Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 4177

BUKOBA CHRISTMAS LAKE VICTORIA CRUISE!

$
0
0
INAKUTANGAZIA BURUDANI KUZUNGUKA NA MELI MASAA 5 SIKU YA KRISMAS YA TAREHE 25 DESEMBA KUPITA VISIWA VILIVYO JIRANI NA MJI WA BUKOBA KAMA VILE MSIRA NA VINGINEVYO. 

BURUDANI ZAKIPEKEE ZITAPATIKANA IKIWA NI PAMOJA NA MUZIKI, LIVE BAND, KUCHEZA, MAIGIZO YA KUZALIWA KWA KRISTO, FATHER KRISMASS, VICHEKESHO (COMEDY) SALAKASI, KURUKA MOTO NA MAPAMBO MBALI MBALI.
HUDUMA KAMA ZA CHAKULA VINYWAJI, PICHA ZA VIDIO NA CAMERA ZITAPATIKANA KWA BEI NAFUU.
ZAWADI KWA WATU HAMSINI (50) WA MWANZO WATAPATA KINYWAJI CHA BURE.
KUANZIA SAA 6 MCHANA HADI SAA 12 JIONI KWA KIINGILIO CHA TSH. 35,000/= KWA V.I.P NA TSH. 25,000/= KAWAIDA NA WATOTO NI THS, 15,000/= 

PUNGUZO KWA WALE WATAKAO KUWA VIKUNDI VIKUNDI AU FAMILIA YENYE WATU WANNE (4)
TIKET ZINAPATIKANA KIROYERA BUKOBA BEACH RESORT AU ULIZA SIMU 0713 -526649, 0759-424933 (MAMA KIROYERA) AU Email:mkalikawe@gmail.com.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 4177

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>