Baadhi ya wanachama wa Kikundi'Lugoye Social Club kinachojumuisha wanaume 20 kutoka katika Kata za Ishozi, Gera na Nshunju wakiwa katika sala ya ufunguzi wa hafla yao iliyofanyika nyumbani kwa Mzee Josian Munazi wa mwisho pichani kulia.
Sehemu ya wanachama wakati hafla hiyo ikiendelea, kutoka kushoto ni Bw.Wenceslaus Rwiza,Bw. Charles Mbelwa,Prof Ladislaus Lwambuka,Eng.Erasto Machume akifuatiwa na Eng. Josephat Byemerwa mwenye tai nyekundi.
Mr.Ben Mulokozi mwanachama wa 'Lugoye Social Club' katika picha ya pamoja na Haji Kibaizi