Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Browsing all 4196 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE WA UBUNGO SAID KUBENEA AWATEMBELEA WANANCHI WAKE KUWASHUKURU KUMCHAGUA...

MBUNGE WA UBUNGO SAID KUBENEA AWATEMBELEA WANANCHI WAKE KUWASHUKURU KUMCHAGUA NA KUJUA CHANGAMOTO ZAO  Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Said Kubenea akiongea na wananchi Stendi ya Mabasi ya Ubungo Dar es...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAMASHA KUBWA LA BURUDANI LA INSTAGRAM PARTY KUFANYIKA JUMAMOSI VIWANJA VYA...

  Mkurugenzi wa Freconic ideaz, Fred Ngimba. Mkurugenzi wa Freconic ideaz, Fred Ngimba (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu tamasha kubwa la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMIA WASHIRIKI MAZISHI YA BI ANNA.M. RUGALEMA KIJIJINI NSHISHA

 Muonekano wa Kaburi la Marehemu Bi Anna. M. Rugalema,mara baada ya  mazishi yaliyofanyika Jana Nov 26,2015 Nyumbani kwake Kijijini Nshisha-Rwamulumba  na kuhudhuriwa na mamia ya watu.Picha ya Marehemu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KOMBE AMUUNGA MKONO RAIS MAGUFULI KWA KUWAPATIA JAMBO LEO FAGIO ZA USAFI...

 Waandishi wa habari wa gazeti la Jambo Leo, wakifurahia kupata fagio walizokabidhiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Zahanati ya Mji Mwema Kigamboni, Dar es Salaam, Omary Kombe (kulia), katika hafla...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SEND OFF PARTY YA OLVIA KAIZA YAFANA KATIKA UKUMBI WA BUKOBA CLUB

"Mungu ni mwema '!!hayo ni maneno yake Bibi Harusi Mtarajiwa Olvia Kaiza kama anavyo onekana pichani akiwa katika nyuso ya Furaha na kumshukuru Mungu Bi harusi mtarajiwa Olivia Kaiza katika picha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MH. WILFRED RWAKATARE AANZA KAZI YA UBUNGE KWA KASI YA MAGUFULI.

Mh. Rwakatare, MB, akiwa na Bw. Anic Kashasha, Mshauri wa Uwekezaji na Miradi na mdau mkubwa wa maendeleo ya Bukoba, jana, Jumatano, tarehe 25 Nov. 2015. Mh. Rwakatare, MB akisalimiana na Bw. Adam...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wafanyakazi Benki ya NMB washerehekea 'Family Day'

[caption id="attachment_64079" align="alignnone" width="800"] Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Ineke Bussemaker (kulia) akizungumza na wafanyakazi wa NMB pamoja na familia zao kabla ya kuzinduwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PSPF WAANZISHA KAMPENI MPYA YA MTAA KWA MTAA

Balozi wa mfuko wa pensheni wa PSPF Mrisho Mpoto Maalufu kama (Mjomba)  akizungumzana vyombo vya habari kuhusu kampeni ya mtaa kwa mtaa iliyofanyika jijini Dar kushoto ni Afisa wa mfuko wa pensheni wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSD YAKARABATI JENGO LA DUKA LA DAWA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI KWA KASI...

Mafundi wakikarabati jengo ambalo Bohari ya Dawa (MSD), itafungua duka la dawa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MSD) Dar es Salaam jana kwa ajili ya kuhudumia wananchi kwa karibu zaidi vikiwemo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKAZI WA MIKOA YA MANYARA,ARUSHA NA KILIMANJARO WAJITOKEZA UZINDUZI WA SIKU...

Brass Band ya Chuo cha Polisi Moshi ikiongoza maandamano ya uzinduzi wa kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia kanda ya kaskazini .Wanafunzi wa kozi ya awali ya Askari Polisi kutoka shule ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JINA LA MWAKA MPYA KWA KIHAYA 2016 NI 'YANGHUWA'

Kama kawaida Bukobawadau Media mapema hii, fasta fasta tunaleta kwenu jina la mwaka mpya kwa kihaya 2016 ni 'YANGHUWA'Inamaanisha #fanyaHima kwendena na kasi#Waitu abakunirwa muno mwagila mahyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAPPY BDAY BLOGGER & PHOTOGRAPHER SIRLOOM

Leo Dec 3 ni siku ya kuzaliwa ndugu yetu Blogger & photographer Sirloom Galiatano ikiwa anahadhimisha miaka kadhaa ya uwepo wake duniani anaseme sifa na utukufu anazirudisha kwa mwenyezi mungu,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Meli Mpya ya MV Mapinduzi Ikiwasili katika Bandari ya Zanzibar Ikitokea...

Meli Mpya ya MV Mapinduzi 2 ikiwasili Zanzibar ikitokea Nchini Korea Meli Mpya ya MV Mapinduzi ikiwasili katika bandari ya Zanzibar ikitokea Nchini Korea baada ya kukamilika kwa Uundaji wake uliochukua...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kortini kwa kutaka kumuua Lubuva

WATU wawili wakiwemo Mwanasheria na Mwalimu, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam wakikabiliwa na mashitaka ya kula njama za kumuua Mwenyekiti wa Tume ya Taifa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKONTENA ZAIDI YA 2400 YAPOTEA!!

Mengine fasta😄😄UPDATEWaziri mkuu, Kassim Majaliwa ametembelea bandarini na shirika la reli Tanzania(TRL). Akiwa bandarini amekagua mfumo wa utoaji na uingizaji mizigo bandarini. Katika maongezi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RICHARD MWAIKENDA WA KAMANDA WA MATUKIO BLOG AACHANA NA UKAPERA

 Bibi harusi Mary Michael Mbaya (kushoto), akimvisha pete ya ndoa mume wake Richard Mwaikenda ambaye ni mpiga picha mkuu wa gazeti la Jambo Leo na mmiliki wa Kamanda wa Matukio Blog, baada ya kubariki...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RED AVENUE PARTY RELOADED DESEMBA 26, 2015

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Droo ya kwanza ya Jaza Mafuta na Ushinde kutoka Gapco yachezeshwa jijini Dar

Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya GAPCO Tanzania, Vijay Nair (katikati) akibonyeza kitufe kwenye Kompyuta kuwatafuta washindi wa promosheni ya "Jaza Mafuta na Ushinde" inayowawezesha wateja wa mafuta katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Habari njema: Michango ya wasamaria wema yafanikisha Dada Joyce wa Mbeya...

Ndugu Wasamaria wema,Tunapenda  kutumia fursa hii kuwapa updates kuhusu dada Joyce Mwambepo, mkaazi wa Sinde jijini Mbeya mwenye umri wa miaka 27 ambaye anaishi na bibi yake mwenye umri wa miaka 80...

View Article
Browsing all 4196 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>