Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Browsing all 4196 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HII TUMEIPENDA KUTOKA KWA MJENGWA:KWENYE NCHI YA KUSADIKIKA KUNA MAFRURIKO YA...

Watoto wakisoma MagazetiNdugu zangu,Kwenye nchi ya Wasadikika kuna mambo mengi ya ajabu. Wasadikika kwa sasa wako kwenye 'hatari kubwa' ya kuzama kwenye mafuriko ya habari.Haijapata kutokea kwenye Nchi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TASWIRA MHADHARA ALIOTOA SHEIKH NURDIN KISHIK JIONI YA LEO MJINI HAPA JAN 9,2014

Sheikh Nurdin Kishik akitoa mawaidha kwa waumini wa Kiislamuwaliojitokeza kumsikiliza katika Mhadhara uliofanyika leo katika viwanja vya Shule ya Kiislam ya Jamia iliyopo Kata ya Bilele katikati ya Mji...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CAMERA YETU LEO NDANI YA HUSSEIN SHOP

 Camera yetu inakuangazia ndani ya Hussein Shop,Duka lenye kuhudumia kulingana na mahitaji ,lenye bidhaa bora na usafi wa hali ya juu .Hussein Shop ni duka la reja reja lililopo mjini hapa lenye kutoa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MOTO WAMWAKIA MAMA ANNA TIBAIJUKA

Dar es Salaam/Mbeya. Viongozi wa vyama vya siasa na wanaharakati wa masuala ya ardhi, wamesema kuzomewa kwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka ni matokeo ya makosa...

View Article

KATIBU CCM JELA KWA UDANGANYOFU

KATIBU wa Itikadi Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kyerwa, Ferdinand Bishanga (38), amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela baada ya kupatikana na hatia ya kujipatia mali kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAYA NI MAMBO 12 TOKA KWA MWANADADA MAINDA UNAVYOPASWA KUFANYA KIJANA WA...

1. Jifunze kuweka akiba ya fedha. 2. Jitaidi utafute mchumba sahihi na mjitaidi mfunge Ndoa...3. Acha kuishi nyumbani kwa wazazi anza kujitegemea na usiende kuishi na washikaji (mageto). 4 Lipa madeni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BABY MADAHA NA KAMPUNI YAKE WALAMBA DILI LA HELA NYINGI NA KUBWA ZAIDI AFRIKA...

Ile record label maarufu ya muziki afrika mashariki - candy n candy imechapa fimbo nyingine baada ya kufanya deal ya mtonyo mrefuu na kampuni maarufu ya kusambaza filamu afrika mashariki na kati, (Jina...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PITIA HABARI KUBWA KUTOKA MAGAZETINI LEO IJUMAA JAN 10,2014

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHECK PICHA JINSI BUS LA MTEI LILIVYOCHOMWA MOTO NA WANANCHI

 Hii ni habari mbaya kwa Taifa lenye sifa ya Amani Tanzania watu wake wamegeuka wanyama na kuchukua maamuzi mikononi.Jana asubuhi bus la kampuni ya Mtei toka Arusha limechomwa moto maeneo ya Njia panda...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JE WAJUA? VYANZO VYA MAHUSIANO YA WENGI KUVUNJIKA

Sababu za kundi la pili ;Hisia za maumivu na machungu Sababu kundi la pili ni yale matatizo ya kila siku ambayo wanandoa husuguana nayo baina yao. Matatizo haya mengine ni tabia za mtu alizokuja nazo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TETESI JUU YA KIFO CHA KAGAME :IKULU NCHINI RWANDA WAKANUSHA.

Ndugu wadau Kuna tetesi kuwa Paul Kagame ametutoka, lakini ikulu yake imekanusha: endelea hapa chini Kigali - Rwanda's presidency on Friday dismissed rumours that the country's leader Paul Kagame was...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Burudani ya Skylight Band Ijumaa ya kwanza kwa mwaka 2014 ndani ya kiota cha...

Digna Mbepera akiwaimbia kwa hisia mashabiki wa Skylight Band Ijumaa ya kwanza kwa mwaka 2014 ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar huku akisindikizwa na Mary Lucos pamoja na Winnie.Meneja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAHAZI WAFAFANUA KUTAMBULISHA NYIMBO MPYA MOROGORO

KUNDI la Jahazi Modern Taarab limefafanua ni kwa nini limeamua kuuchagua mji wa Morogoro kama kituo chao cha kwanza cha kutambulishia nyimbo zao mpya zitakazounda albam yao mpya ijayo.Jahazi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TASWIRA MAANDALIZI YA KIPINDI KUHUSU MAREHEMU JUSTIN KALIKAWE:BY MUBELWA BANDIO

 Mdau Mubelwa Bandio kupitia ukurasa wake wa facebook ameweza kueleza kwamba,moja mipango aliyokuwa nayo ni  kutengeneza kipindi juu ya Justin Kalikawe.Na sasa anamshukuru Mungu kuwa amefanikisha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PITIA SALAAM ZA HERI YA MWAKA MPYA KUTOKA KWA WADAU MBALIMBALI JAN 11,2014

 Rita Laurent na Goreth Laurent tunatoa salaam za heeri ya mwaka mpya kwa Ndugu Jamaa Na Marafiki, tuna shukuru Sana Mc Baraka kwa kutuweka karibu na Nyumbani Bukoba tunapata Habari nzuri kutoka bukoba...

View Article


R.I.P mpendwa wetu Zahoro Wastara

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHECK HAPA YULE MTOTO ALIEVUNJA REKODI KWA KUWA NA VIDOLE VINGI DUNIANI ANA...

The Indian boy broke the world record after being born with 34 fingers and toes.Akshat Saxena had seven fingers on each hand and ten toes on each foot, according to a spokesman for Guinness World...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

YA WALIMWENGU!!..HII NDIYO SALUNI YA NGONO ILIYOGUNDULIKA HUKO...

Pichani ni Warembo wanaotoa huduma wakiwa wameficha sura zao baada ya kunaswa na OFM. Hebu sikia, saluni inayojihusisha na vitendo vya ’masaji’ lakini kumbe ngono imo ndani yake imenaswa na kufumuliwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CAG KUANIKA UFISADI BUKOBA

MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh, amesema wiki ijayo atakwenda mkoani Kagera kuweka wazi yaliyobainika katika ripoti ya ukaguzi wa tuhuma za ufisadi zinazoikabili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHECK VIDEO YETU YA LEO JUSTIN KALIKAWE - UGENINI

View Article
Browsing all 4196 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>