$ 0 0 Aliyekuwa Mwenyekiti tawi la CCM DMV Bwn. George Sebo enzi za uhai wakeGeorge Sebo mwenyekiti wa CCM DMV amefariki Dunia muda si mrefu Katika hospitali ya Prince George taarifa zaidi zinakuijia hivi punde