Quantcast
Channel: BUKOBA WADAU
Viewing all articles
Browse latest Browse all 4177

WADAU NA MATUKIO KATIKA PICHA

$
0
0
Yanayojiri mjini kwetu ,tunapata kuvutiwa na muonekana wa Mtangazaji wa Kipindi cha 'Hamasa Talk Show ' hiki ni kipindi  kinachorushwa na Bukoba Tv kila siku za jumapili, Pongezi nyingi pia ziwaendee waandaaji wa kipindi hiki.
 Mdau Rahym Kabyemela kama alivyokutwa na Camera yetu katika harakati zake
 Mwanalibeneke napata kutimba na kutoa hi masikani kwa msela wangu Justine maarufu kama Snoop, Godfather wa mitaa ya Buye 'West Coast'
 Mdau Justin James pichani kushoto akicheck na Camera yetu,katikati ni mwanae Jonior.
 Camera yetu inakutana na Wadau maeneo ya fukweni mji hapa wakifurahia Weekend
 Kijana Avith Kato akicheck na Camera

Viewing all articles
Browse latest Browse all 4177

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>