Dr Harrison Mwakyembe achukua fomu za kuwania Urais kupitia CCM
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Harrison Mwakyembe ameingia leo rasmi katika kiny’ang’anyiro cha kuwania urais, kwa kuchukua fomu Mjini Dodoma kuomba ridhaa ya CCM kuwania urais katika...
View ArticleKASI YA MAUAJI YA KUKATA WATU MAKOROMEO!
Matukio ya mauaji ya kukata watu makoromeo yanaendelea kuchukua kasi Mkoani Kagera. Matukio mawili yakusikitisha yametokea Usiku wa kuamkia leo June 20,2015 Katika Kijiji cha Gera ,Kata ya Gera iliyopo...
View ArticleKOMREDI KINANA AHITIMISHA ZIRA MKOANI GEITA, ASAFIRI KWA GARI KM 1680,...
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara katika uwanja wa Nyamkumbu, Kata ya Katangalala, wakati wa ziara yake mkoani Geita ya Kuimarisha uhai wa chama, kukagua,...
View ArticleHAFLA YA UFUNGAJI RASMI WA KAMBI YA WATOTO (ARIEL CAMP )ILIYOANDALIWA NA...
Mgeni Rasmi katika ufungaji wa kambi ya watoto (Ariel Camp) iliyoandaliwa na shirika la AGPAHI, Mh. John Mongella akiwahutubia waalikwa na watoto walioshiriki hafla hiyo. Sehemu ya Watoto wanao...
View ArticleMWANAHABARI EDSON KAMUKARA AFARIKI DUNIA LEO
Mwandishi wa habari Edson Kamukara (pichani) amefariki dunia leo.Taarifa zilizotufikia zinaarifu kuwa Mwandishi huyo aliyepata kuandikia gazeti la Tanzania Daima na baadae kuhamia Mwanahalisi amefikwa...
View ArticleTAARIFA YA MATENGENEZO YA MELI YA MV VICTORIA
Meli ya Mv Victoria iliyosimama kwa muda mrefu kutokana na ubovu,hatimae leo June 25,2015 imepandishwa kwenye floating dock kwa ajili ya matengenezo,haijajulikana ni muda gani wa kipindi cha...
View ArticleMil. 207 zatumika kupunguza athari za ukame Kishapu
Mratibu kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu wa Mradi wa Kuijengea Jamii Uwezo wa kupunguza Athari za Maafa kwa Mikoa iliyoathirika zaidi na Ukame, , Harrison Chinyuka akisisitiza  jambo   wakati wa mafunzo ya...
View ArticleTASWIRA MJINI BUKOBA ALHAMIS JUNI 25,2015
Muda mchache tu kabla ya futuru ,Camera yetu uso kwa uso na Mdau Mangi Said kama anavyo onekana akisikilizia swaumu . Mitaa ya kati ,muda mchache kabla ya futuru,tunakutana na Ndugu BushiraWadau...
View ArticleKOMREDI KINANA ASABABISHA WAPINZANI LUKUKI KUHAMIA CCM MAGU
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipokea kadi za vyma vya upinzani kutoka kwa watu waliovihama vyama hivyo na kujiunga na CCM, katika mkutano wa hadhara akatika Mji wa Kisesa, wilayani Magu,...
View ArticleBALOZI KAMALA AKUTANA NA WADAU WA ZAO LA TUMBAKU
Balozi wa Tanzania Ubeligiji, Luxembourg na Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala (wa pili kutoka kulia) akiwa na Wadau zao la Tumbaku baada ya kumaliza kikao nao ofisini kwake Brussels leo....
View ArticleTASWIRA MJINI BUKOBA ALHAMISI JUNI 25,2015
Muda mchache tu kabla ya futuru ,Camera yetu uso kwa uso na Mdau Mangi Said kama anavyo onekana akisikilizia swaumu . Mitaa ya kati ,muda mchache kabla ya futuru,tunakutana na Ndugu BushiraWadau...
View ArticleHOFU YA MAKONGORO NYERERE MBIO ZA URAISI
Mtangaza nia Makongoro Nyerere ahofia kupitishwa kwa mgombea asiyestahiri kuchuana katika mbio uraisi kupitia chama cha mapinduzi.
View ArticleMBUNGE ASSUMPTAH NA SAKATA LA MAUAJI MKOANI KAGERA BUNGE - TBC | JUNE.24.2015
Sakata la mauaji Mkoani Kagera linatinga Bungeni kupitia kwa Mhe. Assumptah Mshana akilielekeza kwa Wizara ya mambo ya Nje. BUNGE - TBC | JUNE.24.2015
View ArticleYAH SHUGHULI YA MJUBURO YA BIBIE FATMA T. KATAKWEBA JULY 26,215 AT LINAS
FAMILIAÂ YA MAREHEMU TWALHA I. KATAKWEBA (MAMA RASHIDI) WA KASHABO, WANAYO FURAHA KUKUKARIBISHA KWENYE MJUBURO (KITCHEN PARTY) YA BINTI YAKE MPENDWA FATMA T. KATAKWEBA TAREHE 26/07/2015 JUMAPILI @LINAS...
View ArticleTANO BORA YANGU YA CCM NI HII
CREDIT;Lula wa Ndali MwananzelaKAMA ningekuwa ni miongoni mwa wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), basi ningehakikisha kuwa napeleka majina yafuatayo matano kwenye Halmashauri Kuu ya...
View ArticleMAMIA WAJITOKEZA VIWANJA VYA LEADERS CLUB JIJINI DAR ES SALAAM KUMUAGA...
Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa Mhariri wa Kampuni ya Mwanahalisi, Edson Kamukara wakati ulipowasili viwanja vya Leaders Club Dar es Salaam leo asubuhi, kwa ajili ya kuagwa. Kamukara...
View ArticleWANAHABARI WAPEWA SEMINA KUHUSU MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA
Kaimu Mkurugenzi Magonjwa Yasiyoambukiza wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Auson Rwehimbiza (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kwenye semina ya siku moja kuhusu...
View ArticleMAFURIKO YA LOWASSA JIJINI DAR, AKOMBA UDHAMINI WA WANACCM 212, 150
Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akifurahia jambo wakati Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ndg. Ramadhan Madabida (hayupo pichani) akizungumza...
View ArticleDOZI YA LEO:WEWE NI BABA JINA AU BABA MAJUKUMU???
Fatherhood is not claimed by words but action, kukubalika na kuheshimika kama baba nyumbani kwako hakuji kwa kuwalazimisha wanao na wote waishio ndani kwako wajue kuwa wewe ndiyo baba wa nyumba bali...
View Article