Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 4177

DOZI YA JUMAPILI AUG 23:SIO TU UDHAIFU BALI KUKOSA UTU NA NIDHAMU MBOVU

$
0
0
SIO TU UDHAIFU BALI KUKOSA UTU NA NIDHAMU MBOVU
Inakuwaje ktk ndoa mkeo anaweza kuvumilia nakuutiisha mwiliwake kwenye kuhitaji tendo la ndoa ili tu akusubiri nyakati unaumwa, umesafiri, unasikia vibaya, unastress, lakini wewe hata akiwa kwenye hedhi unajifanya umezidiwa, tena akiwa kwenye mimba, kulea mtoto au ugonjwa ndio kabisaa unahamia kwa nyumba ndogo na kuzaa nje kabisa. Ukijakuulizwa utaskia eti "shetani kanipitia". Kakupitia akienda wapi??? Sasa hapo kakupitia au kahamia kwako kabisa???? - Chris Mauki

Viewing all articles
Browse latest Browse all 4177

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>