangisa aliyefariki Mei 25,2015 huko nchini Marekani na Mazishi yake kufanyika June 3,2015 Nyumbani kwake Kijijini Kitendaguro Bukoba.
Marehemu Mzee Samuel Ntambala Luangisa aliyewahi kuwa Mbunge wa Wilaya ya Bukoba Mjini kwa kipindi cha miaka 20 na mwenyekiti wa kuchaguliwa wa Halmashauri/Manispaa Bukoba toka mwaka 1975-1985 na MEYA wa Manispaa Bukoba mpaka mwaka 2010.
Hivyo Marehemu Mzee Luangisa ameacha Mjane (pichani kushoto) watoto 11 pamoja na wajukuu 16.
Jeneza lenye mwili wa Marehemu Mzee Samuel Ntambala Luangisa
Machozi na vilio vikitawalawakati Jeneza lenye Mwili likiingizwa Kaburini
Sehemu ya Wanachama 'Pamoja Group' katika huzuni mkubwa.
Mbunge wa Bukoba Mjini, Balozi Khamis Kagasheki akiwekamaua kaburini
Mbunge wa muleba kusini Prof Anna Tibaijuka akiweka maua katika Kaburi la Marehemu Mzee Samuel Ntambala Luangisa
Watoto wa Marehemu wakiweka maua katika Kaburi
Mr Kwame na Peter watoto wa Marehemu Mzee Samuel Luangisa wakiweka shada la maua.
Ms Rose Samuel Ntambala Luangisa akiweka shada la maua kwa niaba ya watoto wa Kike.
Dada Mecy na Da' Farida kwa pamoja wakiweka shada la maua.
Mr.Ben Mulokozi akiweka shada la maua kwa niaba ya marafiki wa familia
Ndugu wa Marehemu Mzee Samuel Ntambala Luangisa wakiweka Shada la Maua
Kwa niaba ya Wanapamoja Group Mama Mwainunu na Mr.Jamal Kalumuna wanaweka shada la maua
Baba Askofu Methodius Kilaini akiweka shada la Maua
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Kagera Sheikh Haruna Kichwabuta akiweka shada la maua.
Mrs Chichi akiweka shada la maua
Mr. Salum Organizer akiweka Shada la Maua kwenye Kaburi la Marehemu kipenzi cha wengi Mzee Samuel Luangisa
Mr. Mrs Badru Kichwabuta
Mzee Rutabingwa akiweka shada la maua kwa niaba ya SAGUTI family
Mr & Mrs Majid Kichwabuta wakiweka shada la maua.
Mrs Jalia Mayanja katika picha na Mdogo wake Mrs Deo Lutinwa ( Kamama)
Kama wanavyo onekana kidotcom zaidi.
Mzee Masabala akitoa neno.
Mzee Baruti rafiki wa karibu wa Marehemu Mzee Samuel Luangisa
Kwa namna ya pekeehazina ya Wazee tuliobaki nao Mjini hapa Mzee Abdulziad Kashinde anatoa neno na historia fupi alivyo mfahamu Marehemu Mzee Samuel Luangisa
Mkuu wa Mkoa wa Kagera pichani kushotoJohn Mogella na Mh. Mbunge Balozi Khamis Kagasheki wakimsikiliza kwa umakini Mzee Abdulziad Kashinde.
Dada Passycazia Barongo akitoa neno
Dada Farida Kassim na Ms Shamira Majid Kichwabuta pichani
Mr. Kwame akitoa neno laShukrani kwa niaba ya watoto wa Marehemu Mzee Luangisa
Mr Christopher Chichi akitoa neno kwa niaba ya familia ya Nyamwihura
Mr Sunday mara baada ya kushiriki mazishi ya Marehemu Mzee Samuel Ntambala Luangisa.
*Bwana alitoa, na Bwana ametwaa; jina la Bwana na libarikiwe*
BASI KAMA TUKIISHI AU TUKIFA,TU MALI YA BWANA WARUMI 14:8
MATUKIO YA PICHA 200 TAYARI YANAPATIKANA KATIKA UKURASA WETU WA FACEBOOK KUPITIA LINK HII BUKOBAWADAU MEDIA