KAMATI YA MAADILI CCM YATAKIWA KUWASHUGHULIKIA WALIOTANGAZA NIA
Dar es Salaam. Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), umeshauri Kamati ya Maadili ya CCM kuwaonyesha mlango wa kutokea wote walioanza kampeni za kugombea urais, ubunge na nyingine kinyume cha...
View ArticleTRUST IS NOT GIVEN OR RIGHT.TRUST IS EARNED
Usikae kilasiku kumlalamikia mpenzi wako eti “mbona huniamini?” “sikuhizi umepunguza kuniamini” “utasemaje unanipenda kama huniamini?” ‘minaona hapa hatuaminiani!” Na maneno mengine tele kisa tu...
View ArticleSOMA UJUMBE HUU TAFADHARI MSAADA UNATAKIWA TUTANI,UJUMBE KUTOKA KWA ELIUD...
HII TUMEICHUKUA KAMA ILIVYO KWA LENGO LA KUMSAIDIA KIJANA ELIUD MIMI NI ELIUD MTAGANYWA;NAOMBA USHAULI,MSAADA e.t.c.KUNA MTU anaitwa JACKSON MUGARULA,na HAPPYNESS Happy ni dada yng na JACKSON MUGARULA...
View ArticleRAIS KIKWETE ATANGAZA JUMATATU JANUARY 13,2014 SIKU YA MAPUMZIKO
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametangaza kuwa kesho, Jumatatu, Januari 13, 2014, itakuwa ni Siku ya Mapumziko (Public Holiday)...
View ArticleTASWIRA MAZISHI YA MAREHEMU ZAHORO WASTARA YALIYOFANYIKA KIJIJINI KYAKA HII...
Mwanzo wa shughuli ya mazishi ya Marehemu Zahoro Wastara ,aliyetutoka mchana wa jana akiwa na umri wenye kudai bado,kati ya1977-2014,Tunacho weza kusema ni kwamba tunatoa pole kwa wafiwa,ndugu na...
View ArticleSALAAM ZA HERI YA MWAKA MPYA NA SHANGWE ZA WADAU ZIKIENDELEA JAN 13,2014
Ndugu Murshid Hassan ByeyomboMwenyekiti na Mkurugenzi Mtendaji wa Maruk Vanilla Farming and Processing LtdNdugu Wadau,Kwa niaba ya Wakurugenzi wa Maruk Vanilla Farming and Processing (MVFP) Ltd...
View ArticleHAPA NA PALE NA CAMERA YETU MJINI BUKOBA JAN 13,2014
Muonekano wa Jengo la Chama cha mapinduzi ambalo ujenzi wake haujakamilika. Barabara ya Upendo Lodge mjini Bukoba. Mjengo la Ofisi kuu za Kagera Coperative Union(KCU)1990 LTD. Jengo la CCM Mkoa wa...
View ArticleVIDEO BURUDANI YA DUFU KATIKA MKESHA WA MAULID YA KUZALIWA MTUME MUHAMMAD JAN...
Viongozi mbalimbali wa DIni ya Kiislam mkoani Kagera katika mkesha wa Maulid ya kuzaliwa Mtume Muhammad (SAW)kwenye Viwanja vya Uhuru ,Usiku wa kuamkia leo Januari 14, 2014,HAPA CHINI NI VIDEO YA...
View ArticleTASWIRA MKESHA WA MAULID KUZALIWA MTUME MUHAMMAD(SAW)ILIYOFANYIKA UWANJA WA...
Pichani Viongozi mbalimbali wa Dini ya Kiislam mkoani Kagera katika mkesha wa Maulid ya kuzaliwa Mtume Muhammad (SAW)Sherehe hizo zimefanyika kwenye Viwanja vya Uhuru ( Mayunga)kata ya Bilele ndani ya...
View ArticleBAADA YA STORI KUZAGAA KWENYE MITANDAO SASA KAJALA AELEZEA TUHUMA ZA KUIBA...
