Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 4196

KUTOKAMBEYAMJINI‬ - NGOYAI LOWASSA

$
0
0
Mhe. Edward Ngoyai Lowassa akiongea na wananchi wa Mbeya mjini katika viwanja vya Rwanda-nzovwe jijini Mbeya leo Jumapili 18/10/2015,akiomba kura pamoja na kunadi sera zinazotekelezeka
 #‎Mabadiliko2015‬
 Mhe. Edward Ngoyai Lowassaakimtambulisha mgombea ubunge jimbo la Mbeya jimbo la Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi Sugu
 #‎KutokaMbeya‬ mgombea urais kupitia CHADEMA kwa tiketi ya UKAWA,Edward Lowassa amewahakikishia wakulima kuwa kama akichaguliwa kuwa rais ataboresha kilimo na kuwa cha kisasa na atafuta ushuru wa mazao na pembejeo na kwamba wakulima watakuwa na uhuru wa kuuza mazao yao nje ya nchi.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 4196


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>