Mamia ya Wananchi na wakazi wa Gera Wilayani Missenye wameshiriki katika Shughuli ya mazishi ya Marehemu Gosbert Rushekya Kamugisha Gaspary yaliyofanyika Jana nyumbani kwake Kijijini Gera
Msafara mkubwa wa watu ukielekea Kanisani kushiriki Ibada ya mazishi ya Marehemu
Gosbert Rushekya Kamugisha Gaspary.
Marehemu Gosbert Rushekya Kamugisha Gaspary alipatwa na mautu usiku wa Ijumaa juma lililopita baada ya kuvamiwa na watu wasiojulika na kumjeruhi na vitu vyenye ncha kali, tukio linalo husishwa na mauaji ya kukata watu makoromeo,(Mauaji yanayo zidi kutishia amani mkoani Kagera.)
Marehemu Gosbert Rushekya Kamugisha Gaspary alipata Majeraha makubwa sehemu za Kichwani na Shingoni yaliyo sababisha kuvuja damu nyingi kabla ya mauti kumkuta alfajiri ya Tarehe 20 ,2015 Kama ilivyoripotiwa na Mtandao wa Bukobawadau.
Fr. Godwin Rugambwa wa Kanisa Katoliki parokia ya Mugana akiongoza Ibada ya mazishi hayo
Wanakwaya wakiendelea na Ibada ya maziko ya Marehemu Gosbert Rushekya K. Gaspary
Mamia ya Waumini wakiendelea kushiriki Ibada ya mazishi ya Marehemu Gosbert Rushekya Kamugisha Gaspary
Majonzi makubwa kwa Mjane wa Marehemu pichani kushoto na Dada wa Marehemu (kulia)
Wanafamilia wakikabiliana na majonzi ya mpendwa wao, aliyekuwa mpigania Imani na mwenye msimamo asiye yumba katika kutetea Imani na msimamo wa kanisa katoriki.
Pichani anaonekana Bwana Henry Bitegeko mwenyekiti wa Kigango Gera
Familia ya marehemu kupitia Bukobawadau inatoa shukrani kwa wote walioshiriki Mazishi haya,mwenyezi mungu awazidishie moyo wa upendo na mshikamano katika Imani, inawaomba kuendelea kuwaombe hasa katika kipindi hiki kigumu
Salamu za rambirambi kutoka chama kikuu cha ushirika Kagera KCU
Mwakilishi wa Mbunge wa jimbo la Nkenge Bi. Asumpter Nshunju Mshama
Bw. kadogo mwakilishi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema
Baadhi ya waombolezaji walihudhuria mazishi hayo ikiwemo viongozi wa Kimira ,wanasiasa na maofisa mbalimbali.
Umati wa watu ukielea eneo la kaburi mara baada ya kushiriki Ibada.
Jeneza lenye mwili wa Marehemu Gosbert Rushekya Kamugisha Gaspary likiingizwa Kaburini.
Baba Paroko wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mugana akiweka udongo kaburini
Zoezi la kuweka Udongo kaburini likiendelea
Wanafamilia wakiweka Udongo kaburini.
Hivi ndivyo hali ilivyokuwa katika Mazishi ya Marehemu Gosbert Rushekya Kamugisha Gaspary
Waombolezaji wakiweka udongo kaburini
Mmoja wa waombolezaji kwenye mazishi ya Marehemu Gosbert Rushekya Kamugisha Gaspary.
Kwa matukio ya picha zaidi ya 100 Ingia kwenye ukurasa wetu wa facebook kwa kubofya link hii>>>BUKOBAWADAU MEDIA
Ndugu Rameck Rushekya akiweka shada la maua kwenye kaburi la Marehemu Kaka yake mpendwa.
Sehemu ya wanafamilia wakiweka mishumua kwenye kaburi la mpendwa wao Marehemu
Gosbert Rushekya Kamugisha Gaspary
Omwami kazi Apolonia Lutinwa wakati akiweka mshumaa kwenye kaburi.
Utaratibu wa kuweka mishumaa ukiendelea
Taswira mbalimbali mazishi yakiendelea

Bwana ametoa na bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe amen! R.I.P Mpendwa wetu.
Hali ya simanzi na vilio kutoka kwa waombolezaji
Kwa matukio ya picha zaidi ya 100 Ingia kwenye ukurasa wetu wa facebook kwa kubofya link hii>>>BUKOBAWADAU MEDIA
....INAENDELEA KWA MATUKIO YA PICHA NA SEHEMU YA VIDEO HIVI PUNDE...