Kampuniya NOFO ya jijini Dar es Salaam, inayojihusishanauchapishajinauuzajiwavitabuvyahadithizawatoto,inatangazanafasikumizakaziyaafisamasoko. Wenye sifa zifuatazo watume maombi kupitia baruapepe ndejarini@gmail.com kwenda kwa GENERAL MANAGER, NOFO, DSM
(1) Shahadaya kwanza au stashahadayajuuyabiasharakatikamasoko
(3) Ari namoyowakufikiamalengouliyowekewa
(4) Uwezowakujielezavizurimbeleyawatuwengi
Mwisho wa kupokelewa kwa maombi ni Alhamisi saa nane mchana tarehe 13 Agosti 2015. Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0767-195912/0713195912.