Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 4196

DEO FILKUNJOMBE ANUSURIKA KATIKA AJALI YA HELKOPTA

$
0
0
Taarifa za kutokea ajali ya helkopta katika mbunga ya selou eneo la msolwa na kuwaka moto taarifa rasmi zinasema Deo filkujombe amenusurika katika ajali hiyo.
Baadhi ya abiria wanaodaiwa kuwa ndani ya chombo hicho ambacho kinasemekana kilikuwa kikirushwa na Kapteni Slaa ni Haule (mdogo wake Filikunjombe), Deo Filikunjombe, Mtumishi mmoja wa Halmashauri mojawapo ya Mkoa wa Njombe.
Endelea kuwa nasi kwa taarifa zaidi kwa taarifa kuhusu hali za Abiria wengine

Viewing all articles
Browse latest Browse all 4196

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>