Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 4196

SEND OFF PARTY YA OLVIA KAIZA YAFANA KATIKA UKUMBI WA BUKOBA CLUB

$
0
0
"Mungu ni mwema '!!hayo ni maneno yake Bibi Harusi Mtarajiwa Olvia Kaiza kama anavyo onekana pichani akiwa katika nyuso ya Furaha na kumshukuru Mungu
 Bi harusi mtarajiwa Olivia Kaiza katika picha maalumu ya kumbukumbu
 Mtarajiwa katika picha ya pamoja na wapambe wake.
 Pichani kulia ni Mama mzazi wa Mtarajiwa 'Mama Stella'
Ndivyo wanavyo ingia Ukumbini Wazazi wa Bi harusi Mtarajiwa




 TUNAENELEA HIVI PUNDE KWA MATUKIO ZAIDI...................


Viewing all articles
Browse latest Browse all 4196

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>