Picha ya Lorraine Marriot -Miss Universe Tanzania 2015 akiwa Las Vegas -...
Picha ya Lorraine Marriot -Miss Universe Tanzania 2015 akiwa Las Vegas - NATIONAL COSTUME Vazi hili limebuniwa na Adam Hassana Kijangwa kutoka Zanzibar na imeitwa 'Angel of Ivory' maana inaonyesha...
View ArticleMATUKIO NA WADAU LEO DEC 19,2015
Pichani Mh. Lwaks akigonga cheers na baadhi ya wadau mara baada ya kubrief nia ya Kongamano la BUMUDECO litakalofanyika tarehe 27/12 /2015 Mjini hapaPhoto Credit :Rwehumbiza Rashid Mbunge wa Jimbo...
View ArticleDiamond afunika Kampala, Uganda jana
Nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ akitoa burudani usiku wa kuamkia leo katuka Uwanja wa Lugogo Cricket Oval, Kampala, Uganda.Diamond akiimba kwa hisia.Madansa wa Diamond wakiendelea na...
View ArticleLigi Kuu ya Muungano ya Netiboli Kati ya Polisi Moro na TTPL Uwanja wa...
Wachezaji wa Timu ya TTPL na Polisi Moro wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Muungano zinazofanyika katika viwanja vya Gymkhana Zanzibar timu ya Polisi Moro imeshinda 36--33.Mchezaji wa...
View Article25 kuibuka washindi katika droo ya tatu ya promosheni ya "Jaza Mafuta na...
Meneja wa Kanda ya Dar es Salaam wa kampuni ya GAPCO Tanzania, Jane Mwita (kati) akibonyeza kitufe kwenye kompyuta kuwatafuta washindi wa droo ya tatu ya promosheni ya "Jaza Mafuta na Ushinde"...
View ArticleBUKOBA CHRISTMAS LAKE VICTORIA CRUISE!
KIROYERA TOURS INAKUTANGAZIA BURUDANI KUZUNGUKA NA MELI MASAA 5 SIKU YA KRISMAS YA TAREHE 25 DESEMBA KUPITA VISIWA VILIVYO JIRANI NA MJI WA BUKOBA KAMA VILE MSIRA NA VINGINEVYO. BURUDANI ZAKIPEKEE...
View ArticleRAIS MAGUFULI AHUDHURIA MAZISHI YA DADA WA RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE...
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akimfariji mke wa Rais Mtaafu Mama Salma Kikwete alipowasili kuhudhuria mazishi ya Marehemu Tausi Khalfani Kikwete, dada wa Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete...
View ArticleHENNESSY'S 250 YEARS EXHIBITION AT OASIS BAR MASAKI
The owner of Oasis Bar and Lounge Nuru Mosha clarifying something to journalists at the The Hennessy 250's Exhibitions.Some pictures related to HennessyThe Amazing Hennessy bottleSome paints related...
View ArticleMISA YA MATANGA YA BI LETITIA K.RUHANGISA DEC 22,2015
Muonekani wa makazi ya milele ya Marehemu Bi Letitia K.Ruhangisa aliyefariki tarehe 29,10,2014 kwa ajali ya Gari iliyotokea jijini Arusha. Familia ya Jaji Ruhangisa inatoa shukrani za dhati kwa ndugu,...
View ArticleHAPA NA PALE NA CAMERA YETU DEC 24,2015
Camera yetu mtaani leo Alhamis Dec 24,2015 inakutana na wadau waishio Jijini Dar,kutoka kushoto ni Bwana Tbs, Mr Ben Mulokozi aka Mr.appetizer (Binuzi) na Ndugu Ruta Rwabigene wakiwa tayari kwa ajili...
View ArticleMAADHIMISHO YA SIKUKUU YA MAULID DAR
Waumini wa Dini ya Kiislam wakiandamana jijini Dar es Salaam leo jioni, wakati wa kuadhimisha Sikukuu ya kuzaliwa Mtume Muhammad (S.W.A).PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG.
View ArticleMWALIKO WA KUSHIRIKI MKUTANO WA KIMAENDELEO—MANISPAA YA BUKOBA JUMAPILI,...
MWALIKO WA KUSHIRIKI MKUTANO WA KIMAENDELEO—MANISPAA YA BUKOBAJUMAPILI, TAREHE 27/12/2015 KUANZIA SAA 10:30 JIONI KATIKA UKUMBI WA ST. THEREZA1. UTANGULIZIMbuge wa Bukoba Mjini akishirikiana na...
View ArticleWANAKIJIJI WA KIJIJI CHA ENGUSEROSAMBU WAFURAHIA MSITU KUREJESHWA MIKONONI MWAO.
Mraghbishi Noorkiyengop Mbaima toka kijiji cha Enguserosambu akisimama mbele ya mifugo iliyokutwa msituni katika eneo lililoruhusiwa la msitu wa jamii wa EnguserosambuIlikuwa ni siku ya shangwe na...
View ArticleKATIKA PICHA MAPEMA YA LEO DEC 25,2015
Mitaa mbalimbali ya Mji wa Bukoba ikiwa imetulia kabisa mapema ya leo Dec 25,2015 Camera hapa Camera yetu ipo barabara ya tupendane Mjini kati Viunga vya mji wa Bukaba mapema ya leo tunakutana na...
View ArticleFunga Mwaka Concert na Diamond Ndani ya Dar Live... Acha Kabisa!
Diamond Platnumz akisema na mashabiki wake waliofurika Dar Live usiku wa kuamkia leoDiamond akicheza na mashabiki wake waliofurika Dar Live. Akicheza na wacheza shoo wake wa kike.Nyomi ya kufa mtu...
View Article