Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Browsing all 4196 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEC YAKABIDHI POLISI MAJINA YA WATU 52,078 WALIOJIANDIKISHA ZAIDI YA MARA...

 Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Kailima Ramadhan (kushoto), akimkabidhi Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Benedict Wakulyamba orodha ya majina 52,078 ya watu waliojiandika katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUICO YAPATA VIONGOZI WAPYA MKOANI MBEYA

Katibu wa TUICO  Mkoa wa Mbeya Ndugu Merboth Kapinga akizungumza na wajumbe wa Tuico siku ya uchaguzi uliofanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Otu jijini Mbeya.(JAMIIMOJABLOG)Wajumbe wa mkutano wakiimba...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAADHIMISHO YA WIKI NENDA KWA USALAMA BARABARANI YAFANYIKA TEMEKE JIJI DAR ES...

Turn off for: Swahili Mgeni rasmi ambaye ni Mkurugenzi wa Kampuni ya A&T Brothers Co. Ltd Abdulmalik Mollel akuzungumza na wananchi juu ya Kuzuia kabisa mwendo kasi kwa magari makubwa barabara ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGUFULI AHIDI KUANZISHA MAHAKAMA YA MAFISADI NA WALA RUSHWA IWAPO...

 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi,Dkt John Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya wananchi katika viwanja vya Nzovwe mjini Mbeya jioni ya leo,kwenye mkutano wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WHO YATOA DAWA ZA MILIONI 42.2 KUPAMBANA NA KIPINDUPINDU NCHINI

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Donan Mmbando (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi wakati akipokea msaada huo kutoka WHO. Kulia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wanawake Wamlilia Maji Mgombea Mwenza wa CCM

Mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu akiwasikiliza akinamama wakimuelezea kero ya maji baada ya kumsimamisha na kumpa kero hizo Jimboni Longido. Wakinamama wilayani Longido...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK MAGUFULI AVUNJA REKODI YA UKAWA KATIKA MKUTANO WA KAMPENI JIJINI MBEYA

Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akitembea kwa miguu baada ya kumaliza kujinadi katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Ruanda Nzovwe, jijini Mbeya. PICHA ZOTE NA RICHARD...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE WA LUDEWA DEO FILIKUNJOMBE APINGWA KUPITA BILA KUPINGWA MCHAKATO WA...

 Mgombea Ubunge Jimbo la Ludewa kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Msambichaka Mkinga (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, wakati...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANGAZO LA HIJA NYAKIJOGA MUGANA BUKOBA 06 SEPT. 2015

Ndugu Wapendwa,Tunawaalika katika hija ya kila mwaka ya Nyakijoga Mugana Bukoba; Lurdi ya Bukoba. Itakuwa tarehe 06 Septemba 2015. Mwaka huu hija itaongozwa na Balozi wa Baba Mtakatifu Tanzania, Mha....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DUKA JIPYA LA KISASA 'MAMA PAVIN SHOPPING CENTER' WALIOPO JENGO LA BUGABO HOUSE

 Karibu Mama Pavin Shopping Center duka jipya na la kisasa la vipodozi na bidhaa mbalimbali  lililo funguliwa rasmi hivi karibuni ,Duka hili lipo Jengo la Bugabo House makutano ya  barabara ya Arusha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATUKIO YA PICHA KUTOKA VIWANJA VYA JANGWANI :Uzinduzi wa kampeni za mgombea...

''Viwanja vya kufanyia kampeni tunanyimwa, mazikoni kwenda napo tunakatazwa. Hatuna haki kabisa'' Haji Duni #Jangwani#Urais2015 Lowassa: Hata wakiiba kura wataiba nyingi lakini bado zitabaki za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UZINDUZI WA TAMASHA LA KUOMBEA AMANI TAIFA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU KUFANYIKA...

 Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion, waandaaji wa matamasha mbalimbali kama lile la Krismas na Pasaka, Alex Msama (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UZINDUZI WA KAMPANI CHADEMA/UKAWA JANGWANI YATAPIKA

Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema kupitia Ukawa, Mh Edward Lowassa akiongea na wakazi wa jiji la Dar waliojitokeza katika uzinduzi wa Kampeni za Ukawa katika viwanja vya Jangwani mapema leo.Mh...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM Kuondoa Kodi za Hovyo, Yaja na Elimu Bure Hadi IV

Mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia Suluhu (hayupo pichani) akinadi ilani ya Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba. Baadhi ya wanaCCM na wananchi wakimsikiliza mgombea mwenza wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGUFULI AZIDI KUCHANJA MBUGA,AWATAKA WANANCHI WAWEKE IMANI KUBWA KWAKE NA...

 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Njombe mjini katika mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika jioni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHAMA CHA ACT-WAZALENDO CHAZINDUA KAMPENI ZAKE VIWANJA VYA MBAGALA ZAKHEM DAR...

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Anna Mghwira (kushoto), akihutubia katika uzinduzi wa kampeni ya chama hizo uliofanyika viwanja vya Zakhem Mbagala jijini Dar es Salaam leo....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Helikopta ya Nyarandu Anogesha Kampeni za Mgombea Mwenza CCM

Mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia Suluhu akiwa jukwaani akinadi ilani ya Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba. Mjumbe wa Kamati ya Kampeni Taifa, Mwigulu Nchemba ambaye pia ni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MLANGIRA JUSTUCE LUGAIBULA MGENI RASMI KATIKA TAMASHA LA KWAYA LILILOANDALIWA...

Mgeni rasmi katika tamasha la kwaya lililoandaliwa na Kwaya ya Mt. John Bostco ya Bukoba Cathedrala ,Mlangira Justuce Lugaibula pichani  na Mke wake Omwana Joilyn Jojo (Jojo) wakiwa katika tamasha hilo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWS:DR KUZUNGUMZA KESHO

Katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe. Dkt. Wilbroad Slaa kesho Jumanne Septemba 1, 2015 atavunja ukimya kwa kuongea na wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MLANGIRA JUSTUCE LUGAIBULA MGENI RASMI KATIKA TAMASHA LA KWAYA LILILOANDALIWA...

Mlangira Justuce Muganyizi Lugaibura pichani ameweza kuhudhuria kama Mgeni rasmi katika tamasha ya kuadhimisha miaka 33 ya Kwaya ya Mt. John Bosco ya Cathedral Bukoba. Hivi ndivyo Mgeni Rasmi Mlangira...

View Article
Browsing all 4196 articles
Browse latest View live