HAFLA YA MCHAPALO (COCKTAIL PARTY) WA KUSHEREHEHEA KUAPISHWA KWA RAIS DKT...
 Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi  Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Rais...
View ArticleBARUA KALI KWA CCM NA WATANZANIA WOTE
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi.Ndugu zangu. Watanzania wenzangu,Kwanza kabisa nawapongezeni kwa amani na utulivu mliouonyesha katika mchakato wote wa Uchaguzi Mkuu ambao ulimalizika salama na...
View ArticlePapa Wemba Awasili Dar, Aelekea Bagamoyo Kwenye Tamasha la Karibu Music...
Mwanamuziki Papa Wemba (kulia) akisalimiana na mwenyeji wake waandaaji wa Tamasha la Karibu Music Festival 2015 mara baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julias Nyerere (JNIA)...
View ArticleBARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI (NACTE)LATOA KIBALI KWA TAASISI YA UHASIBU...
Kikosi cha brasband cha Magereza kikiongoza Maandamao kuelekea uwanjani kwenye mahafali hayo ya Kumi na Tatu ya Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) na ya Tatu kwa kampasi ya Mbeya .Baadhi ya wahadhiri wa...
View ArticleTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli , leo mchana amefanya ziara ya kushtukiza katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na kukutana na hali...
View ArticleVITENDO VYA UDHALILISHAJI NA UBAKAJI WATOTOTO WILAYA YA TEMEKE VYAONGEZEKA
 Mkuu wa Dawati la Jinsia katika Kituo cha Polisi Mkoa wa Kipolisi Chang'ombe, Thecla Kitajo. Mkuu wa Dawati la Jinsia katika Kituo cha Polisi Mkoa wa Kipolisi Chang'ombe, Thecla Kitajo (kulia),...
View ArticleNEC YAVISHUKURU VYOMBO VYA HABARI KWA COVERAGE NZURI YA UCHAGUZI MKUU 2015
  Mkuu wa Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga kura wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Giveness Aswile, akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuvishukuru vyombo vya habari...
View ArticleFAHAMU JINSI #RECRUITME INAVYOWEZA KUKUPA UJUZI UTAKAOKUSAIDIA KUPATA KAZI...
Na Jamiimojablog Ujuzi, katika soko la ajira ni mali ambayo inahitaji matengenezo na uboreshaji. Kama mali nyingine yoyote, matumizi yake bora, hukuzalishia zaidi. Sababu nyingi zimetolewa katika...
View ArticleMERU LOGISTICS KAMPUNI YA UHAKIKA YA KUSAFIRISHA MIZIGO KUTOKA UK KUJA TANZANIA
Karibu Meru Logistics kwa huduma nzuri, safi, zenye uhakika na haraka kutuma mizigo kutoka UK kwenda Tanzania.Wasiliana nasi pia kama unahitaji chochote kutoka UK kama vile magari, matractor, fridge,...
View ArticleMANDHARI YA MJI WA BUKOBA LEO NOV 10,2015
 Kama inavyo onekana pichani,Sehemu ya Mandhari ya mji wa Bukoba,muonekano wa Jengo jipya la Uwanja wa Ndege Mji wa Bukoba ukitambulishwa na mnara wa Kanisa Katoliki Jimbo la BukobaUsawa wa Ziwa...
View ArticleUZINDUZI WA KAPOTIVE YOUNG SITERS
Kapotive Singers- Bukoba Mpendwa, tunayo furaha kukufahamisha kuwa Jumapili, tar. 29/11/2015 tutakuwa na uzinduzi wa kikundi chetu kipya cha KAPOTIVE YOUNG STARS. Kikundi hiki kinaundwa na vijana wa...
View ArticleVAZI LA KHANGA LAFANA KATIKA TAMASHA LA KITCHEN PARTY GALA.
Jumapili iliyoisha ya tarehe 08.11. 2015, wanawake mbali mbali jijini Dar es salaam walikutana katika tamasha la kitchen party gala likiwa limebeba ujumbe wa mwanamke simama na timiza ndoto...
View ArticleCHAMA CHA WALIMU (CWT), MKOA WA DAR ES SALAAM KINAIDAI SERIKALI SH.BILIONI 1.1
Amina KisengeNa Dotto MwaibaleWALIMU wa Mkoa wa Dar es Salaam wanaidai Serikali jumla ya sh. Bilioni 1.1 za madai yao mbalimbali kwa kipindi cha kuanzia mwaka 2013 hadi 2015.Hayo yalielezwa na...
View ArticlePITIA SIMULIZI; I LOVE YOU!!! (NAKUPENDA)
 Mwezi mmoja baada ya kumaliza elimu yangu ya kidato cha sita 2009 February 12 huko jijini Mwanza nilirejea nyumbani kwetu Mbeya....... Nyumbani kwetu nipakawaida sanaa lakini nashukuru Mungu tulikuwa...
View ArticleUZINDUZI WA USHIRIKA WA MAMA NA BABA LISHE KUFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM...
Mratibu na Msimamizi Mkuu wa Jumuiya Ya Mama na Baba Lishe Mkoa wa Dar es Salaam, Said Said (wa pili toka kulia), akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa idata Maleleo kuelezea kuhusu...
View ArticleJIJI LA MBEYA HATARI KUKUMBWA NA UGONJWA WA KIPINDUPINDU
Wafanyabiashara ndogo ndogo katika eneo la Makunguru jijini Mbeya wakiendelea na shughuli zao kama kawaida .Na Mwandishi wetu,Mbeya Halmashauri ya jiji la Mbeya limewataka wafanyabiashara ndogondogo...
View ArticleRais Magufuli asaini Kitabu cha Maombolezo katika Ubalozi wa Ufaransa na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaini kitabu cha Maombolezo katika Ubalozi wa Ufaransa nchini kufuatia vifo vya Watu zaidi 130 vilivyotokana na mashambulizi ya...
View Article