KASI YA MAUAJI YA KUKATA WATU MAKOROMEO!
Matukio ya mauaji ya kukata watu makoromeo yanaendelea kuchukua kasi Mkoani Kagera. Matukio mawili yakusikitisha yametokea Usiku wa kuamkia leo June 20,2015 Katika Kijiji cha Gera ,Kata ya Gera iliyopo...
View ArticleKOMREDI KINANA AHITIMISHA ZIRA MKOANI GEITA, ASAFIRI KWA GARI KM 1680,...
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara katika uwanja wa Nyamkumbu, Kata ya Katangalala, wakati wa ziara yake mkoani Geita ya Kuimarisha uhai wa chama, kukagua,...
View ArticleHAFLA YA UFUNGAJI RASMI WA KAMBI YA WATOTO (ARIEL CAMP )ILIYOANDALIWA NA...
Mgeni Rasmi katika ufungaji wa kambi ya watoto (Ariel -Camp )iliyo andaliwa nashirika la AGPAHI, Mh. John Mogella akiwahutubia waalikwa na watoto walioshiriki hafla hiyo. Sehemu ya Watoto wanao...
View ArticleKASI YA MAUAJI YA KUKATA WATU MAKOROMEO!
Matukio ya mauaji ya kukata watu makoromeo yanaendelea kuchukua kasi Mkoani Kagera. Matukio mawili yakusikitisha yametokea Usiku wa kuamkia leo June 20,2015 Katika Kijiji cha Gera ,Kata ya Gera iliyopo...
View ArticleUPINZANI WAKIMSIMAMISHA MWENYE SIFA HIZI NA SISI CCM TUKAFANYA MAKOSA KWA...
Ni jana tu nimemaliza uchambuzi wa watu wanaotajwa au waliojitokeza kugombea urais au wale ambao hawajajitangaza na hawana nia lakini jamii ndani na nje ya vyama vyao inawataja kama watu wenye sifa,...
View ArticleWASANII KUTUMIKA KUELIMISHA UMMA MENEJIMENTI YA MAAFA
Askari wa Jeshi la Zima moto nchini, Josephat John akieleleza matumizi ya Kizimamoto wakati wa mafunzo ya menejimenti ya maafa kwa watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, mjini Dodoma tarehe, 21 Juni,...
View ArticleSHEREHE YA UZINDUZI YA MRADI WA MBUZI ILIYOANDALIWA NA COSAD TANZANIA KWA...
Sehemu ya wadau kutoka nchini Marekani. Sehemu ya Wanachama wa Bukoba Rotary Club Bw.Walter Rwey-Robert wa Bukoba Rotary ClubDr.Jessica R. Baitani na mme wake Mr Smart Baitani wakitolea jambo...
View ArticleYANINI KUWATAJATAJA MBELE ZAKE??
Inasumbua sana moyo pale ambapo mpenzi wako kila mkiongea au kila akikukosoa anakulinganisha na mpenzi au wapenzi wake wa zamani, utaskia anasema "hata nanihii niliachana naye kwa tabia hiyohiyo" hivi...
View ArticleTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI- UTEUZI WA KAIMU MUFTI MKUU
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIUTEUZI WA KAIMU MUFTI MKUU WA WAISLAM TANZANIAMuda mfupi baada ya aliyekuwa mmoja wa Wajumbe wa Baraza Kuu la Ulamaa la BAKWATA Sheikh Abubakar Zuberi, kuteuliwa kukaimu...
View ArticleVIDEO/PICHA MAZISHI YA MAREHEMU GOSBERT RUSHEKYA GASPARY KIJIJINI GERA -MISSENYE
Mamia ya Wananchi na wakazi wa Gera Wilayani Missenye wameshiriki katika Shughuli ya mazishi ya Marehemu Gosbert Rushekya Kamugisha Gaspary yaliyofanyika Jana nyumbani kwake Kijijini GeraMsafara mkubwa...
View ArticleMKUU WA USALAMA WA TAIFA WA RWANDA AKAMATWA UINGEREZA !
London,Uingereza,Mkuu wa usalama wa taifa wa nchi ya Rwanda Major Gen.Emanuel Karenzi Karake amekamatwa na wanausalama katika uwanja wa ndege wa Heathrow nchini Uingereza mwishoni mwa wiki...
View ArticleLowassa aipigia kura ya ndio bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2015/2016
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akijadiliana jambo na Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe wakati wa kupiga kura bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha...
View ArticleKamati za maafa za takiwa kutimiza wajibu wao wa menejimenti ya maafa
Mratibu Maafa, Idara ya uratibu maafa, Ofisi ya Waziri Mkuu, Benedict Kisaka akitoa mafunzo ya menejimenti ya maafa wakati wa mafunzo kwa waratibu maafa mkoani Kagera tarehe 24 Juni, 2015. Kaimu...
View ArticlePAPA MSOFFEPAPA MSOFFE AFUTIWA KESI YA MAUJI LEO
Na Happiness KatabaziMAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, imemfutia kesi ya Mauji iliyokuwa ikimkabili mfanyabishara maarufuMarijani Abdubakari Msoffe baada ya kupokea taarifa toka...
View ArticleLOWASSA APATA UDHAMINI WA KISHINDO MKOANI TANGA, WANACCM 24,125 WAMDHAMINI
Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkomo maelfu ya wanaCCM na wananchi wa Mkoa wa Tanga, waliojitokeza kwa wingi kwenye Ofisi za Chama Cha Mapinduzi, Mkoa wa Tanga leo Juni 17, 2015....
View ArticleMBOWE AHUKUMIWA,UTAA WA SIFA YA KUGOMBEA WAIBUKA
Hai. Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amehukumiwa kulipa faini ya Sh1 milioni au kwenda jela mwaka mmoja baada ya kupatikana na hatia ya kumshambulia mwangalizi wa Uchaguzi Mkuu mwaka 2010.Hukumu...
View ArticleAJALI ARUSHA;Askari saba wanusurika kifo baada ya gari yao kugongana na gari...
Askari saba wa Jeshi la Polisi nchini, kitengo cha Usalama Barabarani, wamenusurika kifo kufuatia ajali iliyohusisha gari la Polisi na gari moja binafsi mjini Arusha leo hii. Gari zilizohusika katika...
View ArticleDk.Shein achukua fomu ya Urais Z'bar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akionesha mkoba wa wenye fomu kuomba ridhaa kwa Chama cha Mapinduzi kumteuwa kuwa mgombea Urais wa Zanzibar baada ya...
View ArticleMBOWE AJAPOTEZA SIFA YA KUGOMBEA URAIS,UBUNGE
Na Happiness Katabazi JUNI 17 Mwaka huu, Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Hai, Denis Mpelembwa alimhukumu Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kulipa faini ya Sh milioni Moja au kwenda jela mwaka...
View ArticleWLF YAKABIDHI NYUMBA ZENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 156 KWA AJILI YA...
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kanali Mstaafu Issa Machibya kushoto Akishirikiana na Mkurugenzi Mkuu wa World Lung Foundation(wa pili kushoto)Dr Nguke Mwakatundu kukata utepe wakati wa Uzinduzi wa Nyumba za...
View Article