Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Browsing all 4177 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MDAU WETU SILLAS MBUYA AFUNGA NDOA NA ANCILLA

 Bwana na Bibi harusi wakiingia kanisani kwa ajili ya kufungishwa ndoa katika kanisa la KKKT Sinza jana Jumapili.(Picha na Geofrey Adroph)   Mchingaji akitoa neno kwa wanandoa hao waliofunga pingu za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI KAMALA MGENI RASMI MAHADHIMISHO YA KIDOTO CHA NNE SHULE YA SEKONDARY...

Balozi Dkt Diodorus Buberwa Kamala Kamala mgeni Rasmi katika Mahafali ya kidato cha nne shule ya sekondari Tweyambe iliyopo wilayani Misenyi  yaliyofanyika mwisho mwa juma lililopita .Balozi Dtk...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK. SHEIN AOMBA KURA DIMANI MKOA MJINI MAGHARIBI, ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein akiwahutubia wananchi na WanaCCM katika Mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM Mkoa wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZIKIWA ZIMEBAKI SIKU TANO,MAGUFULI AENDELEA KUITIKISA KANDA YA ZIWA,AFANYA...

Mgombea Urais kupitia chama cha CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia maelfu ya wananchi wa Sengerema jioni ya leo kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika mjini humo.Katika mkutano huo wa kampeni Dkt...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LOWASSA AONGOZA MAMIA KUUAGA MWILI WA DK.EMMANUEL MAKAIDI VIWANJA VYA...

Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kupitia mwamvuli wa Ukawa, Edward Lowassa akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti Mwenza wa umoja huo,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete leo akabidhi jeshi la polisi magari 399 mapya kati ya 777...

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Inspekta Jenerali wa Polisi IGP Ernest Mangu alipowasili Chuo Kikuu cha Mafunzo ya Polisi Kurasini jijini Dar es salaam leo Oktoba 20, 2015 tayari kukabidhi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UNCLE SAM NA KAMPENI ZA LALA SALAMA JIMBO LA NKENGE (Operation Tokomeza Ukawa )

Ndugu Samuel Lugemalila kampeni meneja wa (Magufuli CLUB) Jimbo la Nkenge akiendelea kusaka kura za wagombea wa CCM Mtaa kwa mtaa, chocho kwa chocho ,kijiji kwa kijiji huko Missenyi,kama anavyo onekana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YALIYOJIRI KAMPENI JIMBO LA NKENGE LEO

 Leo tena Oct 21,2015 Mdau Samuel Lugemalila​ aendelea na kampeni zake kusaka kura kijiji kwa kijiji ,uso kwa uso na wananchi huko Missenyi ,kama meneja wa (Magufuli CLUB) Jimboni Nkenge akutana na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGUFULI AENDELEA NA KAMPENI ZAKE JIJINI DAR,APOKELEWA KWA KISHINDO

Dk. John Pombe Magufuli Mgombea Urais kupitia CCM akiwanadi wagombea kiti cha Udiwani kwa wakazi wa Kinondoni kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Biafra Kinondoni jijini Dar es...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK. JOHN MAGUFULI AOMBA KURA KUPITIA SIMU

Turn off for: Swahili CHAMA cha Mapinduzi CCM kimezidi kujitengenezea mazingira mazuri ya ushindi katika uchaguzi mkuu wa mwaka unaotarajiwa kufanyika Jumapili, Oktoba 25 baada ya kubuni mkakati mpya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JOYCE MSIRU ,MKURUGENZI MTENDAJI MPYA WA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA...

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Maji sa na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,MUWASA,Sharry Raymond akizungumza na wafanyakazi wa Mamlaka hiyo wakati wa utamburisho wa Mkurugenzi mpya wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA YA CHAMA CHA MAPINDUZI KWA VYOMBO VYA HABARI, ALHAMIS OKTOBA 22, 2015

CCM inapenda kutoa taarifa kuhusu masuala kadhaa kwa wanachama, wapenzi na mashabiki wake na kwa umma wa Watanzania. Kufunga Kampeni CCM itafunga kampeni zake kwa utaratibu mpya na kwa kishindo....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HARAKATI ZA BALOZI DIODORUS KAMALA NA UNCLE SAMUEL LUGEMALILA LEO OCT 22,2015

 Kutoka Nkenge Missenyi Leo ct 22,Uncle Samuel Lugemalila awaomba wanachi wajiunge na jamii ya CCM inayozidi kukua na kufanya kazi pamoja ,awataka wachague mafiga matatu, wamchaguwe Dk Magufuli ,...

View Article


HOTUBA YA MGOMBEA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KWA TIKETI CHADEMA...

Ndugu watanzania wenzangu. Imebaki siku moja tu kabla hatujapiga kura katika Uchaguzi Mkuu hapo tarehe 25 mwezi huu.• Tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa baraka na rehema zake kwa kutufikisha hapa hii leo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI KAMALA AFUNGA KAZI KATA ZA KITOBO NA RUZINGA : kufunga rasmi kampeni...

MISSENYI OCT 23,2015:BALOZI DK.Diodorus Kamala ambaye ni mgombea ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) jimbo la Nkenge mkoani Kagera amesema Ilani ya chama chake imezungumzia kufuta kodi za mazao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AMSHA AMSHA YA MWANZA, KUELEKEA MKUTANO WA KUFUNGA KAMPENI ZA CCM

 Leo ni Leo Mwanza... maana wakazi wa jiji La Mwanza na vitongoji vyake wamejitokeza kwa wingi kumpokea mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli. Huku Maelfu ya watu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI KAMALA AHITIMISHA KAMPENI ZAKE MJINI KYAKA LEO

KYAKA-Missenyi ,Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM, Balozi Dk. Kamala amefanya mkutano wake wa kuhitimisha kampeni  leo katika Mji Mdogo wa Kyaka -Missenyi ambapo amewataka wananchi waweze kumchagua ili...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK MAGFUNGA KAZI MWANZA, RAIS KIKWETE ASEMA ATAKAYE FANYA FUJO IUCHAGUZI MKUU...

Turn off for: Swahili Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli akiwapungia  wananchi alipowasili kwenye mkutano wa kuhitimisha  kampeni kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, jijini Mwanza jana....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wakazi wa Dar Wasimamisha Shughuli Kupiga Kura, Wajitokeza kwa Wingi

Wananchi na wakazi wa maeneo ya Tabata Liwiti wakiwa katika foleni ya kupiga kura leo jijini Dar es Salaam.Wananchi na wakazi wa maeneo ya Tabata Liwiti wakiwa katika foleni ya kupiga kura leo jijini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK. MAGUFULI APIGA KURA JIMBONI KWAKE CHATO

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dk. John Pombe Magufuli akipiga kura yake jimboni kwake Chato mapema leo asubuhi Oktoba 25, 2015.(PICHA NA MWANDISHI WETU).

View Article
Browsing all 4177 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>