WARIOBA:KATIBA YA TANGANYIKA INAWEZEKANA KWA MIEZI MITATU
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amesema Katiba ya Tanganyika inaweza kuandikwa ndani ya miezi mitatu tu kwa kuwa maoni mengi yaliyomo katika Rasimu ya...
View ArticleNAPE ASEMA WANAOTANGAZA NIA WAMEPOTEZA SIFA
Dar es Salaam. Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimesema mwanachama yeyote anayetangaza nia ya kuwania nafasi ya urais kabla ya muda mwafaka kutangazwa, anapoteza sifa ya kuwa mgombea.Katibu wa Itikadi na...
View ArticleMULEBA YAJIVUNIA ZIADA YA MADARASA
Na Edson Kamukara WAKATI wanafunzi wengi wakikwama kujiunga kidato cha kwanza mwaka huu kutokana na uhaba wa madarasa unaozikabiri baadhi ya halmashauri nchini, Wilaya ya Muleba, mkoani Kagera imetamba...
View ArticleTASWIRA SHUGHULI YA KITCHEN PARTY(MJUBURO) WA BI SHARIFA ATHMAN
Si vyema kumsifia mtu /mke wa mtu ila panapo ukweli lazima tuseme mtoto wa kihaya hakika ameumbika! Hatua moja baada ya nyingine Bi Sharifa Athman akiingia ndani ya ukumbi wa Linas Night Club Bi...
View ArticleSHUGHULI YA NDOA YA MAHARUSI BWA.BADRU SAIDI (MANGI) SAIDI NA BI SHARIFA ATHMAN
Ndani ya Msikiti wa Bilele, uliopo kati ya mtaa wa Felix Rwamugira na Uhuru ndani ya Manispaa ya Mji wa Bukoba,kinachoshuhudiwa sasa ni shughuli ya ndoa ya Bwana Badru Saidipichani katikati na Bi...
View ArticleHAPPY BIRTHDAY MDAU BEN KATARUGA
Good wishes are there for good onesMay God reply your hopes and brighten your wishes positively dear friend.Bukobawadau would like to wish you a happy and prosperous life.May God help you and live...
View ArticleMAAZIMIO YA KIKAO CHA DHARURA CHA KAMATI KUU YA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA...
UTANGULIZIKamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ilikaa kikao cha dharura ili kupokea, kujadili na kuamua juu ya utetezi wa mashtaka ya ukiukaji wa Katiba, Kanuni na Mwongozo wa...
View ArticleRAIS KIKWETE NA MAKAMU DKT. BILAL WAWAONGOZA WANANCHI KUTOA HESHIMA ZA MWISHO
Rais Jakaya Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete, wakitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Waziri wa Fedha, marehemu Dkt. William Mgimwa, wakati wa shughuli za kuaga mwili huo...
View ArticleUJUMBE MAALUM KUTOKA KWA SHIGONGO
Mkurugenzi wa Global Publishers, Eric Shigongo.Hiki ndicho ninachokifahamu mimi ndugu yenu.Maisha ni vita, maisha ni mapambano na mtindo pekee wa kukusogeza mbele ni kupigana! Hata uwe mwema kiasi gani...
View ArticleNI KWELI NYERERE KAFA KWA HUZUNI
Na Prudence KarugendoWIKI mbili zilizopita niliandika makala iliyobeba kichwa cha habari cha “Mandela katuachia fundisho, tutalitekeleza?” Katika makala hiyo nilijaribu kuyaangalia maisha ya Mandela,...
View ArticleCHECK USHIRIKI WA WADAU KATIKA HAFLA YA USIKU WA WINDHOEK NDANI YA THE...
Wadau mbalimbali wa Mji wa Bukoba wameweza kushiriki hafla ya Usiku wa Windhoek iliyofanyika usiku wa Jumatatu Jan 6,2014 Katika ukumbi wa Transit Hotel The WalkgardHafla hiyo imeandaliwa na Kampuni...
View ArticleCHADEMA YATOA MAELEZO KUUMIZWA KWA MWENYEKITI WA CHADEMA WILAYA YA TEMEKE,...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepokea kwa mshtuko taarifa za tukio la kutekwa, kuteswa na kuumizwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Temeke, Josephat Yona Patrick. Chama kupitia...
View ArticleZITTO AIBUKA KIDEDEA MAHAKAMANI
Dar es Salaam. Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Zitto Kabwe ameshinda maombi yake dhidi ya chama hicho mahakamani.Katika maombi hayo namba 1 ya mwaka 2014, Zitto ambaye pia ni Mbunge wa Kigoma...
View Article'MREMBO'MBARONI KWA DAWA ZA KULEVYA UWANJA WA NDEGE
Kikosi Kazi cha Kupambana na Dawa za Kulevya, Uwanja wa Ndege wa Dar es Salam (JNIA) jana kilimkamata mwanamke mmoja, Salama Omari Muzara akiwa amemeza kete za dawa za kulevya aina ya Heroin ambazo...
View ArticleNIMROD MKONO ATOBOA SIRI ZA ZITTO
Mbunge wa Musoma Vijijini (CCM), Nimrod Mkono ametoa ufafanuzi juu ya uhusiano wake na Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe.Hatua hiyo ya Mkono imekuja baada ya Mwanasheria Mkuu wa...
View ArticleDEATH ANNOUNCEMENT
Samuel Kumalija ChagulaBeloved father, grandparent and dear friend to many Samuel Kumalija Chagula, died peacefully aged 63 on Monday 23rd December at 6:20am in the Royal Free Hospital, Hampstead,...
View ArticleTASWIRA MAENEO MBALIMBALI JANUARY 8,2014
Wanaonekana Vijana wa kileo wakiwa wamejipanga tayari kuelekea kula bata kule wanapo kujua waoMkusanyiko wa watoto, nje ya mji wa Bukoba siku za mwisho wa juma.Watoto wakifurahia siku. Muonekano sehemu...
View ArticleCHADEMA SASA WAWAGEUKIA POLISI
Dar es Salaam.Tukio la Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Temeke, Joseph Yona kutekwa nyara, kupigwa na kutupwa katika vichaka eneo la Tegeta na watu aliodai kuwa ni wafuasi wa chama hicho,...
View ArticleHUKO BUNDO BABA WA MIAKA 54 AOA MTOTO WA MIAKA MINANE
Bunda. Polisi Wilaya ya Bunda, wanamshikilia baba mwenye umri wa miaka 54 kwa tuhuma kuoa mwanafunzi wa kike wa umri wa miaka minane.Msimamizi wa Dawati la Jinsia katika Kituo Kikuu cha Polisi Bunda,...
View Article