$ 0 0 Viongozi mbalimbali wa DIni ya Kiislam mkoani Kagera katika mkesha wa Maulid ya kuzaliwa Mtume Muhammad (SAW)kwenye Viwanja vya Uhuru ,Usiku wa kuamkia leo Januari 14, 2014,HAPA CHINI NI VIDEO YA BURUDANI YA DUFU KUTOKA KIJIJINI KANSENENE.