Wanaonekana Vijana wa kileo wakiwa wamejipanga tayari kuelekea kula bata kule wanapo kujua wao
Mkusanyiko wa watoto, nje ya mji wa Bukoba siku za mwisho wa juma.
Watoto wakifurahia siku.
Muonekano sehemu ya wauza matunda na ndizi ndani ya Soko kuu Mjini Bukoba.
Camera yetu ikiangaza maeneo ya bucha za nyamba ndani ya Soko kuu Mjini hapa
Ndani ya Soko kuu Mjini Bukoba muonekano wa Bucha za nyama
Mdau Tumusime Bocko akifurahia hali ilivyo ndani ya Soko letu.
Kwa mwezi wa huu hali ya biashara ikiwa inaendelea ndivyo sivyo.
Muonekano wa Soko la ndizi, Jan 8,2014
Mmoja wa watoto watundu tuliopata kukutana nao ,akicheza na video Camera.
Ikiwa ni mwaka wa nne sasa toka kuanzishwa kwa mtandao wa Bukobawadau, leo ndio tumebahatika kupata picha ya Mdau George Lyakurwa,yeye ni muuzaji na msambazaji maarufu wa pombe asiye tumia kilevi cha aina yoyote.
Mwanamama Janath Mussa pichani