Camera yetu inakuangazia ndani ya Hussein Shop,Duka lenye kuhudumia kulingana na mahitaji ,lenye bidhaa bora na usafi wa hali ya juu .
Hussein Shop ni
Kwa mahitaji ya usafi wa nyumbani,fika Hussein Shop
Mambo ya usafi wa mwili ,kuna kila bidhaa kwa ajili ya mwili,bidhaa zenye harufu nzuri na zinaweza kutumika sehemu zote za mwili ata usoni na kulainisha ngozi yako.
Wapo na bidhaa nzuri kwa kulainisha ngozi na kuifanya kuwa nyororo pia zipo bidhaa zenye kuondoa matatizo karibu yote ya ngozi.
Kuna kila aina ya pafyum zenye hunakshiwa na harufu nzuri ya marashi
Pichani ni Mdau Mangi Said mtaalam wa afya na urembo akiwa amekuja kwa Hussein Shop kutoa dondoo mbalimbali za matumizi ya pafyum ili kusaidia kukuepusha na matatizo, katika hili bukobawadau blog tunakupongeza Ndg Hussein Shop hakika umejipanga.
Muonekano wa vinywaji vinavyotengenezwa kutokana na matundambalimbali
Mwanadada ambaye ndiye Shop manager ndani ya Hussein Shop.
Kwa watumiaji wa body spray,deodorant zisizo na madhala mwilini hapa ndio sehemu yake.
![]()
Duka limesheheni kila kitu kulingana na mahitaji yako
Sehemu ya Vitu vya kuchezea watoto kuna wanasesere, magari ya plastiki na kadhalika.
Wanapatikana Kati ya Barabara ya Arusha na barabara ya Kashai ya zamani.
Nje ya Soko kuu Mjini hapa, makutano ya barabara ya Arusha na ile ya Kashai zamani.
Muonekano wa Barabara ya Arusha jirani kabisa na kwa Mzee Baisi, zilipo ofisi za Kolping Miembeni ndipo wanapo patikana Hussein Shop.