YALIYOJIRI MCHANA WA PASAKA MJINI BUKOBA
Usiku wa leo ikiwa ni kumbukumbu nyingine ya Pasaka kwa Wakazi wa Bukoba ,Wale Wasanii wanaounda kundi la Navy Kenzo, Nahreel na Aika watakisanua ndani ya Club Linas kuanzia saa mbili usikuNavy Kenzo...
View ArticleMAGAZETINI LEO JUMATATU MARCH 28,2016
Ā BUKOBAWADAU MEDIA tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza...
View ArticleSHANGWE ZA PASAKA NDANI YA CLUB LINAS
Wasanii wa Navy Kenzo Nahreel na Aika wakishambulia Jukwaa ndani ya Ukumbi wa Linas Night Club Usiku wa Pasaka.Ā Wasanii wa Navy Kenzo 'Nahreel na Aika' ambao pia ni mtu na mpenzi wakiimba Wimbo wao...
View ArticleHAFLA YA KUMPONGEZA MWL PELAGIA PHILBERT KWA KUSTAAFU UTUMISHI WA UMMA YAFANA...
Matukio ya picha yaliyojiri katika hafla fupi iliyo andaliwa na Familia ya Mwl.Philbert F. Byabato wa Kijijini Gera kwa ajili ya kumpongeza mwanafamilia wao Mwl. Pelagia Philbert ambaye amebahatika...
View ArticleRAIS DK.JOHN MAGUFULI ATOA HATI YA KIWANJA KWA BOHARI YA DAWA (MSD)
Ā Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi (kushoto), akimkabidhi hati ya kiwanja chenye ukubwa wa ekari tano Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD), Laurean Bwanakunu...
View ArticleLulu Diva: Video za Bongo usipoangalia imekula kwako
Video Queen na msanii wa filamu Bongo, Lulu Abbasi 'Lulu Diva' akiwa katika pozi wakati wa mahojiano na Global Tv Online.Vidoeo ya Mirror ft Baraka Da Prince - 'Naogopa'Ā aliyocheza Lulu Diva kama...
View ArticleNOAH YAACHA NJIA BANDARINI JIJINI DAR ES SALAAM NA KUTUMBUKIA KWENYE MTARO
Ā Mwananchi wakiangalia ajali ya Noah yenye namba za usajili T 367 DAK iliyoacha njia na kutumbukia kwenye mtaro jirani na Kanisa la Mtakatifu Joseph, Bandarini Dar es Salaam jana asubuhi.Ā "Ni kama...
View ArticleHABARI KWA HISANI YA VYANZO MBALIMBALI
Watuhumiwa angalau nane wa kundi la wanamgambo wa al-Shabaab walikamatwa mwishoni mwa wiki katika mji mkuu wa Somalia Mogadishu.Msemaji wa Shirika la Usalama na upelelezi ya Taifa, Abdi Kamil Mu'allim...
View ArticleMAMIA WASHIRIKI MAZISHI YA ALISTIDES SELESTIN KIJIJINI KIHUMURO NSHAMBA
Katika picha ni shughuli ya Mazishi ya Marehemu Alistides Selestin, yaliyofanyika Kijijini Kihumuro Nshamba Wilayani Muleba mwishoni mwa Juma lililopita na kuhudhurio na watu wengi.Shughuli ya mazishi...
View ArticleKESI YA KUPINGA MATOKEO YA UBUNGE JIMBO LA VUNJO,MREMA AKUBALI YAISHE...
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.MBUNGE wa jimbo la Vunjo ,James Mbatia (TLP) ameshinda kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi iliyofunguliwa na aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo...
View ArticleJE WAJUA?
#MunyalugandaJe ulijua kuwa dada aliyetokea kwenye episode mpya ya Empire ni Mtanzania?! Anaitwa Koku Gonza, anakaa Chicago. Ni mwimbaji na anapiga piano na gitaa pia... Katika Empire anaonekana...
View ArticleWatoto wa kike 20,000 kunufaika na Mfuko wa Graca Machel mkoani Mara.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. George Simbachawene (kulia) akiongea na Mama Graca Machel (kushoto) alipomtembelea ofisini kwake leo jijini Dar es...
View ArticleMCHEZAJI KANU WA NIGERIA AZINDUA DUKA JIPYA LA STARTIMES KESHO KWENDA...
Ā Ā Mchezaji nguli wa kikosi cha Nigeria au Super Eagles na Arsenal ya Uingereza, Nwankwo Kanu (kulia),akikata utepe kuashiria uzinduzi waĀ Ā duka la Kampuni ya StarTimes lililopo jengo la Mkuki Mall...
View ArticleHAPA NA PALE NA CAMERA YETU APRIL 7,2016
Vijana pichani kama walivyokuta na Camera yetu maeneo ya Katoma wakitoka porinikuchanja kuniHaya ndiyo maisha halisi ya ndugu zetu Vijijini ,utaratibu wa kuchanja kuni huko maporini, upo pale pale...
View ArticleASEMAVYO MDAU MWESIGA 'KAGERA YAGERA'
Kama kagera si wa mwisho kimaendeleo basi tuko katika nafasi ya pili kutoka mwisho. Inaumiza sana kuona mkoa uliokuwa namba moja ukishindana na KILIMANAJARO na MBEYA sasa hivi hata mikoa mipya...
View ArticleKUHUSU MSANII WA MAREKANI 'KOKUGONZA'
You are right, Kokugonza ni Mtanzania, ni mtoto wa marehemu Longino(Longfellow) Mugarula wa Kiziba, Kashasha karibu kabisa na chuo cha ufundi kashasha. baba yake aliishi Marekani, mbali na kuwa msomi...
View ArticleWENJE APIGWA CHINI KESI YAKE DHIDI YA MABULA
Kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi katika jimbo la Nyamagana,Mahakama kuu Kanda ya Mwanza yaridhia ushindi wa Stanslaus Mabula kuwa mbunge halali wa Nyamagana dhidi ya mbunge aliyemaliza muda wake...
View ArticleWADAU NA MATUKIO KATIKA PICHA
Yanayojiri mjini kwetu ,tunapata kuvutiwa na muonekana wa Mtangazaji wa Kipindi cha 'Hamasa Talk Show ' hiki ni kipindiĀ kinachorushwa na Bukoba Tv kila siku za jumapili, Pongezi nyingi pia ziwaendee...
View Article