HIVI NDIVYO MAGUFULI ALIVYOITIKISA RUVUMA
 Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi wa Songea waliokuwa wamefurika kwenye uwanja wa Maji Maji mjini  humo mkoani Ruvuma,Mgombea huyo ambaye anawaomba Watanzania ridhaa...
View ArticleUPDATES MKUTANO WA DK SLAA LEO NA WAAANDISHI WA HABARI SERENA JIJINI DAR
1.Napenda kumshukuru mwenyezi mungu kwa kutujali uzima.2. Nimeamua kujitokeza leo hii ili kumesha upotoshaji na kuuweka wazi ukweli.3.Sina tabia ya kuyumbishwa na ninasimamia ninachokiamini.4.Sina...
View ArticleCHAMA CHA UKOMBOZI (CHAUMA), CHAZINDUA KAMPENI ZAKE VIWANJA VYA BAKHRESA...
 Mwananchi aliyevalia nguo za Chama Cha Mapinduzi (CCM), akiondolewa na askari polisi baada ya kujipenyeza kwenye uzinduzi wa kampeni za Chama cha Ukombozi Umma (Chauma), uliofanyika viwanja vya...
View ArticleWANAMUZIKI WAANZA KUPATA BIMA YA AFYA
Mwaka 2004, John Kitime ambaye kwa sasa ndie Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanamuziki Tanzania (Tanzania Musicians Network-TAMUNET) alihudhuria Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Muziki Duniani –International...
View ArticleUJUMBE WANGU KWA WAANDISHI WA HABARI TANZANIA KATIKA KUELEKEA KIPINDI HIKI...
Lucy PatrickKalamu yangu mdomo wangu leo nataka nizungumze na wanahabari wenzangu waandishi na wataangazaji pia nataka mjue kwambaa karama hii au kipaji hiki tumepewa sio kwamba sisi tulistahili sana...
View ArticleKUZUNGUMZA KWA DK SLAA NA MAONI YA WADAU MBALIMBALI
Baada ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Dk. Wilbrod Slaa kuzungumza na waandishi wa habari katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam siku ya jana , Septemba...
View ArticleVIONGOZI WA KIDINI KUTOKA NCHI 17 ZA MASHARIKI NA KUSINI MWA AFRIKA WAKUTANA...
Mshereheshaji wa mkutano huo Prof. Venant Nantulya akiwa katika hatua ya uendeshaji wa mkutano wa Viongozi wa ngazi ya juu wa dini katika kupambana na kuweka mikakati ya kuharakisha kumalizama ambukizi...
View ArticleMKUTANO WA KAMPENI ZA MH. LOWASSA, SUMBAWAGA MKOANI RUKWA LEO
Sehemu ya Wananchi wa Mji wa Sumbawanga, waliofurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Ndege wa Sumbawanga Mkoani Rukwa, wakiishangilia Ndege iliyombeba Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika...
View ArticleKAMPENI ZA URAIS ZA DK MAGUFULI NI MWENDO MDUNDO MTWARA
 Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli akihutubia katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Mashujaa mjini Mtwara leo, ambapo alijinadi na kuwanadi wagombea ubunge...
View ArticleMafuriko ya Mama Samia Suluhu Yawavuna Vigogo Chadema Dodoma
Baadhi ya wanaCCM na wapenzi wa chama hicho wakiwa wamefurika katika mkutano wa hadhara ulofanyika Viwanja vya Chang'ombe mjini Dodoma. Baadhi ya wanaCCM na wapenzi wa chama hicho wakiwa wamefurika...
View ArticleMIKOPO KWA WAJASIRIAMALI WA KATI NA WAFANYAKAZI
Je umekwama kifedha?,Hujui wapi pa kwenda? Je unahitaji kutimiza ndoto na malengo yako? usihangaikeKampuni ya mikopo ya wezesha mzawa microfinance ltd inatoa mikopo kwa wajasiriamali wa kati na...
View ArticleBALOZI WA VATICAN NA MWAKILISHI WA PAPA NCHINI TANZANIA AWASILI MKOANI KAGERA...
Balozi wa Vatican na Mwakilishi wa Papa nchini Tanzania, Francisco Montecillo Padilla atembelea mkoa wa Kagera katika ziara ya kujione shughuli mbalimbali za Kanisa Katoliki mkoani zinavyotekelezwa pia...
View ArticleOFISI YA WAZIRI MKUU YAZINDUA MPANGO WA KUJIANDAA NA KUKABILI YA MAAFA KWA...
Mkurugenzi Idara ya Uratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Brig.Gen, Mbazi Msuya akisisitiza umuhimu wa Mpango wa Kujiandaa na kukabili maafa kwa wilaya ya Kilosa na Mvomero mkoani Morogoro wakati wa...
View ArticleMSAADA UNAHITAJIKA KWA NDUGU NASIFU AHMED LEMA
Bw. Nasifu A Lema yu taabani Afrika kusini, anahitaji msaada wa ndugu zake Tan
View ArticleASKOFU KILAINI AMKOSOA DK SLAA
Askofu Msaidizi wa jimbo katoliki la Bukoba Askofu Methodius Kilaini ameonesha kusikitishwa na kauli iliyotolewa hivi karibuni na Aliyekuwa katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa kuwa baadhi ya...
View ArticleUHALALI WA MGOMBEA UDIWANI KATA KASHAI
Tume ya Taifa kupitia kwa mkurugenzi wa uchaguzi imedhibitisha kuwa mgombea wa CHADEMA kashai amekubaliwa kuendelea na mchakato,kwamba awali kulikuwa na taarifa za kukinzana kutoka kwao! Maelozo kutoka...
View ArticleNDG SMART P.BAITANI KWA KAGONDO MPYA YENYE MTANDAO MPANA WA MAENDELEO
Ndugu Smart Petro Baitani nyota yake ilianza kung'aa pale alipo pata Scholarship ya kwenda nchini marekani mwaka 1998 kwa ajili ya kusomea Shahada ya Sayansi ya Kompyuta na MuzikiNi mgombea mwenye...
View ArticleSerikali ya Awamua ya Tano ni ya Viwanda - Samia Suluhu
Baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa kiti cha urais Bi. Samia Suluhu Jimbo la Kawe Kata ya Msasani kwenye viwanja vya...
View ArticleLOWASSA MKOANI KIGOMA
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akitembelea kuelekea kwenye Helkopta anayoitumia kwa...
View ArticleUZINDUZI WA KAVASHA CLUB NA KITABU CHA JIFUNZE LINGALA MTUNZI TCHIMANGA ASSOSSA
Uzinduzi wa Dar Kavasha Club pamoja na uzinduzi wa kitabu cha kujifunza Kilingala utafanyika leo tarehe 05-Sep-2015 kuanzia saa 12 jioni katika ukumbi wa MRC Mikocheni, ukumbi ulio nyuma ya Shopperz...
View Article