Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Browsing all 4196 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAOMBI YA MCHANGO WA UJENZI WA MSIKITI

Katika Maisha yetu Wanaadamu Ibada ni Jambo Muhimu saana. Uzuri , Usafi wa sehemu ya kuabudu ni Moja katika mambo mazuri yenye kupendeza katika kila Nafsi ya Binaadamu.Katika Nyumba (Msikiti)  huu ,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS WA ZANZIBAR, DK. SHEIN AFUNGA MKUTANO WA MABALOZI WA JAMHURI YA MUUNGANO...

Balozi Seif kwa Niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr. Ali Mohammed Shein akiufunga Mkutano wa Nne wa siku Tatu wa Mabalozi wa Tanzania uliokuwa ukifanyika katika Hoteli ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

YAMOTO BAND, MASHAUZI KUWASHA MOTO MANGO GARDEN LEO

KWA mara ya kwanza baada ya miaka mingi, ukumbi wa Mango Garden, ulioko Kinondoni, jijini Dar es Salaam, kupitisha wikiendi bila burudani yoyote, leo usiku ‘utawaka moto’ wakati Yamoto Band na Mashauzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

EXTEND VIDEO 'MJUBURO' WA LALY ABDULGARD

Pitia matukio kamili katika video hapa chini yaliyojiri katika shughuli ya ' Mjuburo' wa Bw. Laly AbdulGard mwana wa Mama Rubby ;Kuona Video bonyeza kitufe cha 'Play' sehemu ya katikati.Kwa matukio...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MABALOZI WA TANZANIA NJE YA NCHI WATEMBELEA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA...

Pichani ni Mabalozi wa Tanzania Nje ya Nchi Waliotembelea Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wa kwanza kushoto ni Balozi wa Tanzania Ubeligiji, Luxembourg na Jumuiya ya Ulaya Balozi Dr. Diodorus...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KATIKA WIZARA YA...

Inatolewa kwa mujibu wa Kanuni ya 99(9) ya Kanuni za Kudumu za Bunge Toleo la Mwaka 2013____________________________1.   UTANGULIZIMheshimiwa Spika, napenda kuchukua nafasi hii, kwanza, kumshukuru...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

'WANASEMA ALHAMDULILLAH'!!NI SHUGHULI YA NIKAAH YA BW LALY ABDULGARD NA BI...

NAAAM ni Ijumaa nyingine MAY 29,2015 Camera yetu inajikita pande za Kamachumu kushuhudia tukio la Nikaah katika shughuli ya Ndoa ya wawili hawa, ni shughuli inayo -Make headline katika ukanda huu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEC YAKAMILISHA MAANDALIZI UBORESHWAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA KWA MIKOA 4

Maandalizi ugawaji wa mashine kwa ajili ya kuandikisha wanchi katika daftari la wapiga kura kwa Kanda ya 5 Tano kati ya Sita yamekamilika leo Mei 29, 2015 zaidi ya Biometric Voter Registration (BVR)...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HABARI PICHA MKUTANO WA MH. EDWARD LOWASSA AKITANGAZA NIA JIJINI ARUSHA LEO

Mbunge wa Monduli na waziri mkuu wa zamani Mh. Edward Lowassa ametangaza rasmi nia ya kuwania urais wa Tanzania kupitia chama cha mapinduzi mbele ya umati wa watu waliofurika uwanja wa Sheik Amri Abeid...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAULID & LUNCH YA AQDI YA LALY ABDULGARD NA BI ZUENA MURSHID @ UHURU PLATFORM

Ni taswira kutoka viwanja hivi ilipofanyika shughuli ya Maulid ya harusi ya Bwana Laly na Mkewe Zuena , ni moja ya shughuli zilizopangiliwa vizuri na imependeza sana.Bwana harusi Bwana harusi Laly...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWIGULU NCHEMBA ATANGAZA NIA MJINI DODOMA

 Naibu waziri wa Fedha, Mwigulu Lameck Nchemba ambaye pia ni Mbunge wa Iramba Magharibi ametangaza nia ya kuomba ridhaa ya wana Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumteua kuwania urais katika uchaguzi mkuu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI WAISHUKURU SERIKALI KUWAJENGEA UWEZO WA KUKABILIANA NA MAAFA YA UKAME

Mkazi wa kijiji cha Mgwasi wilayani Same, John Samuel akiwaangalia mbuzi wake aliowapata kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu kupitia mradi wa Kupunguza Athari za Ukame unaofadhiliwa na UNICEF,  tarehe 31, Mei...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HOTUBA YA MHESHIMIWA EDWARD LOWASSA (Mb) KWENYE MKUTANO WAKUTANGAZA NIA YA...

Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa ahutubia wananchi kwenye Mkutano wa hadhara, wakati akitangaza nia yake ya kuwania Urais wa Awamu wa tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIMANZI MJINI BUKOBA MWILI WA MAREHEMU SAMUEL NTAMBARA LUANGISA UKIAGWA LEO !!

Jeneza lenye Mwili wa Marehemu Mzee Samuel Ntabara Luangisa Ni simanzi kubwa Mjini Bukoba wakati Jeneza lililobeba mwili wa Marehemu Mzee Samuel Ntabara Luangisa likizungushwa mitaa mbalimbali kama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI KUU YA CCM (CC) INAYOPITISHA MAJINA MATANO YA WAGOMBEA URAIS

Hii ndio Kamati Kuu (CC) ya CCM itakayopitisha majina matano ya wagombea uraisi kwa ajili ya kupigiwa kura na NEC kupata mgombea mmoja. 1. Jakaya Mrisho Kikwete 2. Dr. Ally Mohamed Shein 3. Phillip...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAELFU WASHIRIKI MAZISHI YA MAREHEMU MZEE SAMUEL LUANGISA BUKOBA JUNE 3,2015

Maelfu ya watu wameshiriki katika mazishi ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kwanza wa ziwa Magharibu na Mkuu wa Mkoa wa Mara, Balozi wa Tanzania katika nchi za Jamhuri ya watu wa China, Jamhuri ya watu wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BELLA KUTAMBULISHA USIKU WA NASHINDWA DAR LIVE!

Mfalme wa Masauti Bongo, Christian Bella ‘Obama’ akiwa ndani ya Global TV Online.Christian Bella akiimba wimbo wake mpya wa 'Nashindwa' ndani ya studio za Global TV Online leo.Malaika Band chini ya...

View Article


UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA MIKOA YA GEITA, SIMIYU,...

NEC Tangazo Arusha, Manyara, Mara, Mwanza, Geita, Shinyanga, Simiyu, Kilimanjaro

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Deo Meck Mbagi sio kiongozi wa NCCR MAGEUZI, Kamati ya nidhamu kumuadhibu rasmi.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SKYLIGHT BAND YAENDELEA KUUNGURUMA NDANI YA KIOTA KIPYA CHA LUKAS PUB MASAKI,...

Ilikuwa noma sana siku ya Ijumaa iliyopita maana ilikuwa sio ya kupitwa basi mchuke na ndugu, jamaa au rafiki yako leo uje kuona vitu vitamu kutoka kwenye Bendi ya SkylightMeneja wa Skylight Band Aneth...

View Article
Browsing all 4196 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>