Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Browsing all 4177 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TBL YAFANIKISHA SIKU YA SHAYIRI MONDULI

 Meneja Mradi wa Kilimo cha Shayiri TBL Dk. Basson Bennie akitoa elimu kwa wakulima na wadau mbalimbali namna sahihi ya kuandaa, kupanda zao la Shayiri wakati wa Siku ya Mkulima wa Shayiri iliyofanyika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMIA YA WATU WASHIRIKI MAZISHI YA OMLANGIRA SIMON BENEDICTOR KYARUZI

 Muonekano wa picha ya Marehemu Omlangira Simon Benedictor Kyaruzi enzi za uhai wake Jeneza lenye mwili wa Marehemu Omlangira Simon Benedictor Kyaruzi likiingizwa kaburini . Mjane wa Marehemu Omlangira...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATUKIO YA LOWASSA KIGOMA

Wananchi wa Mji wa Kigoma wakiwa wamejipanga kando ya Barabara kuu ya Kutoka Ujiji, kumpokea Mtangaza nia ya Kuwania Urais kwa tiketi ya CCM, Mh. Edward Lowassa.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZIMtangaza nia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI ZA VIJIJI ZATAKIWA KUHUSISHA MAAFA YA MABADILIKO YA TABIANCHI NA...

Mshiriki wa Mafunzo  ya  utekelezaji mradi wa Kuimarisha mfumo wa habari za hali ya hewa na mifumo ya tahadhari ya mapema nchini akichangia wakati wa mafunzo hayo kwa wajumbe wa kamati za maafa za kata...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YALIYOJIRI WAKATI PROF LIPUMBA ANACHUKUA FOMU LEO

Prof.Lipumba amechukua fomu ya kugombea urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa ticket ya CUF/UKAWAkugombea urais leo Prof. Ibrahim Lipumba Anasema; =Haki? =Haki sawa kwa nani? =Asiependa haki?...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HARAMBEE YA UCHANGIAJI MAABARA SEKONDARI YA KASHENYE YAFANA

Diwani wa Kata Kashenye(Omulangira)Adeodatus Rugaibula akitoa taarifa ya maendeleo ya kata yake siku ya harambee. Mmoja wa watia nia ya kugombea Jimbo la Nkenge Ndugu Florent Kyombo akitoa neno....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAPOKEZI YA MH. LOWASSA MJINI BUKOBA HAYANA MFANO, AZIDI KUDHAMINIWA KWA...

 Sehemu ya Wakazi wa mji wa Bukoba Mkoani Kagera wakiwa nje ya Uwanja wa Ndege wa Bukoba, wakimsubiri kumlaki Mtangaza nia ya Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Mh. Edward Lowassa, tayari...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UFUNGUZI WA KAMBI YA WATOTO (ARIEL CAMP) ILIYOANDALIWA NA SHIRIKA LA AGPAHI

Muonekano wa Meza kuu katika ufunguzi wa kambi ya watoto (Ariel camp) wanaopata huduma katika vituo mbalimbali vya afya vinavyosaidiwa na shirika lisilo la kiserikali la AGPAHI linalofanya kazi katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JK AONGOZA MAELFU YA WAOMBOLEZAJI KWENYE MAZISHI YA SHEIKH MKUU

Jeneza lenye mwili wa Marehemu, Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba, likitolewa nyumbani kwake, tayari kwa safari ya kwenda msikitini kuswaliwa na baadae kwenye mazishi, yaliyofanyika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RIPOTI YA HALI YA BIASHARA YA MAZAO YATOKANAYO NA BIOTEKNOLOJIA YA KISASA YA...

Naibu Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Godfrey Zambi (kushoto), akionesha Ripoti ya Hali ya Biashara ya Mazao yatokanayo na bioteknolojia ya kisasa ya mwaka 2014 baada ya kuizindua Dar es Salaam...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YAH SHUGHULI YA MJUBURO YA BIBIE FATMA T. KATAKWEBA JULY 26,215 AT LINAS

FAMILIA  YA MAREHEMU TWALHA I. KATAKWEBA (MAMA RASHIDI) WA KASHABO, WANAYO FURAHA KUKUKARIBISHA KWENYE MJUBURO (KITCHEN PARTY) YA BINTI YAKE MPENDWA FATMA T. KATAKWEBA TAREHE 26/07/2015 JUMAPILI @LINAS...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUHUSU WEMA KUGOMBEA UBUNGE

Miss Tanzania 2006 na muigizaji wa filamu, Wema Abraham Sepetu jana June 16 kupitia kipindi cha Ala za Roho ya Clouds FM alifunguka kuhusiana na kuchukua fomu ya ubunge wa viti maalumu mkoani Singida...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wapo walioshindwa kukemea rushwa, sasa wanataka madaraka

Ni miezi takriban kama mitatu na nusu imesalia Watanzania wenye sifa za kupiga kura wakapige kura kwa ajili ya kuwachagua viongozi, wakiwamo wabunge, madiwani na rais.Uchaguzi ungekuwa soka, tungeweza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LOWASSA APATA UDHAMINI WA KISHINDO MKOANI TANGA, WANACCM 24,125 WAMDHAMINI

Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkomo maelfu ya wanaCCM na wananchi wa Mkoa wa Tanga, waliojitokeza kwa wingi kwenye Ofisi za Chama Cha Mapinduzi, Mkoa wa Tanga leo Juni 17, 2015....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBOWE AHUKUMIWA,UTAA WA SIFA YA KUGOMBEA WAIBUKA

Hai. Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amehukumiwa kulipa faini ya Sh1 milioni au kwenda jela mwaka mmoja baada ya kupatikana na hatia ya kumshambulia mwangalizi wa Uchaguzi Mkuu mwaka 2010.Hukumu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AJALI ARUSHA;Askari saba wanusurika kifo baada ya gari yao kugongana na gari...

Askari saba wa Jeshi la Polisi nchini, kitengo cha Usalama Barabarani, wamenusurika kifo kufuatia ajali iliyohusisha gari la Polisi na gari moja binafsi mjini Arusha leo hii. Gari zilizohusika katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dk.Shein achukua fomu ya Urais Z'bar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akionesha mkoba wa wenye fomu kuomba ridhaa kwa Chama cha Mapinduzi kumteuwa kuwa mgombea Urais wa Zanzibar baada ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBOWE AJAPOTEZA SIFA YA KUGOMBEA URAIS,UBUNGE

Na Happiness Katabazi JUNI 17 Mwaka huu, Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Hai, Denis Mpelembwa alimhukumu Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kulipa faini ya Sh milioni Moja au kwenda jela mwaka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WLF YAKABIDHI NYUMBA ZENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 156 KWA AJILI YA...

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kanali Mstaafu Issa Machibya kushoto Akishirikiana na Mkurugenzi Mkuu wa World Lung Foundation(wa pili kushoto)Dr Nguke Mwakatundu kukata utepe wakati wa Uzinduzi wa Nyumba za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dr Harrison Mwakyembe achukua fomu za kuwania Urais kupitia CCM

Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Harrison Mwakyembe ameingia leo rasmi katika kiny’ang’anyiro cha kuwania urais, kwa kuchukua fomu Mjini Dodoma kuomba ridhaa ya CCM kuwania urais katika...

View Article
Browsing all 4177 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>