MATOKEO KURA ZA MAONI UDIWANI UKAWA BUKOBA MJINI
Uchaguzi kura za maoni kata Hamugembe Chadema,Ndg Muhaji Kachwamba pichani ameweza kuibuka kidedea kwa kura 27 dhidi ya kura 3 za mpinzani wake Mr. Masoud#SiasazaBukoba Matokeo ya kura za maoni...
View ArticleUZINDUZI WA ALBAMU TATU ZA MWAITEGE NI KESHO UKUMBI WA DIAMOND JUBILEE,...
Boniface Mwaitege, atakaye zindua albamu zake tatu hapo kesho. Faustine Munishi, mmoja wa waimbaji wa injili atakayetoa burudani.Upendo Kilahiro, atatumbuiza.Jesca Maguba (BN), atatumbizaAtosha...
View ArticleNI SWAIBA BALOZI KAGASHEKI BUKOBA MJINI
EXCLUSIVEmatokeo ya kura za maoni ndani ya CCM Bukoba Mjini Balozi Kagasheki aibuka kidedea.#SiasazaBukoba Matokeo ya Jumla Ubunge Bukoba Mjini 1.(SWAIBA) BALOZI (SWAIBA) KAGASHEKI KURA 6971...
View ArticleMATOKEO YA KURA ZA MAONI CCM BUKOBA YETU
Tunaendelea kupokea matokeo ya kura za maoni ambazo zimekuwa zikiendelea hii leo Kutoka jimbo la Jimbo la Bukoba Vijijini Jason Rweikizaa naongoza kwa % kubwa dhidi ya Nazir Karamagi ,Kwa ufupi Ndugu...
View ArticleMAKONGOROMAHANGA:ATANGAZA KUHAMA CCM
Naibu waziri wa kazi na ajira na Mbunge wa Segerea anayemaliza muda wake,Makongoro Mahanga ametangaza leo kujiunga na Chadema.
View ArticleMWANDANI WA RAIS WA BURUNDI AUAWA
Rais Pierre Nkurunziza pichani Mamlaka nchini Burundi inasema kuwa jenerali Adolphe Nshimirimana ameuawa. Imeripotiwa kuwa alifariki katika shambulizi la roketi katika gari lake kaskazini mwa mji mkuu...
View ArticleMAULID YA NDOA YA BI JADIDA BYABUSHA NA BW FAISARY BASHIR YAFANA
Mashallah,ndivyo anavyo onekana Bi harusi wetu pichani Bi Jadida Byabusha akiwa kapendeza sana sana tena sana jamani Ustaadh Ibrahim Byabusha (kushoto)ambaye ni Baba mdogo wa Bi Jadida katika picha na...
View ArticleJARIDA LA EUROMONEY LA UINGEREZA LATOA TUZO YA UFANISI KWA BENKI YA NMB TANZANIA
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Ineke Bussemaker (kushoto), akiwaonesha waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, Tuzo ya Ufanisi wa kibenki nchini Tanzania iliyotolewa na Shirika la...
View ArticleMISS KILIMANJARO AMBASSADOR 2015 YOLANDA SHAYO AINGIZWA MITINI NA MUANDAJI
Muandaji wa shindano la Miss Kilimanjaro Ambassador 2015,Jackline Chuwa adaiwa kuingia mitini na fedha za zawadi za warembo na malipo kwa watu aliofanya nao kazi kufanikisha shindano hilo.Habari za...
View ArticleHAPA NA PALE NA CAMERA YETU
Hongereni Wapambanaji wa kata jirani za Ishozi na Ishunju Ndg William Rutta na Msafiri Matelephone , kila lililo jema katika kufikia malengo kwa hatua ijayo baada ya kura za maoni ,bila shaka...
View ArticleHAPA NA PALE NA CAMERA YETU
Hongereni Wapambanaji wa kata jirani za Ishozi na Ishunju Ndg William Rutta na Msafiri Matelephone , kila lililo jema katika kufikia malengo kwa hatua ijayo baada ya kura za maoni ,bila shaka...
View ArticleKAMPUNI YA SIMU YA TIGO, HUAWEI WAZINDUA SIMU YA WATU WA HALI YA CHINI JIJINI...
Meneja wa Vifaa vya Huawei, Peter Zhang Nchini (kulia), akionesha aina ya simu ya Huawei Y 360 na Y 625 ambazo zina uwezo wa hali ya juu katika matumizi ya nyanja mbalimbali wakati akizungumza na...
View ArticleOFISI YA WAZIRI MKUU KATIKA USIMAMIZA WA SHUGHULI ZA SERIKALI-MAONESHO YA...
Maafisa Utumishi Ofisi ya Waziri Bi.Ernajoyce P. Hallo (wa kwanza kushoto) na katikati ni Bi.Faith S. Lazaro wakisikiliza maoni ya Bw.Edward Osca Sodani kuhusu uboreshwaji wa huduma za serikali kwa...
View ArticleVIP KUSHIRIKIANA NA COSAD CLINIC NA MADAKTARI WALIOPO BUKOBA KUBORESHA HUDUMA...
Mshauri wa kimataifa wa kujitegemea wa kampuni ya VIP Engineering and Marketing Ltd Fr. James Rutakwabyera pichani katika akizungumza katika kikao cha washauri wa ndani wa kampuni wa VIP wanaoishi...
View ArticleLIPUMBA: UKAWA WAMESHINDWA KUSIMAMIA MAKUBALIANO NITABAKI KUWA MWANACHAMA
LIPUMBA AJIUZULU: Mwenyekiti wa CUF Prof. Ibrahim Lipumba ajiuzulu uenyekiti Dar leo, adai Ukawa wameshindwa kusimamia makubaliano, atabaki kuwa mwananchama.
View ArticleMATUKIO KUTOKA MLIMANI CITY HAFLA YA WASANII KUMUAGA RAIS KIKWETE
Rais Dr. Jakaya Kikwete akifurahia jambo na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli kupitia CCM wakati alipowasili Mlimani City jijini Dar es salaam kwa ajili ya...
View ArticleWALIOKUWA MADIWANI WA CCM MERU WAAMIA CHADEMA
Updates:Waliokuwa madiwani wote wa ccm toka halmashauri ya meru mkoani arusha wote wamehamia Chadema Ni tukio la muda mchache uliopita
View ArticleTANGAZO LA KAZI
Kampuniya NOFO ya jijini Dar es Salaam, inayojihusishanauchapishajinauuzajiwavitabuvyahadithizawatoto,inatangazanafasikumizakaziyaafisamasoko. Wenye sifa zifuatazo watume maombi kupitia baruapepe...
View ArticleLOWASSA AHUDHULIA MKUTANO WA BARAZA KUU LA CHAMA CHA WANANCHI CUF JIJINI
Sehemu ya Wafuasi na Wanachama wa Chama cha Wananchi CUF, wakiwa wamejipanga Barabarani tayari kwa kumlaki, Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na...
View Article