$ 0 0 Uchaguzi umepita salama, tunalaani kitendo alichotaka kufanyiwa Mzee Mengi leo pale DIAMOND JUBILEE, Inasemekana wafuasiwa CCM wametaka kumpiga kabla ya. kunusuriwa na Mh.Membe kwa kumuingiza kwenye gari lake kama inavyo onekana pichani