Kidoa aibuka kidedea Ijumaa Sexiest Girl 2015
Video Queen anayefanya pia filamu, Asha Salum ‘Kidoa’ akiwa na tuzo yake ya Ijumaa Sexiest Girl 2015 baada ya kuwafunika Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Vanessa Mdee ‘Vee ndani ya Uwanja wa Taifa wa...
View ArticleYALIYOJIRI KIJIJINI KASHEKYA- GERA KATIKA HAFLA YA LUGOYE DAY DEC 27,2018
Baadhi ya wanachama wa Kikundi'Lugoye Social Club kinachojumuisha wanaume 20 kutoka katika Kata za Ishozi, Gera na Nshunju wakiwa katika sala ya ufunguzi wa hafla yao iliyofanyika nyumbani kwa Mzee...
View ArticleChristian Bella Aweka Rekodi Mpya Dar Live!
Christian Bella akipagawisha mashabiki waliofika Dar Live kwenye shoo ya mkesha wa kuukaribisha mwaka mpya 2016.Malaika Band wakifanya yao.Mashabiki wakiserebuka...wakichukua matukio muhimu ya shoo...
View ArticleMABALOZI WA AFRIKA, KARIBIANI NA PACIFIKI WAMUAGA BALOZI DR. KAMALA
Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala (katikati) akipokea zawadi kutoka kwa Mwenyekiti wa Mabalozi wa Afrika, Karibiani na Pasifiki Jumuiya ya Ulaya. Mabalozi hao wamemshukuru Balozi Kamala kwa kazi...
View ArticleFM Academia 'Wazee wa Ngasuma Watikisa Mji wa Bukoba Siku ya Mwaka Mpya
Shangwa za Mwaka Mpya na Ngwasuma ndani ya Club Linas Chini ya Udhamina KAMPUNI ya Mabibo Beer Wines and Spirits Ltd ambayo ni wasambazaji wa bia ya Windhoek.Wanenguaji wa bendi ya Fm Academia...
View ArticleHAPPY BIRTHDAY MLANGIRA BEN KATARUGA
Good wishes are there for good ones May God reply your hopes and brighten your wishes positively dear friend. Bukobawadau would like to wish you a happy and prosperous life.May God help you and live...
View ArticleMAKATIBU WAKUU OFISI YA WAZIRI MKUU WAANZA KAZI RASMI LEO
Katibu Mkuu Kilimo, Mifugo na Uvuvi Dkt. FlorenS Turuka ambaye awali alikuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, (wa pili kulia) akisitiza jambo wakati makatibu wakuu wapya wa Ofisi ya Waziri Mkuu...
View ArticleTAARIFA YA KIFO CHA BI ZAITUNI K. KABYEMELA
Familia ya Mzee Kabyemela wa Maruku Bukoba inasikitika kutangaza kifo cha mpendwa wao Bi Zaituni K. Kabyemela (Mama Rahym Kabyemela)kilichotokea siku ya jumanne katika Hospitali ya mkoa.“Mazishi...
View ArticleWashindi wa Droo ya Kwanza ya Shinda Nyumba Wapatikana
Mshiriki wa droo ya kwanza ya Shinda Nyumba, Lina Mbazi akipokea zawadi ya fulanaMwakilishi kutoka Kampuni inayosambaza ving'amuzi vya TING, Anitha Chawe akitoa maelezo kuhusu king'amuzi hicho.Meneja...
View ArticleMKUTANO MKUU WA KADEA JAN 5,2016
Meza kuu wakiongozwa kuimba wimbo maalum wa KADE(ndi wa KADEA akala na kalenge) Viongozi wakuu wa KADEA Mwenyekiti,Enock Kamuzora akiwasilisha taarifa yake kwa wajumbe wa mkutano mkuu Baadhi ya wajumbe...
View ArticleKAGERA WAASWA KUMALIZA MIGOGORO YA ARDHI ILI KUKUZA UCHUMI WA MKOA NA TAIFA...
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage asistiza kumalizwa kwa migogoro ya ardhi kwa maridhiano bila kupelekana mahakamani kati ya wananchi na wawekezaji ili kukuza sekta za viwanda na...
View ArticleMWILI WA MAREHEMU BI ZAITUNI KABYEMELA WASINDIKIZWA KUELEKEA NYUMBANI MARUKU
Matukio ya picha baada ya mwili wa marehemu Bi Zaituni K. Kabyemela (Mama Rahym Kabyemela) kutolewa mochwari ya hospitali ya Mkoa upokuwa umehifadhiwa na mara baada ya Mwili kusaliwa katika msikiti wa...
View ArticleMAGAZETINI LEO JUMAMOSI JAN 9,2015
Magazeti yote ni kwa hisani ya Mjengwa. Habari za Ndani Magazeti ya LeoCredit:Mjengwa Blog.
View ArticleMAELFU YA WAOMBOLEZAJI WASHIRIKI MAZISHI YA BI ZAITUNI K.KABYEMELA KIJIJINI...
Maelfu ya waombolezaji washiriki mazishi ya Bi Zaituni K. Kabyemela (Mama Rahym Kabyemela) yaliyofanyika siku ya jana Ijumaa ,Jan 8, 2016 Nyumbani kijijini Maruku .Mwenyezi Mungu ailaze mahala pema...
View ArticleJUMUIYA YA WANA RUGAMBWA KUKUTANA 23 JAN LEADERS CLUB JIJINI DAR
JUMUIYA YA WANA RUGAMBWA KUKUTANA 23 JAN LEADERS CLUB JIJINI DAR *Maandalizi ya Jubilee ya miaka 50 ya Shule ya Sekondari ya Wasichana Rugambwa ya Bukoba. Jumuiya ya wana-Rugambwa (Rugambwa Girls...
View ArticleMSAFARA WA MWILI WA OMWANA MARIA EDWARD MBONEKO KUELEKEA KIJIJINI GERA
Muonekano Msafara wa Msiba wa Marehemu Omwana Maria Edward Mboneko (shangazi wa Mlangira Kataruga ) ulioanza Safari kutoka Rwamishenye kuelekea Kijijini Gera Bukoba.Shughuli ya mazishi kufanyika leo...
View ArticleNAIBU WAZIRI ANTHONY MAVUNDE AZINDUA AIRTEL FURSA TUNAKUWEZESHA MSIMU WA PILI...
Naibu Waziri wa Kazi Vijana na Ajira, Athony Mavunde (wa pili kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Simu ya Airtel Tanzania, Sunil Colaso (katikati), na Mshauri wa mradi wa Airtel Fursa...
View ArticleRed Carpet uzinduzi wa video ya Popo Lipopo Maisha Basement, Dar
Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini, Pamela Daffa 'PAM D'akiwa amejiachie katika Red Carpert. Pam D akiwa amejiachia na madensa wake. Mashabiki mbalimbali wakiwa katika Red Carpert.SAA chache usiku wa...
View Article