PICHA YETU YA LEO DEC 5,2015
Kikwetu kwetu neno la leo ''Mbajuma nolya, omunaku teitwa miizo"!!
View ArticleBenki ya NMB yashinda nafasi ya kwanza Tuzo za NBAA kwa mabenki Tanzania
Mkuu wa Idara ya Fedha wa Benki ya NMB, Veronica Pascal (wa pili kushoto) akipokea tuzo kwa niaba ya NMB toka kwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dk. Hamisi Mwinyimvua baada ya kuibuka washindi wa...
View ArticleTUJIKUMBUSHE MATUKIO KATIKA SEND OFF PARTY YA MREMBO IRENE KAYUNGA
Matukio yaliyojiri wakati wa tafrija maalum ya kumuaga Biharusi mtarajiwa Bi Irene Kayunga (pichani kulia)na kumtakia kila la heri katika maisha yake mapya ya ndoa ambayo anataraji kuifunga hivi...
View ArticleTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais Dk. John Pombe Magufuli apiga chini Bodi ya TPA na kaimu Mkurugenzi wake Masawe pia amchomoa Katibu Mkuu wizara ya Uchukuzi Dk Mwinjaka na lakini pia baadhi ya wafanyakazi wa TPA na TRA kwa...
View ArticleVIJANA WASHAURIWA KUWA NA MOYO WA KUJITOLEA
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof Elisante Ole Gabriel akitoa nasaa zake kwa Vijana wanaojishughulisha na shughuli mbalimbali za kujitolea katika taasisi mbalimbali hapa...
View ArticleBUKOBA CHRISTMAS LAKE VICTORIA CRUISE!
INAKUTANGAZIA BURUDANI KUZUNGUKA NA MELI MASAA 5 SIKU YA KRISMAS YA TAREHE 25 DESEMBA KUPITA VISIWA VILIVYO JIRANI NA MJI WA BUKOBA KAMA VILE MSIRA NA VINGINEVYO. BURUDANI ZAKIPEKEE ZITAPATIKANA...
View ArticleKUTOKA KWA MBUNGE WA JIMBO LA BUKOBA MJINI MH. WILFRED LWAKATARE
Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mh.Wilfred Lwakatare 'Lwaks' anapenda kutumia fursa hii kuwakaribisha WanaKagera,Wapenda Maendeleo na Wadau wa Bukoba Mjini katika Kongamano la (Bukoba Municipal Developmental...
View ArticleHAPA NA PALE NA CAMERA YETU DEC 8,2015
Camera yetu ndani ya New Coffee Tree Hotel Usiku ya jana Dec 8,2015 ,hoteli inayopendwa na watu wengi kutokana na huduma inayopatikana hapo,pichani tunakutana na wadau wakipata mbili tatu. Pia...
View ArticleBARAZA JIPYA LA MAWAZIRI
Magufuli: Tutakuwa na mawaziri 19, kuna baadhi ya wizara zitakuwa na mawaziri na hazitakuwa na manaibu waziri. Lengo ni kuwa na baraza dogo kupunguza gharama. Zilitengwa bilioni 2, mawaziri...
View ArticleMSAADA MKUBWA UNAHITAJIKA KWA DADA ELIZA ILI AWEZE KUFANYIWA UPASUAJI WA...
Eliza Juma (30), mkazi wa Mtaa wa Mbwanga Manispaa ya Dodoma anaomba msaada wa hali na mali kutoka kwa yeyote ataeguswa ili aweze kufanyiwa upasuaji wa uvimbe tumboni ambao umekuwa ukiongezeka kila...
View ArticleWADAU WAPONGEZA GOING BONGO
Rais wa Shirikisho la Filamu Simon Mwakifamba akiongea na vyombo vya habari wakati wa uzinduzi filamu ya ‘Going Bongo’ uliofanyika jana Ijumaa WADAU mbalimbali waliofika kwenye onyesho la kwanza la...
View ArticlePicha ya Lorraine Marriot -Miss Universe Tanzania 2015 akiwa Las Vegas -...
Hii ni picha nyingine ya mrembo Lorraine na imetoka usiku huu ikiwa ni official picha ya close up akiwa amevalia official gown
View ArticleMASHABIKI WAZIDI KUIFANGILIA SKYLIGHT NJOO LEO UPATE VITU VIPYA KUTOKA KWENYE...
Hakika kwenye shoo ya Skylight ya kila Jumapili sio ya kukosa njoo ujionee mambo mazuri kutoka katika bendi ya Skylight.....Just Follow the Light. Sam Mapenzi na Natasha wakiwapa raha mashabiki wa...
View ArticleMISA MAALUM KUMBUKUMBU YA WAPENDWA WA FAMILIA YA MAREHEMU DANIEL RWECHUNGURA.
Ndugu, jamaa na marafiki wameungana na familia ya marehemu Daniel Rwechungura katika ibada ya misa ya kumbukumbu iliyofanyika siku ya jana Jumamosi Dec 12,nyumbani kwa marehemu Kijijini Kangantebe...
View ArticleMSHINDI WA SHINDANO LA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2015 CAROLINE CHELELE,...
Mshindi wa Shindano la Mama shujaa wa Chakula Msimu wa nne Bi. Caroline Chelele aliyekaa kwenye Pawatila akifurahia zawadi zake, Muda mfupi baada ya kukabidhiwa. Katibu Tawala wa Wilaya ya Kilombelo...
View ArticleOMUTONO 2016 YANGUHA 2016
Omwaka gwa 2016 ni YANGUHA. Okwijuka kwa 2015 kutwanguhye kukora ebisaine Buli omo atekeleze ekishasize.Akyekomye mara akyechumerage Abajwahuka bagoshooka.Ebitekelezo ebi nibituha endengekeza...
View ArticleNAIBU WAZIRI WA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO ATOA MWELEKEO WA UTENDAJI...
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Edwin Ngonyani akizungumza na watendaji wa Wizara ya Ujenzi pamoja na Taasisi zake kuhusu ufanyaji kazi kwa uadilifu kwa kuzingatia maslahi ya...
View ArticleNUNUA BIDHAA KWA PUNGUZO LA BEI NDANI YA KABAGO SHOP WAPO MTAA WA ONE WAY BUKOBA
Kuelekea msimu huu wa sikukuu ya Xmas na Mwaka mpya unakaribishwa ndani ya KABAGO SHOP ujipatie bidhaa kwa punguzo maalum kwa jumla na rejareja ,pichani wanaonekana baadhi ya wateja wakinunua bidhaa...
View ArticleHARAKATI ENDELEVU ZA KIKUNDI CHA “BUKOBA MPYA PROJECT” ZOEZI LA KUTOKOMEZA...
HARAKATI ENDELEVU ZA KIKUNDI CHA “BUKOBA MPYA PROJECT”ZOEZI LA KUTOKOMEZA MAZALIA YA MBU KATA ZA MANISPAA YA MJI BUKOBA Ndugu Wadau,“Bukoba Mpya Project” ni zao la harakati endelevu chini ya Bukoba...
View Article