Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Browsing all 4196 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BUKOBA LIVE: Wakati inasubiriwa tume itangaze rasmi matokeo

 Matukio ya picha Mjini Bukoba Wakati matokeo Rasmi yakisubiriwa kutangazwaWafuasi wa Chadema wakishangilia matokeo ya awali,mitaa mbalimbali ya Mji wa Bukoba,

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza matokeo ya Urais majimbo 3

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza matokeo ya Urais majimbo 3 ya Paje, Makunduchi na Lulindi.> Mgombea Urais wa CCM, Dr. John Pombe Magufuli anaongoza.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wilfred Lwakatare Atangazwa Rasmi Mbunge Bukoba Mjini

Tume yatangaza Rasmi matokeo 'Lwaks' Wilfred M. Lwakatare Mbunge JIMBO la Bukoba Mjini

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANGAZO LA MSIBA WA MAMA JUDITH TARIMO

Familia ya Marehemu Cyprian Tarimo ya Ukonga, Mombasa Dar es Salaam inasikitika kutangaza kifo cha mama yao mpendwa Mama Judith Tarimo kilichotokea Oktoba 25,2015 katika Hospitali ya Taifa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BUKOBA LIVE:Ushindi wa Dkt. John Magufuli Urais Tanzania Bara.

Amsha amsha Mjini Bukoba Muda mchache baada ya Mgombea wa urais kupitia tiketi ya chama cha CCM John Pombe Magufuli kutangazwa Kuwa Rais mteule wa taifa la Tanzania kufuatia uchaguzi wa urais...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NENO LA SHUKRANI KWA WADAU WA “SIASA ZA BUKOBA”

Ndugu Wadau, Ni miezi mitatu sasa toka kuanzishwa kwa Jukwaa la “SIASA ZA BUKOBA” kupitia Mtandao wa Whatsapp. Tulipoanzisha Jukwaa hili, nia ilikuwa ni kuendeleza dhima ya Bukoba Wadau Media kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAFUASI WA CCM WAMVAA MZEE MENGI

Uchaguzi umepita salama, tunalaani kitendo alichotaka kufanyiwa Mzee Mengi leo pale DIAMOND JUBILEE, Inasemekana wafuasiwa  CCM wametaka kumpiga kabla ya. kunusuriwa na Mh.Membe kwa kumuingiza kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK. JOHN POMBE MAGUFULI AKABIDHIWA CHETI CHA USHINDI WA URAIS WA TANZANIA...

 Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Damian Lubuva (kulia), akimkabidhi cheti cha Urais Rais Mteule wa Tanzania Dk.John Magufuli katika hafla iliyofanyika Ukumbi wa Diamond...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMBO YALIVYOKUWA KWENYE HAFLA YA KUKABIDHIWA CHETI CHA URAIS DKT MAGUFULI NA...

 Rais Mteule Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na Makamu wa Rais Mteule Mama Samia Suluhu Hassan wakiwa na Mwenyekiti wa Chama cha UPDP Taifa  Mhe. Fahmi Dovutwa katika chumba cha VIP cha ukumbi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TACCEO YALAANI KITENDO CHA POLISI KUVAMIA OFISI YAO NA KUWAKAMATA WAANGALIZI...

Mmoja wa Wakurugenzi wa Mtandao wa Asasi za Kiraia za Uangalizi wa Chaguzi (TACCEO), Hebron Mwakagenda (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Makao Makuu ya Kituo cha Sheria na...

View Article

HABARI KUBWA KATIKA TV MBALIMBALI NCHINI

Mabomu Mawili Yalipuka Zanzibar Askari Polisi Ajiua Kwa Risasi Iringa Ajali ya Basi na Noah Yaua 6 Matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba

View Article

STATE HOUSE STATEMENT

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONSTelephone:255-22-2114512, 2116898E-mail: ikulucommpress@googlemail.comWebsite : www.ikulu.go.tz               Fax:...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JOSE CHAMELEONE AWAPA SURPRISE YA NGUVU MASHABIKI WA SKYLIGHT BAND, USIKOSE...

Muimbaji kutoka nchiniUganda Jose Chameleone akiimba kwenye stage ya bendi ya Skylight mara baada ya kupanda kwenye stage hiyo na kuwaacha mashabiki awa bendi hiyo wakitoa shangwe ya nguvu. Njoo leo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIKU YA MARUHANI

SIKU YA MARUHANI Na Swahilivilla blog. Washington D.CJana ililkuwa ni "Siku ya Maruhani" nchini Marekani. Siku hii ijulikanayo kama "Halloween" husherehekewa kila tarehe 31 Oktoba, na ina historia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANGAZAO KWA WASAMALIA WEMA: MTOTO CAREEN ANAHITAJI MSAADA

Mtoto Careen Modest Kassuw pichani, ana umri wa mwaka mmoja, amezaliwa ana tatizo la Moyo ukiwa na matundu mawili na valvu zake nyembamba  zimebana kiasi  hivyo analazimika kusafirishwa kwenda India...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BARAZA LA WAZEE DAR LAMPONGEZA DK MAGUFULI KWA USHINDI

 Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Mkoa wa Dar es Salaam, Hemed Mkali (kulia) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu uamuzi wa baraza hilo wa kumpongeza  Rais Mteule...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAZOEZI YA KUAPISHWA KUWA RAIS DK MAGUFULI YAPAMBA MOTO DAR

 Kibanda cha kitakachotumika wakati wa kuapishwa kwa Rais Mteule, Dk John Magufuli kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kesho kutwa kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.PICHA ZOTE NA RICHARD...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KESHO ALHAMISI NI SIKUKUU NA SIKU YA MAPUMZIKO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ameamua na ameitangaza kesho, Alhamisi, Novemba 5, mwaka huu, 2015, kuwa Sikukuu na siku ya mapumziko. Rais Kikwete...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia ni Mwenyekiti Mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Freeman Mbowe amesema kuwa hawatashiriki shughuli ya kuapishwa kwa Dk....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHEREHE ZA KUMUAPISHA RAIS MPYA DK. JOHN MAGUFULI ZAFANA JIJINI DAR

Rais Dk. John Magufuli akila kiapo cha kuwa Rais wa Tanzania, mbele ya Jaji Mkuu Othman Chande. Katikati ni Katibu Mkuu Kiongozi, Ombeni Sefue na kushoto ni Rais mstaafu Jakaya Kikwete. PICHA ZOTE NA...

View Article
Browsing all 4196 articles
Browse latest View live