Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 4177

Red Carpet uzinduzi wa video ya Popo Lipopo Maisha Basement, Dar

$
0
0

PAM D (12)PAM D (33)Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini, Pamela Daffa 'PAM D'akiwa amejiachie katika Red Carpert.

PAM D (5)PAM D (6)PAM D (8)PAM D (14)PAM D (15) Pam D akiwa amejiachia na madensa wake.

PAM D (16)PAM D (19)PAM D (36)Mashabiki mbalimbali wakiwa katika Red Carpert.

SAA chache usiku wa jana kabla hajazindua rasmi kichupa chake cha Popo Lipopo, staa wa Bongo Fleva, Pam D aliwapa fursa mashabiki wake kupiga naye picha na wengine kujiachia watakavyo ndani ya Ukumbi wa Maisha Basement uliopo Kijitonyama jijini Dar.

(PICHA: MUSA MATEJA/GPL)


Viewing all articles
Browse latest Browse all 4177

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>