Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 4196

MLANGIRA JUSTUCE LUGAIBULA MGENI RASMI KATIKA TAMASHA LA KWAYA LILILOANDALIWA NA KWAYA YA MT.JOSCO-BUKOBA CATHEDRAL

$
0
0
Mgeni rasmi katika tamasha la kwaya lililoandaliwa na Kwaya ya Mt. John Bostco ya Bukoba Cathedrala ,Mlangira Justuce Lugaibula pichani  na Mke wake Omwana Joilyn Jojo (Jojo) wakiwa katika tamasha hilo lililofanyika jioni ya jana Jumapili Aug 30 ,katika Ukumbi wa Linas na kushirikisha waimbaji wengi wa Manispaa Bukoba na maeneo ya jirani.
Katika tamasha hilo Mgeni rasmi Mlangira Justuce Lugaibula kaongozana na mama yake Mzazi (pichani kulia) ,pamoja na mambo mengine kwa kutambua mchango mkubwa wa mama yake Mzazi  katika ngazi ya familia na jamii nzima ,Mlangira Justuce amechangia kwaya ya Mtakatifu John Bosco jumla ya shilingi milioni ishirini ( 20m/-).
 Waimbaji wa kwaya ya Mt. John Bosco wakitumbuiza katika  tamasha hilo
Claudi Mutabuzi akiwaongoza wanakwaya wa Mt. John Bosco katika tamasha hilo.
Kkundi cha 'Utoto  Mtakatifu' wakitoa burudani katika tamasha hilo.
 Mmoja wa waimbaji wa Kwaya ya Mt. John Bosco akipiga makofi kwa furaha .
Wadau pichani katikati ni Ndugu Kagunguna akifuatiwa na Ndugu Juvenary wakiwa wameketi wakati tamasha hilo linaenelea
Kikucha cha Ngoma cha Mt. Cecilia kutoka Mutukula border kikishusha burudani
Fr. Faustin  Kamugisha pichani kulia ,akiagana na Mgeni rasmi Mlangira Justuce Lugaibula

 Mc Hima Mgija akifuatilia kinachojiri ukumbini.
Wanakwaya wa BCC katika picha ya pamoja na Mgeni rasmi.
MATUKIO YA PICHA NA VIDEO YANAENDELEA HIVI PUNDE....

Viewing all articles
Browse latest Browse all 4196

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>