Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 4177

KIJIJINI GERA MAELFU WAMZIKA OMWANA VERDIANA MARIA MBONEKO JAN 11,2016

$
0
0
 Muonekano wa Jeneza lenye mwili wa
Misa ya Mazishi ya Omwana Verdiana Maria Mboneko imefanyika jana Jumatatu nyumbani kwake Kijijini Gera Missenyi majira ya saa 9 alasiri
Mazishi hayo yameudhuriwa na viongozi wengi wa Dini, Serikali na wa vyama Imeongozwa na Askofu Msaidizi wa Jimbo la Bukoba, Methodius Kilaini
Ni ibada yenye majonzi na yenye furaha kwa kuwa Omwana Verdiana Maria Mboneko aliyekuwa na umri wa miaka 96 amelala katika imani na ataupata uzima wa milele.


Timu nzima ya Bukobawadau tunatoa pole sana kwa ndugu wa familia na watoto wa Marehemu kuondokewa na mama mzazi mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi Amen!!
Ibada ya maziko ikiendelea

Bi Anitha Mtensa   akiendelea kushiriki Ibada hiyo
Mr Optaty Henry akitoa heshima za mwisho
Baadhi wa waombolezaji wakati Ibada inaendelea
 Wajukuu wa Marehemu Omwana Verdiana Maria Mboneko wakisoma historia
Ms Lina ambaye ni mjukuu wa Marehemu  akiendelea kusoma historia  kwa ufupi 
 Askofu Kilaini akiongoza zoezi la kuweka Udongo
 Watoto wa Marehemu Omwana Verdiana Maria Mboneko wakirusha maua kaburini na kuweka Udongo
 Watoto wa kuzaliwa na aOmwana Verdiana Maria Mboneko wakiweka maua na Udongo kaburini
 Kifo cha Shangazi yake mlezi kimemsikitisha sana Mlangira Ben Kataruga pichani ,anasema kwamba ;''Omwana Verdiana Maria Mboneko pamoja na kuugua kwa muda mrefu lakini hadi anafariki dunia alisisitiza umoja kwa wanafamilia''


 Askofu Msaidizi wa Jimbo la Bukoba, Methodius Kilaini
 Mlangira Ben Kataruga akiwa tayari kuweka shada la maua kwenye kaburi la Shangazi yake Mpendwa Omwana Verdiana Maria Mboneko
 Mlangira Ben Kataruga akiweka shada la maua

 Endelea kuwa nasi kwa Matukio zaidi ya picha na sehemu ya Video

 Zoezi la kuweka mashada ya maua likiendelea kwa Wanafamilia.
 Eng Christopher rafiki wa familia akielekea kuweka shada la Maua
 Eng. Christopher  kutoka Jijini Dar akiweka shada la maua kwenye kaburi la mpendwa wetu
Omwana Verdiana Maria Mboneko






 Baba Askofu Kilaini akitoa mahubiri ya mwisho


 Sehemu ya waombolezi wakiendelea kumiminika kwa wingi kushiri mazishi ya Omwana Verdiana Maria Mboneko


 MATUKIO ZAIDI YA PICHA NA VIDEO YANAENDELEA HIVI PINDE ........



Viewing all articles
Browse latest Browse all 4177

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>