Ni zile stori za town sasa hivi ambapo mwigizaji Kajala amezungumza kwa mara ya kwanza kuhusu ishu yake ya kuandikwa kwenye blogs na magazeti ya bongo kuhusu tuhuma za kuchukua mume wa mtu.Kajala...
View ArticleJUU YA B12 NA ADAMU MCHOMVU KUTIMULIWA CLOUDS KIJANA HUYU NDIO AMESHIKA...
Raymond Mshana (25), mzaliwa wa Same,Kilimanjaro.HIVI karibuni, watangazaji nyota waliojizolea umaarufu mkubwa Bongo kupitia Redio Clouds FM, wakitangaza kipindi cha XXL, Hamisi Mandi ‘B12’ na Adam...
View ArticleKUHUSU JACKIE CLIFF KUWA URAIANI AU LAA?!! HIKI NDICHO ALICHOPOST...
Hii Sijui imekaaje,sijui ndio chezo gani linaendelea, ila ndio hivyo Mwanadada Jack Cliff anaye semekana alikamatwa na madawa ya kulevya nchini china amepost picha yake hiyo kwenye instragram yake hivi...
View ArticlePICHA YETU YA LEO JAN 16,2014
Picha yetu ya leo inasema 'Maisha ndo yalivyo December umewai sana kutuacha'!!
View ArticleCCM WAMSHTAKI MASSAWE KWA JK
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimemshtaki kwa Rais Jakaya Kikwete, Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Kanali Fabian Massawe, kikidai kuwa ndiye chanzo cha mgogoro kati ya Meya wa Manispaa ya Bukoba, Anatory Amani na...
View ArticleWEMA ANYANG'ANYWA KILA KITU, KISA KURUDIANA NA DIAMOND
ZILE tambo, mbwembwe na majigambo ya Miss Tanzania 2006/07, aliye pia msanii wa filamu Bongo, Wema Isaac Sepetu, zimefika mwisho kufuatia kunyang’anywa samani za ofisi yake ya Endless Fame Film...
View ArticleBARAZA LA MAWAZIRI JOTO NYUZI 100
Dar es Salaam. Wakati Watanzania wakisubiri kwa hamu mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, Rais Jakaya Kikwete amekuwa akikuna kichwa kupanga safu yake huku Ikulu ikiwataka wananchi kuwa watulivu katika...
View ArticleHUKO MBEYA WAPORA MAITI BAADA YA KUCHOSHWA NA IBADA
Picha hii tulikutana nayo mwisho mwa 2011, Maiti ya Mama ikiwa na Mtoto Tumboni, Mama HUYO ALIKUFA baada ya kushindwa kujifungua ,Hapa ni maeneo ya Rutenge, Maiti ikisafirishwa kutoka hospital ya...
View ArticleKIJIJINI KISHANDA MULEBA NA CAMERA YETU LEO JAN 16,2014
Leo Camera yetu ipo ndani ya Kijiji Cha Kishanda, kilichopo ndani ya Jimbo la Muleba Kusini.Ndani ya kitongoji kidogo cha Kishanda eneo maarufu hapa kwa MzeeMpira,jilani kabisa na 'Kwa Ndululu'Jengo...
View ArticleZITTO NI MWANA CHADEMA AU MWANA MAHAKAMA?
Na Prudence KarugendoMAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es salaam, imeridhia ombi la mbunge wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zubeir Zitto (Zitto Kabwe), la kuitaka Kamati Kuu ya chama chake (Chadema)...
View ArticleTASWIRA SIKU MOJA KABLA YA TAARIFA YA CAG MJINI BUKOBA JAN 16,2014.
Ndani ya Viunga vya Manispaa ya Mji wa Bukoba, Jioni ya leo Alhamisi 16,2014 Camera yetu inakutana na wadau mbalimbali wakijadili kitendawili cha nani atawajibishwa kufuatia ripoti ya Mdhibiti na...
View Article