WAJASIRIAMALI KUONYESHA BIDHAA ZAO JIJINI MWANZA, SEPTEMBA 26, 2015.
Baadhi ya Wajasiriamali wakiwa katika maonyesho ya bidhaa mbalimbali kwenye kongamano la wajasiriamali lililofanyika Hoteli ya Mbezi Garden mapema mwaka huu. Kongamano la namna hiyo linatarajiwa...
View ArticleUKAWA WATANGAZA MAJIMBO WALIYOGAWANA KATIKA UCHAGUZI MKUU
Kaimu Katibu Mkuu wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Nderakindo Kessy (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Makao Makuu ya chama hicho, Ilala Dar es Salaam jana, wakati akitangaza...
View ArticleDkt John Pombe Magufuli alipotambulishwa kwa wazee wa Dar es salaam ukumbi wa...
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahma Kinana alipokuwa anawasili kwenye hafla ya kumtambulisha mgombea wa Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli...
View ArticleMJESHI HAKIMU MBAGWA AUAGA UKAPELA
Kama kawaida kutokana na ubora wa Mwanalibeneke wenukwa coverage kubwa ya matukio na Uwezo wa kipekee wa kupiga picha,Bukobawadau Blog tunapata tenda ya kuchukua matukio ya harusi hii ya kihistoria. Ni...
View ArticleJARIBU HAPA KUPIGA KURA YA MAONI URAIS 2015
UCHAGUZI MKUU 2015 UNGEFANYIKA SASA KURA YAKO UNGEMPIGIA NANI? PIGA KURA YAKO KWA KUBONYEZA SEHEMU YA SANDUKU HUSIKA LA KURA YA MAONI HAPA CHINI UCHAGUZI MKUU 2015 UNGEFANYIKA SASA KURA YAKO UNGEMPIGIA...
View ArticleJAMES MBATIA AKABIDHI ZAWADI KWA BINGWA WA MASHINDANO YA JIMBO LA VUNJO...
Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi,James Mbatia akiwasili katika uwanja wa Himo Polisi kwa ajili ya kushuhudia fainali ya Mashindano ya Kombe la Jimbo ,maarufu kama Mbatia Cup 2015.Mwenyekiti wa...
View ArticleWasanii kuipigia debe CCM na tamasha la MAMA ONGEA NA MWANAO 2015
Mwenyekiti Msaidizi wa Tamasha la MAMA ONGEA NA MWANAO 2015 litakaloipigia kampeni CCM, Wema Sepetu akizungumza na wanahabari leo jijini Dar es Salaam juu ya tamasha na kampeni zao. Kutoka kulia ni...
View ArticleSTANBIC TANZANIA YAISAIDIA PTA KUWEKEZA BILIONI 32 SOKO LA HISA DSM
Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Stanbic Tanzania Ken Cockerill akiongea na wa habari kuhusiana na benki hiyo ilivyofanikisha Benki ya PTA kuwekeza amana zenye thamani ya shilingi 32.6bn kwenye Soko la...
View ArticleREDDS MISS TANZANIA 2015 NA MISS KENYA WATEMBELEA HOSPITALI YA CCBRT...
Miss Kenya, Idah Nguma. Redds Miss Tanzania 2015, Lilian Kamazima. Redds Miss Tanzania 2015, Lilian Kamazima (kushoto), akiwa na Miss Kenya, Idah Nguma baada ya kuwatembea wagonjwa katika hospitali...
View ArticleVIDEO/PICHA HISTORIA YA MTI AINA YA 'MJUJU' KWA JAMII YA WAHAYA
Katika pitapita zetu za hapa na pale ,Camera ya Bukobawadau Media ikiwa maeneo ya Kibeta inakutana na tukio la Mti huu aina ya 'Mjuju' wenye historia ya aina yake kwa wananchi wakazi wa Mkoa wa Kagera...
View ArticleMFUTE MACHOZI NEEMA,MPE TABASAMU
Kwa watanzania wengi, hii si habari/stori mpya. Labda cha kukumbusha tu ni kuwa Neema bado yuko hospital ya taifa muhimbili na anahitaji msaada wako. Neema mwenye miaka 31, mama wa watoto 3, aliyekaa...
View ArticleHONGERA 'RMK' RAMADHANI WA KAMBUGA KWA TUKIO HILI !!
Mbele ya Camera yetu ni Shabiki mkubwa na mpenzi wa mtandao wa Bukobawadau,Ndugu Ramadhani Kambuka (RMK) ,akiwa ametulia pembeni ya gari aina ya Toyota Land Cruiser V 8,kitindo kinacho pelekea tumpe...
View ArticleGLOBAL EDUCATION LINK (GEL) YASAFILISHA WANAFUNZI KWENDA KUSOMA NCHINI INDIA
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Global Education Link (GEL) ambao ni wakala wa vyuo vya nje ya nchi, Abdulmalik Mollel akiwa ameambatana na wafanyakazi wa kampuni hiyo kuwasindikiza wanafunzi 30...
View Article“SIASA ZA BUKOBA” KIGANJANI KWAKO
“SIASA ZA BUKOBA” KIGANJANI KWAKO! Bukoba Wadau Media inapenda kuwafahamisha Wazawa wa Bukoba walioko nje ya Majimbo ya Bukoba kuwa imefungua Jukwaa la Whatsapp kwa jina “SIASA ZA BUKOBA” ili...
View ArticleMH SUMAYE AJITOA RASMI CCM NA KUJIUNGA UKAWA
Waziri Mkuu mstaafu, Fredreck Sumaye (kushoto), akizungumza na wanahabari wakati akitangaza kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Ukawa), leo mchana. Waziri Mkuu mstaafu, Fredreck Sumaye...
View ArticleMAANDALIZI YA UZINDUZI WA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU CCM YAKAMILIKA, MAGUFULI,...
Katibu Muenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhan Juma 'Gadafi' akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisi kwake leo asubuhi, kuhusu kukamilika kwa maandalizi...
View ArticleHAPPY BIRTHDAY BLOGGER MC BARAKA
Leo Aug 23 ni siku ya kuzaliwa kwangu Mwanalibeneke Mc Baraka,Namshukru sana mwenyezi mungu kwa kunilinda mpaka kufika hapa nilipo,namshukuru Mola kwa kunipa nguvu na ujasili wa kupambana na misukosuko...
View ArticleDOZI YA JUMAPILI AUG 23:SIO TU UDHAIFU BALI KUKOSA UTU NA NIDHAMU MBOVU
SIO TU UDHAIFU BALI KUKOSA UTU NA NIDHAMU MBOVU Inakuwaje ktk ndoa mkeo anaweza kuvumilia nakuutiisha mwiliwake kwenye kuhitaji tendo la ndoa ili tu akusubiri nyakati unaumwa, umesafiri, unasikia...
View ArticleKILOMETA 6,276 ZA BARABARA ZAJENGWA NCHINI KWA MIAKA 10
Wakati wakandarasi walipokuwa wanajenga daraja hili katika eneo la Miangalua kwenye barabara ya Tunduma-Sumbawanga mwaka 2011. Barabara hiyo sasa imekamilika.Barabara ya Mwanza-Musoma iko katika hali...
View Article