RITA YAZUNGUMZIA UMUHIMU WA KUWA NA CHETI CHA KUZALIWA
Ofisa Uhusiano wa Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA), Jafarri Malema (kushoto), akizungumza na wafanyakazi wa gazeti la Jambo Leo (hawapo pichani), Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu shughuli...
View ArticleSABA WAFARIKI DUNIA AJALI YA GARI RUVUMA
Wanafunzi sita wa sekondari ya Makatekista na mkuu wa sekondari hiyo Padri Hyasinti kawonga wamefariki dunia na wengine ishirini na sita kujeruhiwa kati ya hao wanne hali zao zikiwa mbaya baada ya...
View ArticleKAMPUNI YA SIMU YA VODACOM KUBURUZWA KORTINI NI BAADA YA KUSHINDWA KUMLIPA...
Danny Paul Njau, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo. Mshindi wa mchezo wa kubahatisha wa Jay Millions, Danny Paul Njau (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam...
View ArticleMADAKTARI BINGWA KUTOKA 'USA' KUTUA HOSPITAL YA COSAD BUKOBA JUNE 7,2015
Madaktari bingwa wa magonja mbalimbali kutoka nchini Marekani wanatarajiwa kutoa huduma katika hospital ya COSAD iliyopo maeneo ya Nyamkazi ndani ya Manispaa ya Mji wa Bukoba Prof Barr Brant pichani...
View ArticleKINANA NA MSAFARA WAKE WAHANI MSIBA WA MAREHEMU MZEE SAMUEL LUANGISA BUKOBA
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akitia saini kwenye kitabu cha kumbukumbu ya maombolezo ya Marehemu Mzee Samuel LuangisaKatibu Mkuu na msafara wake waenda kuhani msiba wa Marehemu Samuel...
View ArticleLIVE STREAM:January Makamba akiwazungumzia watanzania
JANUARI ATATOA HOTUBA HII BILA YA KUSOMA POPOTE. HOTUBA YOTE IPO KICHWANI.- Januari anasisitiza kuwa Tanzania MPYA itajengwa na viongozi wenye fikra mpya.- Januari ahaidi kuwa na mawaziri wasiozidi 18...
View ArticleMOTO WAWAKA NDANI YA LINDI WAKATI MHESHIMIWA BERNARD MEMBE AKITANGAZA NIA YA...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akiwapungia mkono umati wa wana CCM na wakazi wa Lindi katika Viwanja vya Ofisi ya CCM Mkoa, wakati...
View ArticleMHE. ZITTO KABWE: JANUARY MAKAMBA ASHINDWA KUTAMKA MIIKO YA VIONGOZI
Mheshimiwa Zitto Kabwe amefunguka katika ukurasa wake wa Facebook na kuweza kumponda mbunge mwenzake wa Bumbuli, Mheshimiwa January Makamba kutokana na Hotuba yake aliyoisoma jana katika ukumbi wa...
View ArticleJeshi la Polisi Iringa lakamata DVD zenye mafunzo ya Al Shaabab zikitumika na...
Jeshi la Polisi mkoani Iringa limekamata mikanda ya DVD yenye mafunzo ya kijeshi yanayohusiana na kikundi cha ugaidi cha Al Shaabab cha nchini Somalia zilizokuwa zikitumika na watoto wa mitaani...
View ArticleWAZIRI BERNARD MEMBE ACHUKUA FOMU YA KUOMBA RIDHAA YA KUTEULIWA KUGOMBEA...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe leo June 8, 2015 amechukua fomu za kuomba ridhaa ya kugombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) makao makuu ya chama hicho mjini...
View ArticleMANENO YA LEMUTUZ KUHUSU KAMBI YA EDO
LE MUTUZ LIVE STRAIGHT TALK:- morning guys kuna wanaotafsiri kwamba namchukia mgombea wao kumbe Mimi ninakata FACTS mti wenye matunda ndio unaorushiwa maweso wafuasi wake jifunzeni hoja the FACT is a...
View ArticleCHUMBA CHA HABARI CHA GAZETI LA JAMBO LEO NA STAA SPOTI CHAZIZIMA KWA HUZUNI...
Marehemu Ramadhani Kibanike enzi za uhai wake. Mhariri Mkuu wa Gazeti la Jambo Leo, Julian Msacky na Mwandishi wa Habari, Stela Kessy (kulia), wakiendelea na kazi huku wakiwa na hudhuni baada ya...
View ArticleLembeli aitabiria CCM anguko katika uchaguzi mkuu utakao fanyika Octoba mwaka...
Mbunge wa Kahama James Lembeli amesema viongozi wa CCM wasipo badili tabia ya kutembea na viongozi mifukoni na kugawa kadi feki kwa watu wasiyo wanachama wa CCM kwa lengo la kutaka kuwaengua wagombea...
View ArticleBALOZI DKT. DIODORUS BUBERWA MGENI RASMI KATIKA UTOWAJI WA ZAWADI KWA...
Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji, Dr. Diodorus Buberwa akizungumza wakati wa sherehe hiyo.Meza Kuu, kuanzia kushoto ni Mratibu Mkuu wa FASDO nchini, Joyce Msigwa, Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji,...
View ArticleSERIKALI YATANGAZA BAJETI YA SH TRILION 22.4 BILA MIRADI MIPYA
Serikali imewasilisha makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2015/16 ya shilingi trilioni 22, bilioni 495.5 na kuainisha maeneo ya ukusanyaji wa mapato yasiyo ya kodi ikiwemo matumizi ya...
View Article150 KORTINI KWA KUJIANDIKISHA MARA MBILI DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGAKURA KWA...
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema watu 152 watafikishwa mahakamani mkoani Njombe kutokana na kujiandikisha mara mbili katika Daftari la Kudumu la Wapigakura kwa mfumo mpya wa ‘Biometric Voter...
View ArticleMAMBO YA OLD IS GOLD 80s - 90s
Utapata kusikia mengi kutoka kwa Mkongwe 'Baba Halehale' pichani mmoja wa wacheza Disco waliosumbua enzi hizo kipindi cha RTC club na Continental by Night atagusia mengi kuhusu madj wakali kipindi...
View Article