Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 4196

MATUKIO YA PICHA KUTOKA VIWANJA VYA JANGWANI :Uzinduzi wa kampeni za mgombea Urais CHADEMA/UKAWA

$
0
0
''Viwanja vya kufanyia kampeni tunanyimwa, mazikoni kwenda napo tunakatazwa. Hatuna haki kabisa'' Haji Duni #Jangwani#Urais2015
 Lowassa: Hata wakiiba kura wataiba nyingi lakini bado zitabaki za kutufanya kushinda #UkawaJangwani#Urais2015

 Lowassa: Jambo la kwanza katika Ilani, kipaumbele cha kwanza elimu, cha pili elimu, cha tatu elimu ‪#‎UkawaJangwani‬‪#‎Uchaguzi2015‬
 "Madawa ya kulevya yanapopita pale Airport na hayakukamatwa yakakamatwa South Africa Lowassa alikuwapo?"- Sumaye ‪#‎Jangwani‬‪#‎Urais2015‬
 ''Wapo watu waliofungwa na minyororo ndani ya CCM, na hawajui hatma yao hadi sasa wanaburuzwa tu'' Mbowe ‪#‎Jangwani‬‪#‎Urais2015‬

Viewing all articles
Browse latest Browse all 4196

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>