MKUU MPYA WA WILAYA YA NGARA MKOANI KAGERA AAPISHWA RASMI NA MKUU WA MKOA WA...
Mkuu mpya wa Wilaya ya Ngara mkoani Kagera Bi Honoratha Chitanda aliapishwa rasmia na Mkuu wa Mkoa wa Mkoa wa Kagera Mhe. Johna Mongella kushika wadhifa huo wa kuiongoza Wilaya ya Ngara na...
View ArticleDK MAGUFULI ASEMA BADO SIKU 12 KUWA RAIS WA TANZANIA
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akijinadi kwa wananchi kuomba kura za ndiyo katika mkutano wa kampeni mjini Mkuranga, Pwani leo.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA...
View ArticleONGEA NAO, SEMA NA WAPIGA KURA WAKO!
WAANDIKIE, ONGEA NAO, SEMA NA WAPIGA KURA WAKO! Bukoba Wadau Media inawaalika Wagombea wa nafasi mbalimbali za uwakilishi katika ngazi za Udiwani na Ubunge Mkoani Kagera kujumuika na wapiga kura wao....
View ArticleDK MAGUFULI ASHIRIKI KUUPOKEA MWILI WA MAREHEMU DK KIGODA DAR
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akizungumza na vyombo vya habari jinsi alivyomfahamu aliyekuwa waziri wa Viwanda na Biashara, marehemu Dk Abdallah Kigoda wakati wa mapokezi ya...
View ArticleMABADILIKO KATIKA UPASUAJI WA UVIMBE WA SARATANI
Dk. Umanath Nayak, mshauri mkuu wa magonjwa ya saratani ya kichwa na shingo pamoja na upasuaji kwa njia ya roboti katika hospitali ya saratani ya Apollo Hyderabad nchini IndiaNa Mwandishi Wetu, Sekta...
View ArticleMZEE MAKAIDI AFARIKI DUNIA
MAKAIDI AFARIKI: M'kiti Mwenza Ukawa, na Mwenyekiti wa chama cha NLD ,Emmanuel Makaidi afariki leo katika hospitali ya Nyangao, Lindi kwa shinikizo la damu, mkewe Modesta Makaidi athibitisha. Apumzike...
View ArticleVURUGU ZA KISIASA KARAGWE
Taarifa zinasema kuwa hali si hali katika kijiji cha Nyamiyaga Kata ya Bugomora wilayani Kyerwa vurugu kubwa zinaendelea kati ya watu wanaosadikiwa ni wafuasi wa vyama vya CCM NA CHADEMA. Hali hiyo ya...
View ArticleMAMA SAMIA SULUM AMNADI BALOZI KAMALA KIJIJINI BWANJAI - MISSENYI LEO
Mgombea mwenza wa nafasi ya urais Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mama Samia Suluhu Hassan amendelea na Ziara ya Kampeni Mkoani Kagera,ambapo Asubuhi ya leo amewahutubia wananchi wa Kata ya Bwanjai...
View ArticleMAGUFULI AHUTUBIA KISIWANI PEMBA LEO,AAHIDI KUULINDA MUUNGANO KWA NGUVU ZOTE.
Wananchi wa Jimbo la Kisarawe, mkoani Pwani wakishangilia hotuba ya Dk Magufuli wakati wa mkutano wa kampeni mjini Kisarawe leo. Picha zote na Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog.Dk Magufuli akimnadi...
View ArticleDEO FILKUNJOMBE ANUSURIKA KATIKA AJALI YA HELKOPTA
Taarifa za kutokea ajali ya helkopta katika mbunga ya selou eneo la msolwa na kuwaka moto taarifa rasmi zinasema Deo filkujombe amenusurika katika ajali hiyo.Baadhi ya abiria wanaodaiwa kuwa ndani ya...
View ArticleTAARIFA YA HIVI PUNDE AJALI YA HELKOPTA
Mgombea ubunge jimbo la Ludewa kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Deogratius Filikunjombe, rubani na abiria wengine wote wamekufa baada ya helkopta kuanguka na kuteketea katika hifadhi Selou....
View ArticleMKUTANO WA JUMA DUNI HAJI MJINI BUKOBA LEO
Mjini Bukoba Mamia ya wananchi wakifuatilia mkutano wa hadhara wa Mgombea Mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Juma Duni Haji uliofanyika...
View ArticleRais Kikwete aongoza maelfu ya waombolezaji kwenye mazishi ya Dkt...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili nyumbani kwa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara Marehemu Dkt Abdallah Kigoda mjini Handeni Alhamisi Oktoba 15, 2015 kuongoza mamia ya waombolezaji katika...
View ArticleMAPOKEZI, MKUTANO WA DK MAGUFULI HAIJAPATA TOKEA MWANZA
Mgombea urai wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akiwapungia mkono wananchi alipokuwa akiwasili kwenye mkutano wa kampeni katika viwanja vya Furahisha, jijini Mwanza.PICHA ZOTE NA RICHARD...
View ArticleDKT MAGUFULI ASHIRIKI KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MAREHEMU DEO FILIKUNJOMBE...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli akitoa heshima za mwisho mbele ya majeneza ya aliyekuwa Mbunge wa Ludewa(CCM) Marehemu Deo...
View ArticleERIC SHIGONGO: NENDA KAMANDA WANGU DEO
Aliyekuwa Mbunge wa Ludewa kwa tiketi ya CCM, Deogratias Filikunjombe, enzi za uhai wake akipanda chopa yake.Nakupenda DeoNimesikitishwa sana na kifo chako. Kweli kifo kipo na kila mmoja wetu...
View ArticleBOHARI YA DAWA (MSD) YASHIRIKI KONGAMANO LA 29 LA WANASAYANSI WATAFITI...
Ofisa Uhusiano wa MSD, Benjamin Massangya akimuonesha Mwananchi aliyetembelea banda la MSD nembo ya MSD iliyowekwa katika makasha na vifungashiyo vya dawa. Mtaalamu wa Maabara kutoka Bohari ya Dawa...
View ArticleDK MAGUFULI AZIDI KUCHANJA MBUGA MWANZA KATIKA MAJIMBO YA MAGU, SUMVE, KWIMBA...
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akihutubia katika mkutano wa kampeni mjini Misungwi, Mwanza jana, ambapo aliwaomba wananchi kumpigia kura za ndiyo katika Uchaguzi Mkuu Oktoba...
View ArticleKUTOKAMBEYAMJINI - NGOYAI LOWASSA
Mhe. Edward Ngoyai Lowassa akiongea na wananchi wa Mbeya mjini katika viwanja vya Rwanda-nzovwe jijini Mbeya leo Jumapili 18/10/2015,akiomba kura pamoja na kunadi sera zinazotekelezeka ...
View Article20 WACHAGULIWA KUSHIRIKI KATIKA SHINDANO LA BONGO STYLE COMPETITION.
Kipande cha Video ya mahojiano Majaji kwa Upande wa wabunifu wa Mitindo-Mavazi na Upigaji wa Picha wakiwa wanaendelea na kazi za uhakiki wa Majina ya kuwapata washiriki 20 ambao wataingia katika...
View Article