Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Browsing all 4177 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KARIBU NEW COFFEE TREE HOTEL BUKOBA

 New Coffee Tree ni hoteli inatoa huduma nzuri ya vyumba vya kulala kwa mtu mmoja mmoja, wawili wawili au zaidi,Vyumba vyake  vinatazama mandhari nzuri ya milima ya Kashura.New Coffee Tree ni Hotel...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

USIKOSE KUANGALIA KIPINDI CHAKO PENDWA CHA DANGA CHEE NDAKI YA CHANNEL 10...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI WA UINGEREZA NCHINI AONGOZA UZINDUZI WA FILAMU YA KUPINGA UKEKETAJI YA...

 Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Dianna Melrose (kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa Jukwaa la Utu wa Mtoto (CDF), Koshuma Mtengeti (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Wanawake wa Afya,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSAADA WA WASAMARIA WEMA WA MATIBABU UNAHITAJIKA KWA DADA HUYU

Ndugu Wasamaria wema,Napenda kutumia fursa hii kukushirikisha habari ya kusikitisha kuhusu dada Joyce Mwambepo (pichani akiwa na mwanaye wa miaka 4, na miguu yake iliyopooza) mkaazi wa Sinde jijini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

GAPCO KUDHAMINI KILIMANJARO MARATHON KILOMITA 10 KWA WALEMAVU 2016

Meneja Masoko wa GAPCO Tanzania, Caroline Kakwezi (Wa pili kutoka kushoto) akishiriki katika uzinduzi wa Kilimanjaro Marathon 2016 ambapo GAPCO ilitangaza kudhamini mbio za kilomita 10 kwa walemavu....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

H. SQUARE HAIR CUTTING SALOON NI SALOON YA KISASA YA KIUME ILIYOPO MJINI BUKOBA

Katika jambo ambalo Bukoba inajitahidi ni kuwa saloon za kiume zilizo za ukweli, tafauti na zamani mteja akienda kunyoa nywele mpaka aende akaoge. Mjini Kati Bukobawadau Media imevutiwa na saloon ya H....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jameson yaandaa pre-party George and Dragon Dar kuelekea Jameson Live Party...

Mshindi mmoja kujishindia tiketi ya watu wawili kwenda Kenya kwenye party ya Jameson itakayotumbuizwa na B.O.BJameson inaandaa pre-party itakayofanyika tarehe 21 ya mwezi huu katika bar ya George and...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tanzia: Prince Baina Kamukulu afariki dunia

Mtangazaji maarufu nchini Tanzania Prince Baina Kamukulu amefariki dunia leo alfajiri.Kamukulu amefariki dunia katika hospitali ya Kigamboni jijini Dar es salaam  ambapo taarifa za awali zinadai kuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU WIZARA YA ELIMU ANOGESHA MAHAFALI YA 10 YA CHUO CHA KUMBUKUMBU YA...

 Mkurugenzi wa Elimu ya Ufundi na Ufundi Stadi Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Thomas Katebalilwe akihutubia kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sifuni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTEMVU AFUNGUA KESI YA KUPINGA MATOKEO YA UCHAGUZI JIMBO LA TEMEKE

 Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana, (hawapo pichani), ambapo aliwaeleza kuwa amefungua kesi ya kupinga matokeo ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JOHN POMBE...

HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI, AKIFUNGUA RASMI BUNGE JIPYA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, DODOMA, 20 NOVEMBA 2015Mheshimiwa Spika;Niko...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KONGAMANO LA MABADILIKO YA TABIANCHI LAFANYIKA KATIKA KIJIJI CHA...

 Mc katika kongaman0 la Mabadiliko ya Tabianchi kutoka Oxfam Tanzania Suhaila Thawer akiendelea kutoa utaratibu Eva Mageni  ambaye ni Rais wa wakulima wanawake vijijini na alikuwa mshiriki wa shindano...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HABARI MBALIMBALI KUTOKA KATIKA TV NCHINI LEO NOV 21,2015

Polisi Wazuia Mikusanyiko Mwanza Raia Wa Uingereza Akamatwa na Mirungi UwanjaWa Ndege Kifo Cha Mtangazi Maarufu Wa Burudani Mtangazaji mwandamizi wa vituo vya radio na televisheni nchini Tanzania,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA ZA KUMBUKUMBU BAADA YA RAIS DKT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI KUZINDUA...

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na wabunge muda mfupi baada ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma Jumamosi Novemba 20, 2015 Rais...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC KILIMANJARO,AMOSI MAKALA AKUTANA NA MAOFISA WA HALMASHAURI YA MANISPAA YA...

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Amosi Makala akiwa katika ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Moshi,kuzingumza na watendaji wa Afya na Mazingira.Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Amosi Makala akifurahia jambo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

POP UP BONGO KUFANYIKA JUMAMOSI HII TRINITI OYSTERBAY DAR ES SALAAM

Nuya EssenceFounder of Branoz Collection Bahati Abraham with customersSecret Habits Seller servings customersPediah John, Founder of PSJ Brand with customers copy  *****************Na Mwandishi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC MONGELLA NA JITIHADA ZA KUIMIZA USAFA

Mkuu wa mkoa wa Kagera na serikali ya mkoa kwa ujumla wamefunga vibanda vya mama ntilie na wauza pombe za kienyeji kwa muda usiojulikana ili kukabiliana na ugonjwa wa kipindupindu unaoikumba nchi kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WENGI WAJITOKEZA KATIKA UZINDUZI WA MAADHIMISHO YA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI...

Maelfu wajitokeza katika maandamano ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia, hapa wakiendelea na matembezi ya kupinga ukatili wa Kijinsia  Maandamano yakipokelewa na Mkurugenzi wa shirika la misaada...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAKIELIMU YAZINDUA JOPO LA WASHAURI MABINGWA

Timu ya Menejimenti ya HakiElimu ikiwa katika picha na Mwenyekiti wa Bodi ya HakiElimu na Mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa jopo la washauri bingwaWafanyakazi wa Shirika la HakiElimu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MJI WA NSHAMBA MULEBA LEO NOV 25,2015

Camera yetu ndani ya Mji wa Nshamba Wilayani Muleba, pichani linaonekana  jengo la ghorofa moja ambalo lipo katikati ya mji wa Nshamba,Mali ya Mzee Mathias Mshuti. Muonekano wa Nyumba,Makazi ya familia...

View Article
Browsing all 4177 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>