HUDUMA YA UPASUAJI WA WATOTO WENYE UGONJWA WA KICHWA KUJAA MAJI NA MGONGO...
Shirika lisilokuwa la serikali la Friends of Children with Cancer Tanzania (FOCC TZ) lazindua rasmi huduma ya upasuaji wa watoto wenye ugonjwa wa vichwa kujaa maji na mgongo wazi mkoani Kagera...
View ArticleMCHAKATO KURA ZA MAONI CHADEMA JIMBO LA BUKOBA MJINI
Taswira nje ya Ukumbi wa Rumuli ,Mchakato wa Kura za maoni Ubunge Chadema jimbo la bukoba Mjini ukiwa unaendelea hivi sasa. Ndugu Meza pechani ambaye ni Mgombea nafasi ya Ubunge jimbo la Bukoba Mjini...
View ArticleDKT MAGUFULI AREJEA JIJINI DAR BAADA YA KUJITAMBULISHA MIKOA KADHAA,APOKELEWA...
Mgombea Urais alieteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi wa Mji wa Chalinze (hawapo pichani) alipokuwa akirejea jijini Dar jana jioni akitokea mkoani...
View Article'LWAKIS' MUGANYIZI LWAKATARE AONGOZA KURA ZA MAONI UBUNGE CHADEMA BUKOBA
Wilfred Muganyizi Rwakatare akiongozana na wafuasi wake mara baada ya kutangazwa mshindi wa kura za maoni Ubunge Chadema Jimbo la Bukoba mjini katika uchaguzi uliofanyika jioni ya leo . 22 Matokeo ya...
View ArticleMahojiano na Charles Magali ndani ya Washington DMV
Charles Magali akiwa ndani ya Kilimanjaro Studio zinazomilikiwa na Vijimambo Radio, Kwanza Production na NesiWangu MediaIjumaa ya Julai 24, 2015, mwigizaji na mwimbaji wa muziki nchini Tanzania Charles...
View Article“SIASA ZA BUKOBA” KIGANJANI KWAKO
“SIASA ZA BUKOBA” KIGANJANI KWAKO! Bukoba Wadau Media inapenda kuwafahamisha Wazawa wa Bukoba walioko nje ya Majimbo ya Bukoba kuwa imefungua Jukwaa la Whatsapp kwa jina “SIASA ZA BUKOBA” ili...
View ArticleWASHINDI VITI MAALUM UWT, WAZAZI NA WENYE ULEMAVU
Miongoni mwa Wabunge Viti Maalum ambao hawakupata kuchaguliwa tena ni Waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii, Shamsha Mwangunga, Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, Dk Pindi Chana na...
View ArticleSWALI LA JUMAPILI NA MIMI MWANAKIJIJI
Swali la Jumapili: Hivi kweli kabisa CHADEMA baada ya miaka mitano ya kujijenga, kuhamasisha wananchi na wanachama wake na kutikisa malango ya CCM inahitaji wana CCM kugombea nafasi zake mbalimbali ili...
View ArticleMITAZAMO MBALI MBALI JUKWAANI
Tuachane uroho wa madaraka kwa kuwadanga na kuwahadaa wananchi. Leo tunawaonyesha wezi na kuwafikisha mahabusu halafu kesho tunakula nao na kuwasifia kwa kazi zao. Wengine wanasema ety ana wafuasi...
View ArticleMBUNGE CHIKU ABWAO WA CHADEMA AMFUATA ZITTO KABWE ACT-WAZALENDO
Katibu wa Mipango na Mikakati wa Chama cha ACT-Wazalendo, Habibu Mchange (kushoto), akimkabidhi kadi ya chama hicho, aliyekuwa mbunge wa Viti maalumu kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
View ArticleMANENO YA TUNDU LISSU KUPITIA FACEBOOK
Kupitia Ukurasa Wake wa Facebook Mh.Tundu Antiphas Lissu ameandika ujumbe huuEdward Lowassa anajiunga na CHADEMA na atakuwa mgombea urais wa CHADEMA na wa UKAWA. Lowassa is perhaps the most...
View ArticleAjili mbaya Watu Kadhaa wapoteza maisha
Ajali mbaya imetokea eneo la Bugorora Kyaka asubuhi ya leo majira saa tatu kasoro,inahusisha Bus la Sabuni lililokuwa likitokea Karagwe na Land Cruiser ya kanisa taarifa za hawali zinasema watu si...
View ArticleSIKILIZA HOTUBA YA LOWASSA KUJIUNGA UKAWA
SIKILIZA HOTUBA YA MH. LOWASSA HAPA CHINI MATUKIO YA PICHAYALIYOJIRI MKUTANO WA CHADEMA/UKAWA KUJIUNGA KWA LOWASSA. Lowassa akiingia kwenye ukumbi wa MkutanoMh. Lowassa na mke wake mara baada ya...
View ArticleMAELEZO YA BALOZI KAMALA KATIKA MKUTANO WA KURA ZA MAONI UBUNGE JIMBO LA NKENGE
Mgombea ubunge Jimbo la Nkenge kwa tiketi ya CCM,Balozi wa Tanzania Ubelgiji, Luxembourg na Jumuiya ya Ulaya, Dr. Diodorus Buberwa Kamala akiongea na wananchi waliohudhuria mkutano wa wa Wagombea...
View ArticleEDO KUMWEMBE:NDOA YA UKAWA NA LOWASSA
By Edo Kumwembe, Mwananchi Jioni ya Januari 25, 1965 wakati Waingereza walipomzika Waziri Mkuu wao maarufu wa zamani, Winston Churchill katika makaburi ya St Martin’s Church, Bladon eneo la Oxford...
View ArticleMisa ya Shukurani Arubaini ya Marehemu Mzee Samuel N. Luangisa Saturday...
MISA YA Shukurani Kutimiza siku Arubaini (40) ya MAREHEMU Mzee Samuel Mtabala LUANGISA- New York Saturday August 8, 2015. Familia ya Marehemu Mzee Luangisa na New York Tanzania Community,...
View ArticleRais Kikwete atunukiwa shahada ya uzamivu chuo kikuu Newcastle nchini Australia
Rasi Jakaya Mrisho Kikwete ametunukiwa shahada ya uzamivu ya heshima ya sheria katika chuo kikuu cha Newcastle nchini Australia, leo tarehe 29/7/2015. Unaweza kusoma zaidi katika gazeti la the...
View ArticleSIO RAHISI WOTE TUONE JAMBO KWA WAKATI MMOJA
SIO RAHISI WOTE TUONE JAMBO KWA WAKATI MMOJAKatika utendaji wa jambo lolote la kijumuia ambamo kuna timu ya viongozi ambao ndio hufikiwa na taarifa zote muhimu na kuelewa uelekeo halisi...sio rahisi...
View ArticleKIJANA ASHRAPH KYOBYA 'MOTOTO WA IBWERA' MWENYE NDOTO YA KUWA MWANASIASA HODARI
Pichani ni Kijana Ashraph Sadru Kyobya ,anayevutiwa kuwa mwanasiasa,Ni mzaliwa wa kijiji cha Ibwera Kati Wilaya ya Bukoba Vijijini ni kijana msomi aliyepata elimu ya juu ngazi mwenye shahada ya...
View Article