KIJIJINI GERA MAELFU WAMZIKA OMWANA VERDIANA MARIA MBONEKO JAN 11,2016
Muonekano wa Jeneza lenye mwili waMisa ya Mazishi ya Omwana Verdiana Maria Mboneko imefanyika jana Jumatatu nyumbani kwake Kijijini Gera Missenyi majira ya saa 9 alasiri Mazishi hayo yameudhuriwa na...
View ArticleSTORY YENYE MAFUNZO !NANI KAMA MAMA?
Mama mmoja aliewalea watoto wake kwa taabu sana na wakawa wamefanikiwa kimaisha ingawa wote walikuwa hawamkumbuki, siku moja alipatwa na na tatizo akiwa shambani na kuvunjika miguu yote miwili. Kwa...
View ArticleTHE TERROR OF THE NORHWEST
The Terror of the Northwest HIV-AIDS aka silimu as referred to the locals in Kagera has truly been a terror, horror and problem of many decades. The death of the children, the teens, the youth and the...
View ArticleSHUHUDIA MATUKIO MBALIMBALI YA MAHAFALI YA 18 YA CHUO CHA KIMATAIFA CHA...
MARAFIKI WA KWELI:Wahitimu wa Stashahada ya Juu ya Uzamili ya Diplomasia ya uchumi yaani Postgraduate Diploma in Economic Diplomacy kuanzia kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda cha Open Sanit...
View ArticleKITUO CHA UTAFITI CHA RCRSDS KUZINDUA MFUMO WA KIELEKTRONIKI WA KUKUSANYA,...
Turn off for: Swahili Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Utafiti wa Shughuli za Maendeleo ya Jamii Tanzania (RCSDS),Abraham Shempemba (kulia) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es...
View ArticleSIMULIZI TAMU
Baba mmoja alikuwa akila chakula kwa furaha na mke wake ambaye alikuwa siku za mwisho akijitazamia kabla ya kujifungua mtoto wao wa kwanza. Mara mama akaanza kulalalamika maumivu ya kichwa na baba...
View ArticleJE WEWE NI MSANII NA UNAKAZI YAKO UNAHITAJI KUUZA???
Je wewe ni msanii na unakazi yako unahitaji kuuza??? ClickPay Africa tunahusika na uuzaji wa vitu mbalimbali ikiwemo Audio, Video, Movies, Photos, Live concerts, PDF, E-books, Documentaries, articles,...
View ArticleKoffi Olomide - Tournevis Clip Officiel - New 2016
It is obvious there is something unique going on; water, land, energy, proffession, talent, windhoek! Be unique.
View ArticleMUDA UMEBADILIKA....
MUDA UMEBADILIKA.... Leo Arnold Schwarzenegger amepost picha hii na kusema Time Has Changed. akimaanisha kwamba Muda Umebadilika. Hakuweka picha hii ili mradi tu, aliondoka nyumbani kwake akiwa na...
View ArticleDAWASCO YABAINI WIZI WA MAJI KIWANDA CHA BAHARI CHEMICALS LTD
Moja ya kisima kinachodaiwa kutumika kuhifadhi maji yanayodaiwa kuibwa kutoka katika mtandao wa maji wa Dawasco.Madumu ya Maji ambayo yame3kuwa yakitumika katka utengezaji wa maji ya Betri katika...
View ArticleVURUGU ZOEZI LA BOMOA BOMOA DAR
Mkwajuni Dar hivi punde wananchi wanapambana na zoezi la bomoa bomoa,mpaka sasa Jeshi la Polisi linaendelea kuimarisha usalama
View ArticleTANZIA: GEORGE SEBO MWENYEKITI WA CCM DMV HATUNAE TENA
Aliyekuwa Mwenyekiti tawi la CCM DMV Bwn. George Sebo enzi za uhai wakeGeorge Sebo mwenyekiti wa CCM DMV amefariki Dunia muda si mrefu Katika hospitali ya Prince George taarifa zaidi zinakuijia hivi punde
View ArticleMAGAZETI YA LEO JUMATANO JAN 20,2016 KWA HISANI YA WINDHOEK DRAUGHT
Enjoy your Day with Windhoek Draught For Real
View ArticleKASHOZI ROAD BUKOBA LEO JAN 21,2016
@Kashozi road Bukoba ;Hii ni moja kati ya barabara mbili (2) kuu zinazotoka na kuingia katika mji wa bukoba. Barabara hii ina upana wa kadirio la mita 9.8 na hutumika kwa vyombo vyote kama pikipiki,...
View ArticleDC KINONDONI KUONGOZA UPIMAJI WA MAGONGWA YA MOYO BURE VIWANJA VYA LEADERS...
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Dar es Salaam...
View ArticleWIZARA YA MAJI NA UMWAGILIAJI YAPOKEA MAONI YA WADAU WA MAJI KATIKA MJI MDOGO...
Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,(MUWSA) Joyce Msiru akisalimiana na mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga aliyekuwa mgeni rasmi katika kikao cha wadau wa...
View Article