Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 4177

MAMIA YA WATU WASHIRIKI MAZISHI YA OMLANGIRA SIMON BENEDICTOR KYARUZI

$
0
0
 Muonekano wa picha ya Marehemu Omlangira Simon Benedictor Kyaruzi enzi za uhai wake
 Jeneza lenye mwili wa Marehemu Omlangira Simon Benedictor Kyaruzi likiingizwa kaburini .
 Mjane wa Marehemu Omlangira Simon Benedictor Kyaruzi akiweka udongo kaburini.
 Mzee Mpanju mara baada ya kuweka Udongo kaburini
 Shughuli ya mazishi yaliyofanyika jioni ya leo June 12,2015 Nyumbani kwa marehemu  Kijijini Kyaruyomba - Buhembe kilometa chache nje ya Mji wa Bukoba
 Zoezi la kuweka mashada katika Kaburi likiendelea.
 Ma Regina Kyaruzi ambaye ni Mjane wa Marehemu akiweka shada la maua
 Fr Isdory na Fs Kyaruzi wakiongozi shughuli ya mazishi hayo, yalofanyika Nyumbani kwa Marehemu Kijijini Kyaruyomba - Buhembe kilometa chache nje ya Mji wa Bukoba na kuhudhuriwa na watu wengi kutoka maeneo mbalimba.
Sehemu ya waombolezaji
 Ndugu Edgar Kyaruzi mtoto wa Marehemu Omlangira Simon Benedictor Kyaruzi akitoa neno la shukrani kwa niaba ya familia.
 Wanakwaya wa Kanisa la Bulugo Wanakwaya wakiimba nyimbo za maombolezo wakati wa Ibada ya Mazishi ya Marehemu Omlangira Simon Benedictor Kyaruzi
 Neno la bwana kutoka katika Bibilia.
.......INAENDELEA KWA MATUKIO YA PICHA ZAIDI NA VIDEO.......


Viewing all articles
Browse latest Browse all 4177

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>